permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 11,682
- 14,241
Isije ikawa shida ulikuwa unaandika Kiingereza cha Kirusi.Ndio, unajua ukichangia mada kwa kiingereza inakuwa rahisi kuwa detected. Mi nilikuwa nadeal na CNN, BBC, REUTERS nk wakipost kitu na kama nimeona wazi hii ni propaganda huwa nashindilia comment huku nikimaalizia kuunga mkono URUSI wazidi kuifumua UKRAINE.