Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ningeshangaa sana Russia kama hiyo gesi wangewarudishia hao manyang'au & mafisadi. Wengi walisema vyema kwamba ni suala la muda tu.

Hapa sasa namwona Olaf Scholz akivimba mashavu kwa hasira. Then nawaona Wajerumani wakiandamana baada ya uchumi na hali ya maisha kuwa kizungumkuti.

Namwona Mr Comedian akichochea moto kwamba njia pekee ni kukabiliana na Putin mkono kwa mkono, kichwa kwa kichwa, mguu kwa mguu, Iskander kwa Iskander.

Hapo kwa pembeni JB akitikisa kichwa kwa ishara ya kukubaliana naye 100%.

But Rishi Sunak PM mpya ajaye amekunja uso akitahadharisha kwamba hataki kuwa Boris Johnson mwingine. ^Emu kila mtu apambane na hali yake,^ anatamka kwa sauti ya ubaridi, then anatoweka zake kikaoni.

Huku Russia ni chereko na shangwe kwa sababu Middle East, Far East, Latin America, Meksiko, Afrika yote, with the exception of Kenya 🙂 , wanajiunga na BRICS.
 
Unamaanisha wazir mkuu=chancelor???
 
Europe kwisha habari yao. Uchumi wao ndio kwisha. Soon tutaanza ku export kuni
 
Nigeria? Hii mbona ni white house ndogo ya Marekani? Labda ile sera ya NO PERMANENT ENEMY OR FRIEND ime-apply? Au ndiyo kusema Amerika sasa inapukutika mazima? Kweli ile Methali ya KIKULACHO inatimia kwa Mmagharibi?

Halafu kauli kwamba ^If requested,^ ni kutojitambua! Yaani huwezi hata kuona vile dunia ilivyohama hadi sasa?

Kwa kauli hii ya ^If requested,^ naamini sasa kwamba nchi nyingi za Afrika zinaamuliwa mambo yao ughaibuni. Mbona Kiduku aliamua kuyatambua majimbo mawili ya Ukraine yaliyojikomboa?

Naombeni Naijeria ituwakilishe vizuri sisi Afrika--because naiona nchi ya MK254 ndiyo pekee itakayobaki na Marekani wake.
 


Mkuu, politics is all about hypocrisy! Hapo tayari watu wameisha zungumza na maamuzi yameisha chukuliwa, hapo anatangaza ili wajue kinachofuata. Ni muda Tu utasikia Nigeria kaingia kunako.
 

Nigeria In, hvi ni taifa gani ambalo halipendi kujiunga na Brics? Hawa jamaa wamebarikiwa rasilimali karibu zote muhimu, kwanza popn yao ni almost 65 ya world popn. Tukija kivita, kiuchumi, kitech wako juu tayari.

Hata US anatamani kujiunga Brics ila hatuwezi mkubalia atatupaka ushoga [emoji23]
 
Nadhani ile kauli ya Putin kwamba baada ya vita mambo hayatakuwa vile yalivyokuwa kabla, imebeba uzito mkubwa sana ambao hatuwezi kuuelewa kikamilifu sasa hadi muda mwafaka utimie.

#Ngoja Tungoje!
MWAMBA anafanya movement zake kwa Siri sana,,,nadhani hili ni moja ya jambo linalowapa shida sana wapinzani wake kujua Next move yake....

#acha tujipe muda.
 

Russia ni wahuni kwahiyo wamesubiri tutengeneze mitambo afu watukatie gas. More sanctions please[emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…