Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Russia anajua fika kuwa germany ndiye mwenye uchumi mkubwa uerope nzima so aki fall germany ulaya nzima ina collapse pongezi kwa PM wa Hungary yeye hana shida anajilia zake cheap energy ya urusi vizuri kawaacha wale wanaojifanya wajuaji ... Narudia tena Pro russia wenzangu NATO na vibaraka wenzao waliopo uerope siyo wa kuwaonea huruma kipindi wanamwekea Russia sanctions walidhamiria wananchi wa russia wafe njaa waingie barabarani ili kuiondoa serikali ya puttin sasa kibao kimebadilika walichotegemea sicho na kinachotokea sasa ivi
 
MWAMBA anafanya movement zake kwa Siri sana,,,nadhani hili ni moja ya jambo linalowapa shida sana wapinzani wake kujua Next move yake....

#acha tujipe muda.
I fully agree! Recently amegusia juu ya namna ambavyo US wanazuia asi-acess strategic technology.

Sasa ameahidi kuja na solution japo amekiri kwamba itawalazimu kupitia njia ngumu ili kufikia malengo haya.

How can you not admire someone the likes of Putin?

Anathibitisha tena na tena kwamba KUJITEGEMEA strategically ndiyo namna pekee ya kusavaiv katikati ya ulimwengu wa mabepari yasiyojali ustawi wa mataifa mengine.
 
Kuna umuhimu wa kutumia PA system hapa; vinginevyo sidhani kama wanaweza kusikilizana kwa umbali huo.

Uturuki ni mwanachama wa NATO,ambayo imeua waislamu wengi huko lraq,na kwingineko,pia ni ina uhasama na Russia kule Syria Russia 🇷🇺 kumbuka ni rafiki wa Iran.hivyo jamaa lazima akaribishwe Putin style!
 
Russia ni wahuni kwahiyo wamesubiri tutengeneze mitambo afu watukatie gas. More sanctions please[emoji1787][emoji1787]
More sanctions wakati it's a windfall for Russia!Wewe na mabwana zako wote ni insane,the West wanakata tawi walilo kalia,very stupid indeed.Tunasubiri winter tushuhudie Wazungu watakavyo pukutika,hadi huruma.
 
More sanctions wakati it's a windfall for Russia!Wewe na mabwana zako wote ni insane,the West wanakata tawi walilo kalia,very stupid indeed.Tunasubiri winter tushuhudie Wazungu watakavyo pukutika,hadi huruma.
Wengine wanadai kwenye winter hapo ndio muda mwafaka wa kumwinda na kumgaragaza Mrusi because atakuwa amechoka kiasi cha kuhurumiwa.

Kwamba Ukraine wametumika kama chambo tu ili kumnasa, na pia kuandaa njia front line ili wababe waje kufunga kazi.

Ni majigambo tu ama kuna ukweli umefichika hapa? MUDA UTASEMA.
 
Eeh bwana eeh, mbona unatisha!! Kwani wewe una traits za kitume au kinabii?? Uliyo tabiri will come to pass kabla ya mwaka huu haujayoyoma - once again BRAVO.
 
Marekani anazidi kuminywa kende dola inatupwa haiaminiki Tena[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635] [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…