T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 13,924
- 47,173
Ujerumani huwa ina silaha kidogo na zenye ubora, bajeti yake imeongezwa mwaka huu, mara zote huwa wana bajeti ndogo. Nchi inayonunua silaha kwa fujo sasa hivi ni Poland ukilinganisha na uchumi wake.Wameanza kusema ukweli
‼️🇩🇪🇺🇦The head of the German Defense Ministry, Kristine Lambrecht, admitted that the Bundeswehr's resources to help Ukraine are running out
"We can no longer give away much [from the reserves] of the Bundeswehr, I will say this very clearly''-Die Welt‼️
Viongozi wetu usikute wamesimikwa na NATO, dah!Hakika MKUU tushanyanyasika mnooo natutaendelea kunyanyasika kama hatutajiongeza
Sent using Jamii Forums mobile app
AlaskaHuyo Marekani anatobolea wapi!?
Hii vita ni mambo ya teknolojia sio ya kupasua matofaliHivi ktk hii vita JWT wako wanachukua NOTES au?
Niliwahi sema muda sana humu. Waziri wa Fedha wa Urusi na Gavana wa benki yule Elvila Nabiullina wana uwezo mkubwa sana. Na bahati nzuri hizo sekta haziguswi kisiasa hata Putin hazichezei. Sio kama Roscosmos ambako Heads wake huwa wanabadilishwa mara analetwa former Prime Minister.Mara zote tunatoa sifa kwa Putin lkn naamin jamaa ana wanamkakat madhubut ktk nyanja za uchumi na ujasus na ndio maana ameweza kuwadhibit wamagharib kwa namna ambayo wao wenyew wamepigwa na butwaa ktk ujasus wa kiuchum.
Kwa mfano jamaa anayesimamia wizara ya uchumi,hazina wote hawa wameupiga mwingi ingawaje taarifa zao humu jamvin hazijatamalak walau kwa uchache.
Alitaka kujiuzulu akakataliwaYule mwanamama governor wa benki kuu ya urusi ni genius, akili zake sio za kawaida.
Ndio mindset zilivyo bro, anatizamwa aliye juu tu. Kama hapa kwetu tukinunua kilo 2 za mchele tunamshukuru mama sa💯. Tukila biscuit ashukuliwe Raisi kwa hekima zake, tukipata michuchu tunamshukuru Mother kwa huruma zake... Hivyo yaniiiiiii. 😂Mara zote tunatoa sifa kwa Putin lkn naamin jamaa ana wanamkakat madhubut ktk nyanja za uchumi na ujasus na ndio maana ameweza kuwadhibit wamagharib kwa namna ambayo wao wenyew wamepigwa na butwaa ktk ujasus wa kiuchum.
Kwa mfano jamaa anayesimamia wizara ya uchumi,hazina wote hawa wameupiga mwingi ingawaje taarifa zao humu jamvin hazijatamalak walau kwa uchache.
Unaonaje ufanye la mbao, winter is coming baridi ikizingua nilikoke moto bro 😂😂😂.Mbona ujengewe sanamu mkuu (tena ya dhahabu tupu)!
Kuna jamaa yangu Ukraine alinishtua kusema Ukraine lugha yao ni ngumu kuliko Kirusi. Hata mimi majina ya Ukraine yananipa shida na zile i, y na v zao kila sehemu. Tofauti na Russia yenye maeneo kama Tura, Ossetia, Sochi, Komsomolsk, Yekaterinburg, Samara ambayo ni rahisiHilo mbona umeli-rahisisha bro, eti nasikia linaandikwa hivi "Sievierodonetsk" 😂
Haya majina bila kuangalizia ngumu kutoboa 🥱
Yapo mengine heavy JF kungekuwa na uwezo wa kutuma Voice note tungepeana Challenge.
Mfano
1. Zaporizhzhia
2. Kryvyi Ri
3. Khmelyntskyi
4. Starokostiantyniv
5. Yuzhnoukrainsk
6. Bilhorod-Dnistrovskyi
He he he (Bila kuangalizia michapio haikwepeki)
Russia ana test silaha zake, ndo muda mzuri, maana hakuna sehemu zingine anaweza test in real battle, hivyo kila silaha aliyotengeneza lazima ifanyiwe majaribio kasoro mabomu ya nuklia. Na zile intercontinental ballistic missile.Nambie siraha kali na tegemezi ambazo nato wametoa
Kama wangetoa kali basi ungeona f35 na f22 apo
Na pia ata vifaru wangepewa
Na pia ungeona Meli na Submarine zimetolewa
Ata hizo HOWITZER wamepewa 11 tu na zinakaa mbali sana na front line, na naskia tetesi humu kuwa mojanimeuzwa
Sa watu wanaouza silaha yako unawaaminije
Hata madege vita ya zaman ya US wamekataa kutoa, f15s na f14Tomcat au ata a10 warhog ndo wMekataa kabisa kutoa
Ata drones wanazopeleka sio tegemezi na wala b-2 au b 52 zimejikalia tu
Anapewa light equipments maana hizo heavy hawawezi kuzimudu na ata technologia yake ni ngum, na akipewa ni kama anapewa Urusi
Ila upande wa Urusi anatumia kila kitu, yani Ndege vita zote unazozijua, bombers zote unazozijua, vifaru vyote unavyovijua, Meli ndo usiseme na ata Submarines zote ziko uko na bado anachukua sehem iliojitoa tangu mwanzo, kwa kifupi ni Urusi kapeleka kila kitu vitani na bado anapigana na Ukraine tu na Hao NATO unaowasema wana msupport tu kwa maneno na vijisiraha vya kujilinda
We jamaa akili isharuka sasa, Urusi amecontrol maeneo mengi ila bado unaleta hadithi za kitoto.Mpaka sasa Russia imepoteza Su-34 kumi na moja. Ya juzi ndio ilikuwa friendly fireView attachment 2297075
Hapo kuna jambo la kutafakari kwa UN ,INA maana wameikubali donbas kuwa ni nchi huru?UN yalalamika kuwa kutumia wataalamu wa North Korea kwenda kuijenga Donbas ni ukiukwaji wa vikwazo vilivyowekwa dhidi ya North Korea
Mwambieni UN aache kulialia, Urusi (Super Power) imesharidhia jambo hilo.
View attachment 2296052
Ila upande wa Urusi anatumia kila kitu, yani Ndege vita zote unazozijua, bombers zote unazozijua, vifaru vyote unavyovijua, Meli ndo usiseme na ata Submarines zote ziko uko na bado anachukua sehem iliojitoa tangu mwanzo, kwa kifupi ni Urusi kapeleka kila kitu vitani na bado anapigana na Ukraine tu na Hao NATO unaowasema wana msupport tu kwa maneno na vijisiraha vya kujilindaNambie siraha kali na tegemezi ambazo nato wametoa
Kama wangetoa kali basi ungeona f35 na f22 apo
Na pia ata vifaru wangepewa
Na pia ungeona Meli na Submarine zimetolewa
Ata hizo HOWITZER wamepewa 11 tu na zinakaa mbali sana na front line, na naskia tetesi humu kuwa mojanimeuzwa
Sa watu wanaouza silaha yako unawaaminije
Hata madege vita ya zaman ya US wamekataa kutoa, f15s na f14Tomcat au ata a10 warhog ndo wMekataa kabisa kutoa
Ata drones wanazopeleka sio tegemezi na wala b-2 au b 52 zimejikalia tu
Anapewa light equipments maana hizo heavy hawawezi kuzimudu na ata technologia yake ni ngum, na akipewa ni kama anapewa Urusi
Ila upande wa Urusi anatumia kila kitu, yani Ndege vita zote unazozijua, bombers zote unazozijua, vifaru vyote unavyovijua, Meli ndo usiseme na ata Submarines zote ziko uko na bado anachukua sehem iliojitoa tangu mwanzo, kwa kifupi ni Urusi kapeleka kila kitu vitani na bado anapigana na Ukraine tu na Hao NATO unaowasema wana msupport tu kwa maneno na vijisiraha vya kujilinda
Unapata shida sana mwaka huu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mpaka sasa Russia imepoteza Su-34 kumi na moja. Ya juzi ndio ilikuwa friendly fireView attachment 2297075
We jamaa sijui kama mfumo wako wa m@vi na wa fahamu kama vilitenganishwa. Mi nazungumzia ndege kuharibiwa, wewe unabisha kwa kusema maeneo mengi yamechukuliwa. Kwanini usiendelee na shughuli zako za kujisaidia hapo chooni?We jamaa akili isharuka sasa, Urusi amecontrol maeneo mengi ila bado unaleta hadithi za kitoto.
Huna akili
Ukraine ipi unayoiongelea yani mpaka kufika mwezi wa12 hakutakuwa na taifa linaloitwa ukraine mark my wordBoss, wakati maombi ya wengi yanakusudia Ukraine na Ulaya watokeze salama kwenye vita hivi, naona wewe unaomba vinginevyo, huh!
We jamaa sijui kama mfumo wako wa m@vi na wa fahamu kama vilitenganishwa. Mi nazungumzia ndege kuharibiwa, wewe unabisha kwa kusema maeneo mengi yamechukuliwa. Kwanini usiendelee na shughuli zako za kujisaidia hapo chooni?