Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Usiniambie shost unajua had reserve za silaha za germany...hahaha..halooo oohh..maji utaija mma shegheee...na badooo
 
Kuhusu kharkov upo sawa tu mbona wala ilo sipingi,kama niliping basi nilichangany mikoa
 
Usiniambie shost unajua had reserve za silaha za germany...hahaha..halooo oohh..maji utaija mma shegheee...na badooo
Humu kuna wanaume tu, wewe mambo ya 'shegeee' sijui 'badooo' peleka uko kwa kina James Delicious wenzako mkajadili uku mnabinua makalio. Kuwa na adabu humu
 
Nimekwambia niletee ushahidi wa su-34 izo 11.kama ni namba niwekee list ya namba zote za su-34 zilizofia Ukraine
Hiyo kazi inabidi uajiri mtu akufanyie. Hujalazimishwa kukubali. Huoni ulivyo mjinga unaniambia "niletee", "nimekwambia". Kwani nani kakwambia nimekutajia wewe, unaniamuru hivyo wewe kama nani
 
Humu kuna wanaume tu, wewe mambo ya 'shegeee' sijui 'badooo' peleka uko kwa kina James Delicious wenzako mkajadili uku mnabinua makalio. Kuwa na adabu humu
Hakuna mwanaume mwenye kariba kama yako! Wanaume huwa wakiona hawawezi league wanatulia kimya..ww warusi weusi hapa jf wamekutwanga na facts chungu nzima kuhusu hii vita ila bado umekaza shingo iliyojaa vipingili kama ya umi mwarimuu...utajiita mwanaume kwel..umekalia kuja na vijistatistics vyako uchwaraaa..hakuna mwanaume wa aina hiyo..ww n shosti tuu..ndembe ndembeee..
 
Akishtua kama hivi huwa anashuka vitu vya nchi jirani ile deep kinoma. So tulia upewe somo na mzee wa nye**o [emoji23]
 
Nimekuonya kwa mara ya mwisho, humu ni marufuku kuja na maneno ya kike kike sijui 'shegee'. Unashindwa nini kubishana kama wenzio unatumia maneno ya kishogashoga hapa, huoni umekosea jukwaa. Kwanza kwa maneno hayo uliyotumia huwezi kuwa na lolote la kuchangia humu, haiwezekani mtu atumie neno shegee au badooo sijui kalitoa kwa kinamama wa wapi alafu aeleze lolote kuhusu radar, missiles au military tactics
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…