LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Kwa nn unashindwa kuji uliza maswali ya msingi kama why nchi zote zilizokuwa za Soviet zina ikimbia Russia?Ukraine ni nchi ina panga foreign affairs na internal affairs zake .anyway Nime kuwekea picha za vijan wa putin hapo chin
 

Attachments

  • Screenshot_2022-02-24-18-22-26-648_com.gbinsta.android.jpg
    30.8 KB · Views: 32
baada ya kuichapa Georgia na sasa anaichapa ukraine halafu lupitia state media ya TASS putin anasema

Russia supports sovereignty of neighbors, was forced to make exception for Ukraine — Putin https://tass.com/politics/1408375

kina kazakhstan wajiandae maana russia imekuwa ikilalamika kuhusu mpaka kati yao kwa muda mrefu pia kuna russian minorites pale asije akawa forced kumake exception
 
Romania yatoa Tamko,inapokea wakimbizi wote kutoka Ukraine, kama una ndugu yupo huko plz contact me
 
Unachekesha kweli..
Russia analinda maslahi yake pale kama alivyofanya Sysria.
Hawezi kwenda sehemu ambayo maslahi yake hayapo.
US ndio wanajua umhimu wa ukraine ndio maana wakataka ijiung nato.
Umhimu wa Ukraine Kwa Us unaweza kuwa easily replaced na nchi zingine near russia , na wala sio lazima ang'ang'anie Ukraine Kias cha kutoa kafara askar wake , anyetakiwa kuucheza huu mchezo Kwa akili ni Ukraine .....!!! Asiwaanin Sana hao washirika mana wana nyumba nyingi tu za kuhamia wakiona waliyomo inaungua moto..kilichopo sa hv ni kumchimba mkwara Russia , na kumuwekea vikwazo vya kiuchumi huku wakiuza silaha mdogo mdogo na wakitafuna big G makwao...maeneo ya nothern Carolina
 
Mi nadhani ni ubabe na uonevu tu, kwani Ukraine kujiunga NATO ndo ingekuja kuivamia Urusi au? Sio kweli, ni ujeuri tu kama aliofanya Hitler, kuonyesha dunia kwamba wewe ni mbabe. Na Marekani hatajishughulisha, vita ni hasara na mateso kwa wananchi, kisa ufahari wa Putin!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…