Muuza viatu
JF-Expert Member
- May 14, 2020
- 3,839
- 7,924
Wale waliogawana dili la kuijenga upya itskuaje sasa[emoji41][emoji41][emoji41]Huyu muhuni anawavuruga vibaya Ukraine na misaada yao wanamtabiria Russia kuishiwa alafu muhuni anawapiga huku anaendelea kujenga kama vile hakijatokea kitu,
Kwa hali hii Ukraine hiyo miji aliyopoteza ahesabu alishaikosa jumla hairudi na akiendelea Ukraine nzima itachukuliwa
Takwimu za Jeshi la Ukraine zakutiliwa mashaka sana,mbona hawazungumzii hasara/loss waliyo pata wao tangu vita hii ianze??Russia Losses π€
Recent updates as of 20.07 πView attachment 2298237
Huu mwandiko na fact ni wa kijana ambae anakula na kulala kwa jasho la Wazazi wake, hajui hata bei ya kipande cha sabuni ndo maana anaona bila Ulaya na USA duniani hakuna maisha[emoji23][emoji23]Ulaya na Malekan ndo dunia, bila uko technologia yetu itasimama na ata kasimu kako katazima[emoji23][emoji23]
Nyakati kama hizi, Afrika tungekua na viongozi wana harakati wenye mapenzi ya dhati kwa bara lao huu ndio ulikuwa mwanzo wa maendeleo ambayo yamekua yakikoma kila alfajiri baada ya kuamka.Jamaa ana hotuba Kali Sana
Jeshi la Ukraine lilishasambalatika inakua ngumu kujua idad ya walio kwenye mapambano,waliokimbia na waliokufaTakwimu za Jeshi la Ukraine zakutiliwa mashaka sana,mbona hawazungumzii hasara/loss waliyo pata wao tangu vita hii ianze??
Well said Mjomba, kama hajaelewa hapo aendelee kubaki hapo hapo nyumbani anywe uji wa ulezi akili ikomae kidogo.Huu mwandiko na fact ni wa kijana ambae anakula na kulala kwa jasho la Wazazi wake, hajui hata bei ya kipande cha sabuni ndo maana anaona bila Ulaya na USA duniani hakuna maisha[emoji23][emoji23]
#Vijana Acheni u kula kulala Jitegemeeni mpate mawazo tegemezi.
Haya sasa turudi kwenye mada.
Moja: Watery Siyo kweli bila Ulaya na Marekani teknolojia yetu itasimama nadhani umeamua tu kujifunga akili mwenyewe na kuwa kipofu wa Ubongo, maana kama ungekuwa unaona na akili imefunguka kwa dunia ya leo usingetamka hiyo kauli.
Pili: Sijui unaongelea teknolojia ipi hiyo itakayo simama!!, Umetolea mfano simu kuzima, kitu ambacho hakipo kabisa kwani simu hazitengenezwi Ulaya na marekani tu. China, S.korea, Japan na nk wanatengeza mamilion ya simu. Na 80% ya watanzania wanatumia simu kutoka China na siyo Ulaya&USA mfano wa hizo simu ni Tecno, Infinix,Itel mobile, Vivo, OPPO, Xiaomi na n.k Zote niza China. Pia kuna Samsung, KT tech na Patench zote kutoka S.korea. Mobicel, Vodacom, MTN na telecom zote kutoka S.Afrika. Sony, Panasonic, Sansui na NEC kutoka Japan.
Tuje kwenye teknolojia ya Magari; Asilimia kubwa ya magari unayopishana nayo hapo mtaani yametoka Asia hasa Japan na siyo Marekani au Ulaya.
Tuje kwenye teknolojia ya Silaha: Silaha hazitengenezwi Ulaya na marekani tu. Iran, India, China, N.korea wote hao wana silaha hatari na nzito (Nukes) walizo tengeneza wao wenyewe bila msaada wa Ulaya na Marekani.
Tuje kwenye teknolojia ya Miundo mbinu kama Barabara, Reli, Meli, madaraja na n.k. Asilimia kubwa ya ujenzi wa miundo mbinu tajwa hapo inayoendelea au iliyo jengwa nchini ni products ya wataalamu kutoka Asia hasa China, korea na Japan.
TUTOKE KWENYE TEKNOLOJIA SASA TURUDI KWENYE MAISHA YA UHALISIA.
IPO HIVI: Ukiwa na Miguu unaweza fikri huwezi kutembea bila miguu, Ukiwa na macho yanayo ona vizuri unaweza fikri huwezi kutembea bila Macho, ila Siku let say Macho yakapoteza uwezo wake wa kuona amini nakwambia utatembea bila muongozo wa macho rejea (Vipofu wanavyoishi)
Maana yangu ni ipi?
Afrika siyo kwamba hatuwezi kutengeneza Simu, magari, meli, silaha, na n.k tatizo ni moja uwepo wa watu weupe ndo umetufanya tudumae akili na kufikir hatuwezi bila wao, ila siku wakitoka tukabaki sisi tu watu weusi, ni suala la muda mfupi tu, Ideology itabadilika na tutaanza kutengeneza vitu hivo wenyewe zaidi na zaidi. Sasaiv hatuoni umhimu wa akili zetu kwasababu ya uwepo wa akili za mtu mweupe ila siku huyo mtu mweupe akitoka duniani tukabaki sisi tu ndo tutaona umhimu wa akili zetu na uwezo wake.
Mfano mwingine;
Kuna watu wamezaliwa kwenye familia za kishua haswa kiasi cha kutofahamu kama duniani kuna shida kama vile kukosa chakula, pesa na nk. Kwasababu kila kitu wanachokitaka kinafika kwa wakati na wana fanyiwa kila kitu na wazazi wao, Ila siku ikitokea wazazi wakatangulia mbele za haki na Mali zikapukutika, hao watoto wakishapigwa na shida za dunia ndo pale akili ya U Junior itakapo watoka na kuja akili ya watoto wa mama Ntilie na Wasaka tonge na hapo ndo watajua kuwa kumbe hakuna kazi ambayo haiwezekani hata zile walizo kuwa wakidhani haziwezekani.
Ndo kama wewe ( Watery ) sasa unaedhani bila Ulaya na Marekani simu yako itazima, kwababu tu hao Mabwana bado wapo, ila siku wakitoweka amini nakwambia akili hiyo itabadilika na simu hiyo haitazima kwa kutumia akili yako mpya.
Mwisho: Ukipata muda kasome THEORY OF LIFE hasa Darwinism and Lamarckism theory ambapo moja inaelezea Survive for the fitest (how a man can survive and adopt for the environment) nyingine Use and dis Use theory. Wa afrika wengi Vichwa vyetu vimekuwa makopo tu kwasababu hatuvitumii ipasavyo (dis-Use) finally they will become weak and disappear according to the Use and Dis-use theory.
Ukizisoma hizo theory vizuri harafu ukaanza kuzi relate na maisha halisi ya Blacks and Whites ndo utajua kwanini Sisi tupo hivi na wazungu wapo vile hasa kiakili.
Nawasilisha Jibu langu[emoji120] bila kuathili msimamo wangu wa "I stand with a man who saved the world VVP"[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635].
Kababeeeee mnooooMrusi katema mkwara mkali Sana
π·πΊπΊπ¦β‘If the West supplies Kyiv with long-range weapons, the geographical objectives of the special operation in Ukraine will move even further - Lavrov
Personally I suggest Russia/Putin must stick to his gunsThe Russian Federation will not supply oil with the introduction of a "cap price" below production costs. "Naturally, Russia will not ensure the supply of this oil to world markets, which means that we simply will not work at a loss,"
Russian Deputy PM Alexander Novak.
Shukrani sana kwa maelezo/ufafanuzi uliokwenda shule, once again - BRAVO.Huu mwandiko na fact ni wa kijana ambae anakula na kulala kwa jasho la Wazazi wake, hajui hata bei ya kipande cha sabuni ndo maana anaona bila Ulaya na USA duniani hakuna maisha[emoji23][emoji23]
#Vijana Acheni u kula kulala Jitegemeeni mpate mawazo tegemezi.
Haya sasa turudi kwenye mada.
Moja: Watery Siyo kweli bila Ulaya na Marekani teknolojia yetu itasimama nadhani umeamua tu kujifunga akili mwenyewe na kuwa kipofu wa Ubongo, maana kama ungekuwa unaona na akili imefunguka kwa dunia ya leo usingetamka hiyo kauli.
Pili: Sijui unaongelea teknolojia ipi hiyo itakayo simama!!, Umetolea mfano simu kuzima, kitu ambacho hakipo kabisa kwani simu hazitengenezwi Ulaya na marekani tu. China, S.korea, Japan na nk wanatengeza mamilion ya simu. Na 80% ya watanzania wanatumia simu kutoka China na siyo Ulaya&USA mfano wa hizo simu ni Tecno, Infinix,Itel mobile, Vivo, OPPO, Xiaomi na n.k Zote niza China. Pia kuna Samsung, KT tech na Patench zote kutoka S.korea. Mobicel, Vodacom, MTN na telecom zote kutoka S.Afrika. Sony, Panasonic, Sansui na NEC kutoka Japan.
Tuje kwenye teknolojia ya Magari; Asilimia kubwa ya magari unayopishana nayo hapo mtaani yametoka Asia hasa Japan na siyo Marekani au Ulaya.
Tuje kwenye teknolojia ya Silaha: Silaha hazitengenezwi Ulaya na marekani tu. Iran, India, China, N.korea wote hao wana silaha hatari na nzito (Nukes) walizo tengeneza wao wenyewe bila msaada wa Ulaya na Marekani.
Tuje kwenye teknolojia ya Miundo mbinu kama Barabara, Reli, Meli, madaraja na n.k. Asilimia kubwa ya ujenzi wa miundo mbinu tajwa hapo inayoendelea au iliyo jengwa nchini ni products ya wataalamu kutoka Asia hasa China, korea na Japan.
TUTOKE KWENYE TEKNOLOJIA SASA TURUDI KWENYE MAISHA YA UHALISIA.
IPO HIVI: Ukiwa na Miguu unaweza fikri huwezi kutembea bila miguu, Ukiwa na macho yanayo ona vizuri unaweza fikri huwezi kutembea bila Macho, ila Siku let say Macho yakapoteza uwezo wake wa kuona amini nakwambia utatembea bila muongozo wa macho rejea (Vipofu wanavyoishi)
Maana yangu ni ipi?
Afrika siyo kwamba hatuwezi kutengeneza Simu, magari, meli, silaha, na n.k tatizo ni moja uwepo wa watu weupe ndo umetufanya tudumae akili na kufikir hatuwezi bila wao, ila siku wakitoka tukabaki sisi tu watu weusi, ni suala la muda mfupi tu, Ideology itabadilika na tutaanza kutengeneza vitu hivo wenyewe zaidi na zaidi. Sasaiv hatuoni umhimu wa akili zetu kwasababu ya uwepo wa akili za mtu mweupe ila siku huyo mtu mweupe akitoka duniani tukabaki sisi tu ndo tutaona umhimu wa akili zetu na uwezo wake.
Mfano mwingine;
Kuna watu wamezaliwa kwenye familia za kishua haswa kiasi cha kutofahamu kama duniani kuna shida kama vile kukosa chakula, pesa na nk. Kwasababu kila kitu wanachokitaka kinafika kwa wakati na wana fanyiwa kila kitu na wazazi wao, Ila siku ikitokea wazazi wakatangulia mbele za haki na Mali zikapukutika, hao watoto wakishapigwa na shida za dunia ndo pale akili ya U Junior itakapo watoka na kuja akili ya watoto wa mama Ntilie na Wasaka tonge na hapo ndo watajua kuwa kumbe hakuna kazi ambayo haiwezekani hata zile walizo kuwa wakidhani haziwezekani.
Ndo kama wewe ( Watery ) sasa unaedhani bila Ulaya na Marekani simu yako itazima, kwababu tu hao Mabwana bado wapo, ila siku wakitoweka amini nakwambia akili hiyo itabadilika na simu hiyo haitazima kwa kutumia akili yako mpya.
Mwisho: Ukipata muda kasome THEORY OF LIFE hasa Darwinism and Lamarckism theory ambapo moja inaelezea Survive for the fitest (how a man can survive and adopt for the environment) nyingine Use and dis Use theory. Wa afrika wengi Vichwa vyetu vimekuwa makopo tu kwasababu hatuvitumii ipasavyo (dis-Use) finally they will become weak and disappear according to the Use and Dis-use theory.
Ukizisoma hizo theory vizuri harafu ukaanza kuzi relate na maisha halisi ya Blacks and Whites ndo utajua kwanini Sisi tupo hivi na wazungu wapo vile hasa kiakili.
Nawasilisha Jibu langu[emoji120] bila kuathili msimamo wangu wa "I stand with a man who saved the world VVP"[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635].
Kwenye "Rejea Vipofu wanavyoishi" ... Kitu kikubwa sana aseeee ....Well said Mjomba, kama hajaelewa hapo aendelee kubaki hapo hapo nyumbani anywe uji wa ulezi akili ikomae kidogo.
Kwa alivyo sasa nina mashaka kama barabara huwa anavuka mwenyewe. Nahisi huwa anavushwa ase sio kwa uweupe huo alio nao khaa!
Hakika, kuna watu wame jaaliwa uwezo wa kupangilia maneno, Tuseme maelezo kwa ujumla tena kwa mifano hai. Kutoelewa inabaki kua ni personal arrogant decision. Yani unaamua tu kutoelewa kwasababu humkubali mzungumzaji aliye mbele akikuelezea.Kwenye "Rejea Vipofu wanavyoishi" ... Kitu kikubwa sana aseeee ....
Ni mwendo wa nyundo bila kujali saizi ya msumari. Asante Mkuu, ingawa ukali wa maneno pale mwanzo haukuhitajika.Huu mwandiko na fact ni wa kijana ambae anakula na kulala kwa jasho la Wazazi wake, hajui hata bei ya kipande cha sabuni ndo maana anaona bila Ulaya na USA duniani hakuna maisha[emoji23][emoji23]
#Vijana Acheni u kula kulala Jitegemeeni mpate mawazo tegemezi.
Haya sasa turudi kwenye mada.
Moja: Watery Siyo kweli bila Ulaya na Marekani teknolojia yetu itasimama nadhani umeamua tu kujifunga akili mwenyewe na kuwa kipofu wa Ubongo, maana kama ungekuwa unaona na akili imefunguka kwa dunia ya leo usingetamka hiyo kauli.
Pili: Sijui unaongelea teknolojia ipi hiyo itakayo simama!!, Umetolea mfano simu kuzima, kitu ambacho hakipo kabisa kwani simu hazitengenezwi Ulaya na marekani tu. China, S.korea, Japan na nk wanatengeza mamilion ya simu. Na 80% ya watanzania wanatumia simu kutoka China na siyo Ulaya&USA mfano wa hizo simu ni Tecno, Infinix,Itel mobile, Vivo, OPPO, Xiaomi na n.k Zote niza China. Pia kuna Samsung, KT tech na Patench zote kutoka S.korea. Mobicel, Vodacom, MTN na telecom zote kutoka S.Afrika. Sony, Panasonic, Sansui na NEC kutoka Japan.
Tuje kwenye teknolojia ya Magari; Asilimia kubwa ya magari unayopishana nayo hapo mtaani yametoka Asia hasa Japan na siyo Marekani au Ulaya.
Tuje kwenye teknolojia ya Silaha: Silaha hazitengenezwi Ulaya na marekani tu. Iran, India, China, N.korea wote hao wana silaha hatari na nzito (Nukes) walizo tengeneza wao wenyewe bila msaada wa Ulaya na Marekani.
Tuje kwenye teknolojia ya Miundo mbinu kama Barabara, Reli, Meli, madaraja na n.k. Asilimia kubwa ya ujenzi wa miundo mbinu tajwa hapo inayoendelea au iliyo jengwa nchini ni products ya wataalamu kutoka Asia hasa China, korea na Japan.
TUTOKE KWENYE TEKNOLOJIA SASA TURUDI KWENYE MAISHA YA UHALISIA.
IPO HIVI: Ukiwa na Miguu unaweza fikri huwezi kutembea bila miguu, Ukiwa na macho yanayo ona vizuri unaweza fikri huwezi kutembea bila Macho, ila Siku let say Macho yakapoteza uwezo wake wa kuona amini nakwambia utatembea bila muongozo wa macho rejea (Vipofu wanavyoishi)
Maana yangu ni ipi?
Afrika siyo kwamba hatuwezi kutengeneza Simu, magari, meli, silaha, na n.k tatizo ni moja uwepo wa watu weupe ndo umetufanya tudumae akili na kufikir hatuwezi bila wao, ila siku wakitoka tukabaki sisi tu watu weusi, ni suala la muda mfupi tu, Ideology itabadilika na tutaanza kutengeneza vitu hivo wenyewe zaidi na zaidi. Sasaiv hatuoni umhimu wa akili zetu kwasababu ya uwepo wa akili za mtu mweupe ila siku huyo mtu mweupe akitoka duniani tukabaki sisi tu ndo tutaona umhimu wa akili zetu na uwezo wake.
Mfano mwingine;
Kuna watu wamezaliwa kwenye familia za kishua haswa kiasi cha kutofahamu kama duniani kuna shida kama vile kukosa chakula, pesa na nk. Kwasababu kila kitu wanachokitaka kinafika kwa wakati na wana fanyiwa kila kitu na wazazi wao, Ila siku ikitokea wazazi wakatangulia mbele za haki na Mali zikapukutika, hao watoto wakishapigwa na shida za dunia ndo pale akili ya U Junior itakapo watoka na kuja akili ya watoto wa mama Ntilie na Wasaka tonge na hapo ndo watajua kuwa kumbe hakuna kazi ambayo haiwezekani hata zile walizo kuwa wakidhani haziwezekani.
Ndo kama wewe ( Watery ) sasa unaedhani bila Ulaya na Marekani simu yako itazima, kwababu tu hao Mabwana bado wapo, ila siku wakitoweka amini nakwambia akili hiyo itabadilika na simu hiyo haitazima kwa kutumia akili yako mpya.
Mwisho: Ukipata muda kasome THEORY OF LIFE hasa Darwinism and Lamarckism theory ambapo moja inaelezea Survive for the fitest (how a man can survive and adopt for the environment) nyingine Use and dis Use theory. Wa afrika wengi Vichwa vyetu vimekuwa makopo tu kwasababu hatuvitumii ipasavyo (dis-Use) finally they will become weak and disappear according to the Use and Dis-use theory.
Ukizisoma hizo theory vizuri harafu ukaanza kuzi relate na maisha halisi ya Blacks and Whites ndo utajua kwanini Sisi tupo hivi na wazungu wapo vile hasa kiakili.
Nawasilisha Jibu langu[emoji120] bila kuathili msimamo wangu wa "I stand with a man who saved the world VVP"[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635].
ππππThe United States must stop robbing the Syrian people and exporting their oil
vladimir simba putin
π€£ π€£π€£[emoji23][emoji23][emoji23]
Asee... Yes yes we tupe heading tu mengine tuachie [emoji119]
Kwa sababu umekuwa brain washed ndio unaamini hivyo ingekuwa ndio kila kitu kusingekuwa na vilio vya njaa, kupanda Bei ya nishati na kama hukui kuhusu teknolojia mrusi ndio wa kwanza kwenda angani labda unaowasema ni kila kitu Kwa ushoga na ufirauni mwingineUlaya na Malekan ndo dunia, bila uko technologia yetu itasimama na ata kasimu kako katazima[emoji23][emoji23]
Watu wamekasirika!I don't have enough spit for this creature.
Therefore, it is no longer IS and terrorism! Maajabu hayeshi!Climate Change that caused the military hostilities in Syria.