Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Huyu dada Mmarekani alikamatwa na bange Russia kesi yake bado inaendelea namuonea huruma sababu ni mweusi tu. Nampaka kaanza kuvaa nguo za zenye ujumbe..[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635] tutamwachia hivi karibuniView attachment 2304622
Utamwachia we na nani ndugu au kichwan ndio tayari umekuwa kama coconut
 
Tuna waenzi mashujaa wetu wote walio ipigania nchi yetu pendwa ya Tanzania dhidi ya uvamizi Idd Amin 78-79

Lakini acha kupoteza mda ku-compare vita vya Nchi maskini tena miaka ya 70s. Ukijichanganya kuto tanguliza qualifications za kijeshi badala yake ujifiche kwenye kigezo cha just uzalendo!! Mzee baba mtafyekwa wote na kumuachia adui Nchi yenu afanye atakavyo.

Russia ni speed ya light kwenye vita vya masrahi.
Akitaka hapo Ukraine anapafanya majivu within half a day.
 
Eneo limechukuliwa huko pro-nato mnasemaje

‼️ 🇷🇺 🏭 Uglegorskaya TPP came under the control of Allied forces‼️

Thanks to the assault actions of the fighters of the Wagner PMCs and the LPR, the Ukrainian N@zis began to flee.
 
Rais Museven kampokea Lavrov wa Urusi nchini Uganda. Museven kasema Uganda na Afrika zipo pamoja na Urusi...hazitaki kuwa maadui wa adui wa mabeberu ambao wenyewe waliitawala na kuinyonya Afrika kama wakoloni. Urusi haijawahi kuitawala/kuinyonya kikoloni Afrika

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…