Mwanamkiwi
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 2,023
- 2,402
Jaribu kusoma. Alama hizo ndogo ni herufi, zinafanya maneno.Umeulizwa source za taarifa yako na who conducted hiyo research?? Sijaona majibu hapa naona unaongelea vitu vingine kabisa
Nakuona vile unavyo-force ili Kiswahili kionekane as though foreign kwako lakini wapi. Kenya wameku-disown, huku Bongo vilevile. Labda ujaribu kule Goma DRC.
Hizo tactical mbona zimekuwa nyingi mnoo?Itakuwa Ukraine wamefanya kitu ambacho kimedani kwa kawaida kinajulikana kama TACTICAL SELF-DEFENSE. Hii ni mbinu ya kujihami kimkakati ambapo hutakiwI katu kabisa kukubaliana na kauli na madai yoyote ya adui, hata yangekuwa yamefanyika wazi mchana kweupe.
Hii mbinu inatumika hasa kuepusha kumpa adui pointi za mezani. Mathalani, Ukraine akikubali kwamba ndiye alimshambulia Russia, hapo atakuwa anahalalisha indirectly kichapo anachopewa hadi kifike Kiev.
Hapo kwenyewe unatamani kukimbia uzi ila unaona aibu nyie ndo ulio kuwa unasema nato lazima waingilie wazima wazima vita hii ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha cha ajabu nato silaha zao zenyewe zina waumbuaMimi nimeshindikana kote, njoo Quora uone ninavyowaliza Warusi asili, wacha nyie hapo mnaoiga.
Wapikistan mpaka wanalia wakikutana live na uyu mzee wanampenda kupitiliza alikataa mabilion ya dola kutoka USA alivyokuwa waziri mkuu ili wajenge military base yao pakistan lakini mwamba akagoma na the way alivyowajibu West walivyomtaka atoe tamko kuhusu Russia kuivamia Ukraine mwamba aliwajibu vizuri sana nanukuu "" ivi mnatuchukuliaje sisi kuwa ni watumwa wenu kuwa kila mnachoamua sisi tutekeleze" uwo ndio ukawa mwanzo wa figisu mpaka wakafanikiwa kumtoa madarakani kimagumashi sasa mwamba anarudi ulingoni huu mwaka pro NaTO na vibaraka wenu wengine mtaomba pooh.Swahiba wa Putin anarudi-lmran khan. Hapa wafuasi wkisherekea nchi nzima
Hapa Chini,nimaeneo ambayo anaungwa mkono waziri mkuu wa
Pakistann wa sasa,Hilo eneo lenye wekundu(dot like) ni eneo analoungwa mkono waziri mkuu wa sasa. Ngoma ngumu kwa West.
View attachment 2305353
Habari njema mnooooSwahiba wa Putin anarudi-lmran khan. Hapa wafuasi wkisherekea nchi nzima
Hapa Chini,nimaeneo ambayo anaungwa mkono waziri mkuu wa
Pakistann wa sasa,Hilo eneo lenye wekundu(dot like) ni eneo analoungwa mkono waziri mkuu wa sasa. Ngoma ngumu kwa West.
View attachment 2305353
heko mkuu, I've learned somethingKwa nchi zote za East Africa naweza kusema JWTZ ndo jeshi bora na imara kuliko majeshi yote likifuatiwa na jeshi la Rwanda then n.k. Kuna kikundi cha wahuni (waasi) kilijaribu kuwasha moto pale kibiti, police wakajaribu kupambana wakashindwa, ikabidi special force kutoka JWTZ waingie mzigoni kwa sare za askari polisi, ndani ya siku kadhaa Waasi wote walitembezewa kipigo cha hatari na kukamatwa pia toka kipindi hicho waasi hawana hamu na Tanzania tena. Pongezi ziende kwa jeshi letu la Wananchi (JWTZ)
Pia Kuna mwaka kikosi cha JWTZ chini ya UN kilipewa operation command kupambana na waasi wa kongo (M23 or ADF) kikaenda kikosi cha mizinga ndani ya muda mfupi kilitembeza kichapo kitakatifu mpaka waasi wakapoteana.
UN na mabeberu baada ya kuona moto huo wa JWTZ wakaamuru Kikosi cha mizinga kirudi Tanzania, kambi ikabaki na silaha za kawaida. Mnamo mwaka 2017 kama (sijakosea) Kambi ya JWTZ kama walinda amani kongo chini ya UN ilishambuliwa kwa kuvamiwa na waasi nakupelekea jumla ya askari wa JWTZ 14 kupoteza maisha na wengine zaidi ya 40 kujeruhiwa.
Kuna captain wa JWTZ aliekuwa kwenye hiyo operation, alisema UN ndo ilikuwa chanzo cha vifo na majeruhi hao baada ya kuamru kikosi Chao kipunguze nguvu ya silaha kwa kurudishwa kikosi cha Mizinga nyumbani, siku chache mbeleni waasi ndo wakashambulia kambi huku askari wakiwa wamebaki na silaha nyepesi tu kama SMG, SR pistols na n.k. akaenda mbali kwa kusema UN ndo Chanzo cha matatizo na kukosekana kwa amani nchini kongo ikifanya kazi kwa maslahi ya Mataifa ya ulaya na Amerika.
Akaongezea kwa kusema, kambi zote za waasi nchini kongo wanajua zilipo na kuna muda hadi hao waasi wanakuja kwenye kambi za UN kugongea fegi, misosi na nk tena kwa dharau na hurusiwi kuwagusa wala kuwakamata ( Order ya UN).
Inshort mwamba aliongea mengi sana na kwa uchungu sana kuihusu UN chombo kinacho sadikika kulinda amani ya dunia ila walio shiriki "battlefield" chini ya UN ndo wanajua UN ni jitu gani na Lina malengo ngani.
Binafsi Ukiniuliza UN nini, nitakujibu ni organization ya ugaidi na uvunjifu wa amani duniani. Ukiona UN wameleta vikosi nchini mwako tegemea kuona political instability and unrest terrorism kwa kipindi kirefu sana. Ni mjinga pekee ndo anaweza kukubali kuwa waasi wa ADF au M23 wameshindikana dhidi ya jeshi la nchi ya DRC na vikosi vya UN, my friend every thing is under control.
UN ni miongoni mwa sababu zilizo nifanya nisimame na Russia [emoji635] katika operation yake, na natamani huko mbeleni ije kuundwa UN ya kweli isiyo chini ya USA na westerns.
SHAME ON UN
MUCH RESPECT TO JWTZ [emoji1241]
[emoji817][emoji817] kuna ndugu yangu alitoka Darfur alituadithia kuwa waasi kule sudan wanasilaha latest kuliko wanajeshi wa UN yani kuna muda wanakuja mpaka kambini kwao wanapiga nao story jamaa alikuwa anashangaa inakuaje muasi anakuwa na silaha ambayo yeye anaishia kuiona kwenye movie tu aya mambo Russia anayajua ndio mahana UN walipotaka wai ndio waende kwenye mji wa mariupol kuwatoa raia putin akasema iyo aina shida tupeni sisi izo nguo zenu za UN then tuingie kwa mwamvuli wa UN tukawatoa awo raia UN wakagoma na putin akasema bac asikanyage kenge yoyote wa UN mariupol habari yao ndio ikaishia apo.Kwa nchi zote za East Africa naweza kusema JWTZ ndo jeshi bora na imara kuliko majeshi yote likifuatiwa na jeshi la Rwanda then n.k. Kuna kikundi cha wahuni (waasi) kilijaribu kuwasha moto pale kibiti, police wakajaribu kupambana wakashindwa, ikabidi special force kutoka JWTZ waingie mzigoni kwa sare za askari polisi, ndani ya siku kadhaa Waasi wote walitembezewa kipigo cha hatari na kukamatwa pia toka kipindi hicho waasi hawana hamu na Tanzania tena. Pongezi ziende kwa jeshi letu la Wananchi (JWTZ)
Pia Kuna mwaka kikosi cha JWTZ chini ya UN kilipewa operation command kupambana na waasi wa kongo (M23 or ADF) kikaenda kikosi cha mizinga ndani ya muda mfupi kilitembeza kichapo kitakatifu mpaka waasi wakapoteana.
UN na mabeberu baada ya kuona moto huo wa JWTZ wakaamuru Kikosi cha mizinga kirudi Tanzania, kambi ikabaki na silaha za kawaida. Mnamo mwaka 2017 kama (sijakosea) Kambi ya JWTZ kama walinda amani kongo chini ya UN ilishambuliwa kwa kuvamiwa na waasi nakupelekea jumla ya askari wa JWTZ 14 kupoteza maisha na wengine zaidi ya 40 kujeruhiwa.
Kuna captain wa JWTZ aliekuwa kwenye hiyo operation, alisema UN ndo ilikuwa chanzo cha vifo na majeruhi hao baada ya kuamru kikosi Chao kipunguze nguvu ya silaha kwa kurudishwa kikosi cha Mizinga nyumbani, siku chache mbeleni waasi ndo wakashambulia kambi huku askari wakiwa wamebaki na silaha nyepesi tu kama SMG, SR pistols na n.k. akaenda mbali kwa kusema UN ndo Chanzo cha matatizo na kukosekana kwa amani nchini kongo ikifanya kazi kwa maslahi ya Mataifa ya ulaya na Amerika.
Akaongezea kwa kusema, kambi zote za waasi nchini kongo wanajua zilipo na kuna muda hadi hao waasi wanakuja kwenye kambi za UN kugongea fegi, misosi na nk tena kwa dharau na hurusiwi kuwagusa wala kuwakamata ( Order ya UN).
Inshort mwamba aliongea mengi sana na kwa uchungu sana kuihusu UN chombo kinacho sadikika kulinda amani ya dunia ila walio shiriki "battlefield" chini ya UN ndo wanajua UN ni jitu gani na Lina malengo ngani.
Binafsi Ukiniuliza UN nini, nitakujibu ni organization ya ugaidi na uvunjifu wa amani duniani. Ukiona UN wameleta vikosi nchini mwako tegemea kuona political instability and unrest terrorism kwa kipindi kirefu sana. Ni mjinga pekee ndo anaweza kukubali kuwa waasi wa ADF au M23 wameshindikana dhidi ya jeshi la nchi ya DRC na vikosi vya UN, my friend every thing is under control.
UN ni miongoni mwa sababu zilizo nifanya nisimame na Russia [emoji635] katika operation yake, na natamani huko mbeleni ije kuundwa UN ya kweli isiyo chini ya USA na westerns.
SHAME ON UN
MUCH RESPECT TO JWTZ [emoji1241]
Hapo kwenyewe unatamani kukimbia uzi ila unaona aibu nyie ndo ulio kuwa unasema nato lazima waingilie wazima wazima vita hii ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha cha ajabu nato silaha zao zenyewe zina waumbua
Mmeshindikana mdomoni uwanja WA vita weupeeeeeWewe sijui unabwabwaja nini muda wote, hebu iga wenzako tuendelee na hoja, niache nimewaambia mimi ni kama Zelensky, nimeshindikana kwa wote.
Naungana na wakongoman kwahili wanaloliendelezaKwa nchi zote za East Africa naweza kusema JWTZ ndo jeshi bora na imara kuliko majeshi yote likifuatiwa na jeshi la Rwanda then n.k. Kuna kikundi cha wahuni (waasi) kilijaribu kuwasha moto pale kibiti, police wakajaribu kupambana wakashindwa, ikabidi special force kutoka JWTZ waingie mzigoni kwa sare za askari polisi, ndani ya siku kadhaa Waasi wote walitembezewa kipigo cha hatari na kukamatwa pia toka kipindi hicho waasi hawana hamu na Tanzania tena. Pongezi ziende kwa jeshi letu la Wananchi (JWTZ)
Pia Kuna mwaka kikosi cha JWTZ chini ya UN kilipewa operation command kupambana na waasi wa kongo (M23 or ADF) kikaenda kikosi cha mizinga ndani ya muda mfupi kilitembeza kichapo kitakatifu mpaka waasi wakapoteana.
UN na mabeberu baada ya kuona moto huo wa JWTZ wakaamuru Kikosi cha mizinga kirudi Tanzania, kambi ikabaki na silaha za kawaida. Mnamo mwaka 2017 kama (sijakosea) Kambi ya JWTZ kama walinda amani kongo chini ya UN ilishambuliwa kwa kuvamiwa na waasi nakupelekea jumla ya askari wa JWTZ 14 kupoteza maisha na wengine zaidi ya 40 kujeruhiwa.
Kuna captain wa JWTZ aliekuwa kwenye hiyo operation, alisema UN ndo ilikuwa chanzo cha vifo na majeruhi hao baada ya kuamru kikosi Chao kipunguze nguvu ya silaha kwa kurudishwa kikosi cha Mizinga nyumbani, siku chache mbeleni waasi ndo wakashambulia kambi huku askari wakiwa wamebaki na silaha nyepesi tu kama SMG, SR pistols na n.k. akaenda mbali kwa kusema UN ndo Chanzo cha matatizo na kukosekana kwa amani nchini kongo ikifanya kazi kwa maslahi ya Mataifa ya ulaya na Amerika.
Akaongezea kwa kusema, kambi zote za waasi nchini kongo wanajua zilipo na kuna muda hadi hao waasi wanakuja kwenye kambi za UN kugongea fegi, misosi na nk tena kwa dharau na hurusiwi kuwagusa wala kuwakamata ( Order ya UN).
Inshort mwamba aliongea mengi sana na kwa uchungu sana kuihusu UN chombo kinacho sadikika kulinda amani ya dunia ila walio shiriki "battlefield" chini ya UN ndo wanajua UN ni jitu gani na Lina malengo ngani.
Binafsi Ukiniuliza UN nini, nitakujibu ni organization ya ugaidi na uvunjifu wa amani duniani. Ukiona UN wameleta vikosi nchini mwako tegemea kuona political instability and unrest terrorism kwa kipindi kirefu sana. Ni mjinga pekee ndo anaweza kukubali kuwa waasi wa ADF au M23 wameshindikana dhidi ya jeshi la nchi ya DRC na vikosi vya UN, my friend every thing is under control.
UN ni miongoni mwa sababu zilizo nifanya nisimame na Russia [emoji635] katika operation yake, na natamani huko mbeleni ije kuundwa UN ya kweli isiyo chini ya USA na westerns.
SHAME ON UN
MUCH RESPECT TO JWTZ [emoji1241]
PAKISTAN TAIFA TEULEWapikistan mpaka wanalia wakikutana live na uyu mzee wanampenda kupitiliza alikataa mabilion ya dola kutoka USA alivyokuwa waziri mkuu ili wajenge military base yao pakistan lakini mwamba akagoma na the way alivyowajibu West walivyomtaka atoe tamko kuhusu Russia kuivamia Ukraine mwamba aliwajibu vizuri sana nanukuu "" ivi mnatuchukuliaje sisi kuwa ni watumwa wenu kuwa kila mnachoamua sisi tutekeleze" uwo ndio ukawa mwanzo wa figisu mpaka wakafanikiwa kumtoa madarakani kimagumashi sasa mwamba anarudi ulingoni huu mwaka pro NaTO na vibaraka wenu wengine mtaomba pooh.
Tumaini tu. Uwezo wa tekinolojia wa Urusi ni duni. Wanao mahandisi wazuri wanaoweza kubuni tekinoloja nzuri, lakini mfumo wote ni bovu, hapa sababu walipitiwa tayari na China na kuwa nyuma kimataifa. Hawana viwanda vya kuzalisha vitu vizuri vilivyobuniwa, hawana vipuli mbadala kwa vipuli vya kimagharibi wanavyotumia ndani ya vifaa vyao, na Putin alijenga utawala wake kwa kutumia wezi wakubwa - kumbe anaiba.Pro Russia tumeingia ubaridi au Himmars? Hope there'll be a way out . Dawa ya Himmars ipo
Kwahiyo wewe leo Russia huwaamini. Si huwa unasema wale wengine ni propaganda, sasa kama Russia huwaamini tena unadhani Mungu atatuma malaika aje kukwambia weweUnishangaze mie ngoja nikushangaze wewe kwanza
Kati ya RUSSIA anaesema kashambuliwa na UKRAINE anakataa kua hajashambulia yupi tumuamini !!!??
Au leo RUSSIA kupitia RT munawaamini
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakuuliza tena wewe na UKRAINE nani aaminiweKwahiyo wewe leo Russia huwaamini. Si huwa unasema wale wengine ni propaganda, sasa kama Russia huwaamini tena unadhani Mungu atatuma malaika aje kukwambia wewe
Ukraine is no more!!!!
Mpaka zinaharibu mjadalaHizo tactical mbona zimekuwa nyingi mnoo?