Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Jana kuna mtu huko DRC alihojiwa akaongea madini matupu
Anauliza MINUSMA cjui ndio Minani wapo DRC muda gani sasa faida gani wao wameipata kama wakongo man
Akamalizia kwakusema nikheri tukajifia wenyewe kwakujua kua hatulindwi na hatuna mlinzi kuliko kudanganywa kua tunalindwa halaf twaendelea kufa
MINUSMA cjui ndio wajinga gani hao wamesema kama jukumu lakuwalinda wakongo man nila jeshi la RDFC kama sijakosea sasa wanakaa wanangojea nn kongo siwaondoke
Naungana na wakongoman kwa 100%
Kwanza UN inatakiwa ivunjwe haina faida yeyooote ile[emoji35][emoji34][emoji35]

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakika Mkuu wakongo wameamuka kutoka usingizini washamjua mchawi wa matatizo yao ninani.

Pia hata hao UN hata Mali wameshakataliwa, dunia nzima sasa imechangamka, Ujinga na utumwa wa fikra unaenda unapotea siku hadi siku. (Pongezi ziende kwa Urusi [emoji635] kwa kuanzisha operation pale Ukraine [emoji1255])

MINUSMA wakataliwa Mali [emoji1159] (15/07/2022)

Mali will from Thursday suspend all new rotations of the United Nations’ MINUSMA peacekeeping mission, including those already scheduled, for “national security” reasons, the foreign ministry said.

Kama kweli UN wapo kwaajili ya kulinda amani si wapeleke vikosi vyao pale Ukraine kuzuia watu wasiendelee kufa. Kazi kujizungusha tu huku Africa kama Mbwa koko kisa sisi ni wanyonge. Wasogeze pua zao pale Ukraine kwenye operation ya Mrusi waone moto wa kisoviet[emoji23][emoji23][emoji23]

I STAND WITH A MAN WHO SAVING........... THE WORLD [emoji289] VVP[emoji635].
 
Zele fala sana,

Kulia anawaambia EU waisusie Gas ya Mrusi ili wasiendelee kuufadhili "ugaidi wa Putin" anao ufanya hapo kwao. Tena akiweka msisitizo ati Democracy is far better kuliko maisha magumu wanayopitia raia wa EU.

Hakuishia hapo akawaeleza Canada kurejesha huo mtambo kwa ajili ya matengenezo ni sawa na ku-side step (Ukiukwaji wa) their own sanctions hivyo wasipeleke.

Then kushoto Gas inakosekana hapo EU anageuka kua msemaji wao again ati Russia anatumia Gas yake kama weapon 😂😊.

Huyu mtu ana "jinsia" gani nje ya zile mbili tunazozijua 🤔? Dah maana hii brain sio ya binadam mwenye akili timamu anayezingatia kila linalotoka kwenye kichwa chake.
 
Hakika Mkuu wakongo wameamuka kutoka usingizini washamjua mchawi wa matatizo yao ninani.

Pia hata hao UN hata Mali wameshakataliwa, dunia nzima sasa imechangamka, Ujinga na utumwa wa fikra unaenda unapotea siku hadi siku. (Pongezi ziende kwa Urusi [emoji635] kwa kuanzisha operation pale Ukraine [emoji1255])

MINUSMA wakataliwa Mali [emoji1159] (15/07/2022)

Mali will from Thursday suspend all new rotations of the United Nations’ MINUSMA peacekeeping mission, including those already scheduled, for “national security” reasons, the foreign ministry said.

Kama kweli UN wapo kwaajili ya kulinda amani si wapeleke vikosi vyao pale Ukraine kuzuia watu wasiendelee kufa. Kazi kujizungusha tu huku Africa kama Mbwa koko kisa sisi ni wanyonge. Wasogeze pua zao pale Ukraine kwenye operation ya Mrusi waone moto wa kisoviet[emoji23][emoji23][emoji23]

I STAND WITH A MAN WHO SAVING........... THE WORLD [emoji289] VVP[emoji635].
Kabisa MKUU hao DRC na MALI soon wanaenda kua naamani kama watafanikisha hayo
waende UKRAINE wakalinde amani wanangojea nn sijui

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo Ukraine Yuko anamchapa Russia?Kama uwezo wa Russia ni duni,NATO Iko Kwa ajili gani?
Jaribu kusoma ninachoandika (kama kawaida - alama hizo ndogo ni herfi zinazofanya maneno yanayoeleweka!!).
Pia fanya jaribio la mantiki. Ukianza na hitimisho, angalia kwanza kama mwenzako alisema kitu kinacholingana. Ambacho sikusema.
Uwezo wa tekinolojia wa Urusi ni duni, uwezo wake kupeleka silaha za zamani uwanjani ni kubwa sana. Tuko pamoja, je?
Sasa jaribu tena.
 
Shauri yako taifa la England ndio lilibeba " white man burden" wazungu wa watu waliacha familia zao wakasambaa dunia nzima kufuta ujinga, wakasambaa wakapima ardhi wakachora mipaka, in short ideas nyingi chimbuko lake ni England tujue England ana watoto wawili USA na AUSTRALIA.

embu niambie taifa lingine lilolo zaa taifa lingine

England mama wa Us na australia huko kote kulikua na wenyeji wao ni waporaji,
wanyonyaji,wauwaji tuu.

Civilization, knowledge, power were black peoples thinks.Na ilikua ivyo hata kabla ya dola la Ugiriki na rome.Ni wabaguzi wa rangi ndio wanaosambaza mabaya juu ya race yetu ili kuficha ukuu wetu tuliowai kuupitia kwenye hii ardhi ya dunia.

Tambua ya kwamba hao weupe ni weupe mbele yetu maili miamoja wala hiyo table manners unayosemea haina maana yoyote sanasana ni kwa watu wa class ya juu kijamii ndio wanapngapanga izo silva mezani wengi daraja la kati na mwisho hata haina umuhimu wwte.
 
Non sense,huujui uwezo wa tech wa Russia!Waulize US wanaopewa lift kwenda space ndio wanajua uwezo wa Russia kitech!Au Waulize US ni majaribio mangapi wamefanya ya hypersonic missile na kufeli wakati Russia anazo kitambo tu na ametumia huko Ukraine!
 
England mama wa Us na australia huko kote kulikua na wenyeji wao ni waporaji,
wanyonyaji,wauwaji tuu.

Civilization, knowledge, power were black peoples thinks.Na ilikua ivyo hata kabla ya dola la Ugiriki na rome.Ni wabaguzi wa rangi ndio wanaosambaza mabaya juu ya race yetu ili kuficha ukuu wetu tuliowai kuupitia kwenye hii ardhi ya dunia.

Tambua ya kwamba hao weupe ni weupe mbele yetu maili miamoja wala hiyo table manners unayosemea haina maana yoyote sanasana ni kwa watu wa class ya juu kijamii ndio wanapngapanga izo silva mezani wengi daraja la kati na mwisho hata haina umuhimu wwte.
Please, hawakuwa waporaji, hizo ardhi walizikalia kwasababu they feel like they deserve it! Sasa ni kitu gani kuliwafanya wajimegee ardhi kubwa kiasi hicho? Yaan robo ya ardhi ya dunia hii, mbona wengine sisi Afrika wala tulikuwa hatuna time. Ukiangalia huo mlolongo utajua kuna kitu kilikuwa nyuma. God works in mysterious ways.

Na pia fuatilia why ancient Rome use to take slave from slavic nation ambayo ndio Russia
 
America(us) wenyeji wa pale wako wap red Indians? Australia aborigas wako wapi?

Kuhusu slavs walikua weak ndio maana walitwaliwa kama watumwa at that time sisi tulikua na status sawa na waromani.

Tulikua hatuna time kivip hivi unajua spain, italy na france ziliwahi kuwa chini ya imaya ya mweusi?

Africa tulirudi nyuma au kudhoofishwa na ujio wa waarabu na kuanzisha mambo ya utumwa ikasababisha baa la njaa falme kuanguka na manpower kuondoka.

Yote kwa yote hakuna jamii yoyote iliyofanya makubwa kutuzidi sisi na hilo linawatafuna kila siku kwa hofu tukiamka hatukamatiki.
 
Pro afrika akiwa katika ubora wake.

Mpige Nondo mpaka akili zikae sawa.

Nilichojifunza West Wana sifa zote za Shetani wanazozingumzia hutumia hila, fitna, uongo, vita kwenye kuiaminisha dunia kwamba wao ni bora.

Ila ukweli haupo hivyo na dunia itakapo kwenda watazidi kuumbuka.

Ila tujiandae na mapinduzi ya Kijeshi kwenye Mataifa yasiyoyaunga mkono.

Uganda wameanza Maandamano ya kudai maisha magumu ila hili linatokea baada tu ya ziara ya Sergei Lavrov

Kumbuka Uchumi wao, Umejengwa kwa mfumo wa kinyonyaji na mizizi yake imejikita hadi huku Afrika.

Hivyo kuuondoa ukoloni mamboleo ni kutikisa chumi zao,
kitu ambacho hawatokubali na kwa Sasa idara zao za kijasusi zipo kazini kuja na counter measure za kutosha,
je dunia ipo tayari?
 
Please, hawakuwa waporaji, hizo ardhi walizikalia kwasababu they feel like they deserve it! Sasa ni kitu gani kuliwafanya wajimegee ardhi kubwa kiasi hicho? Yaan robo ya ardhi ya dunia hii, mbona wengine sisi Afrika wala tulikuwa hatuna time. Ukiangalia huo mlolongo utajua kuna kitu kilikuwa nyuma. God works in mysterious ways.

Na pia fuatilia why ancient Rome use to take slave from slavic nation ambayo ndio Russia
So mdau haya yote huwa unawaambia wanao, watoto zako nao wanasimulia watoto wa jirani yako. Wa jirani nae kwa jirani yake so list inaendelea.

Of course namna hiyo ndio unavyo-sambaza "copy" yako kama walivyofanya waliotangulia kwako hatimae wakapatikana watu wa aina yako.

Kwa hali hii, for sure safari ya matumaini kwa watu weusi bado ina changamoto sana. Mdau? Kwamba hawakupora sio? Walistahili, Really? Kama unafikiri wa Afrika na wengineo walio tawaliwa hawakua na "mda" na hayo maeneo waliyo jitwalia unafikiri waliwapinga ili iweje?

Hope kabla hatujaanza vita na adui wa nje we should disown ma-adui wa ndani mithili yako na wenzio.

Na to keep it short we kama ni mweusi basi wewe ni adui wa asili yako.
 
Shauri yako taifa la England ndio lilibeba " white man burden" wazungu wa watu waliacha familia zao wakasambaa dunia nzima kufuta ujinga, wakasambaa wakapima ardhi wakachora mipaka, in short ideas nyingi chimbuko lake ni England tujue England ana watoto wawili USA na AUSTRALIA.

embu niambie taifa lingine lilolo zaa taifa lingine
Sometime tunalike so Kwamba tumekubali na kupenda kilichoandikwa Bali tupo na mpango was kuomba dislike, na angry.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
So mdau haya yote huwa unawaambia wanao, watoto zako nao wanasimulia watoto wa jirani yako. Wa jirani nae kwa jirani yake so list inaendelea.

Of course namna hiyo ndio unavyo-sambaza "copy" yako kama walivyofanya waliotangulia kwako hatimae wakapatikana watu wa aina yako.

Kwa hali hii, for sure safari ya matumaini kwa watu weusi bado ina changamoto sana. Mdau? Kwamba hawakupora sio? Walistahili, Really? Kama unafikiri wa Afrika na wengineo walio tawaliwa hawakua na "mda" na hayo maeneo waliyo jitwalia unafikiri waliwapinga ili iweje?

Hope kabla hatujaanza vita na adui wa nje we should disown ma-adui wa ndani mithili yako na wenzio.

Na to keep it short we kama ni mweusi basi wewe ni adui wa asili yako.
hold Hold, broo look at things Objectively not at subjective angle you will thank me later
 
commercial break!!
NETANYAHU
talking about military coordination in syria.
Meaning russia turning blind eye by not activating S-400 israel ikiingia syria
tutajua mengi

Россия не зимбамбве
israel.JPG
 
Back
Top Bottom