MWANAHARAMU
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 5,350
- 13,622
Inaelekea hapa ndio mwisho wako wa kujibu hoja.Inaelekea moto wa jw kibiti ulikugusa sio bure
Ngoja nikaingie kwenye mjadala wa Ngaboru kule na yule mtukuza wazungu.
Kwa heri.
Inaelekea hapa ndio mwisho wako wa kujibu hoja.Inaelekea moto wa jw kibiti ulikugusa sio bure
Binadamu amekuwa akimyonya binadamu mwenzie toka enzi na enzi, ndicho kitu pekee alichojua katika kukuza uchumi. Na hii namanisha ulimwengu wote kulikuwa na system za kinyonyaji, machifu kuchukua mali za watu ilikuwa kawaida. Ndipo great Britain ikaibuka,ikafunguliwa. ikafinya uwezo wa King kunyonya, wakatambua uwepo wa haki ya msingi ya kumiliki mali kwa kila mwanadamu, haki ambayo hata king hawezi chukua, HUU NDIO USTAARABU WENYEWE. Wakati watu wa mataifa mengine wakiwa manyumbu full kunyonywa na watawala wao.
Ni ushahidi tosha kwamba England ni baba yetu, nakushangaa unaposema ubaguzi, utumwa, kwa taifa yako England ndo nchi ya kwanza kuban utumwa, ikifwatiwa na na Amerika. Pia jua gharama walizoingia haya mataifa teule. Britain ilibidi atumie british navy kuzuia hii trade, Amerika aliingia vita vya wenyewe kwa wenyewe akipigania mtu mweusi aachiwe huru, jamani hivi mnataka Muujiza gani mwingine kutoka kwa my beloved the Great Britain, hivi ni kona gani ya dunia utamkuta mtu atakayepigania kweli hata kama haipo kimaslahi nae, afu leo unakuja kumtusi, SHAMELESS.
NA watu mnajichanganya pakubwa mzungu hakuleta UTUMWA bali alikuta biashara ya utumwa ikifanywa na waarabu wakishirikiana na machief wa kiafrika! Mbona hili lipo wazi. Mbona wanyamwezi wamekamata ndugu zetu wengi tu wakaauza kwa Tip tip na wao kukabithiwa bunduki ili wawakamate wengi zaidi. Mzungu alikuwa haiingii ndani huko kulikuwa na masoko ya utuma kama bagamoyo, hao watumwa walikuwa wanauzwa. Ni unyonyaji wa hao watawala ulipelekea sisi kubaguliwa wewe kiongozi wako anakuuza badala kusema ni kiongozi wako unaanza kurudha lawama kwa mzungu, they were doing business nothing personal wstu wamewekeza ukapige kaxi unaanza lia lia.
Yugoslavia, USSR.....Shauri yako taifa la England ndio lilibeba " white man burden" wazungu wa watu waliacha familia zao wakasambaa dunia nzima kufuta ujinga, wakasambaa wakapima ardhi wakachora mipaka, in short ideas nyingi chimbuko lake ni England tujue England ana watoto wawili USA na AUSTRALIA.
embu niambie taifa lingine lilolo zaa taifa lingine
Kama haziwekwi we umezijuaje!??WEwe usilete story za vijiwe vya kahawa yaani Russia imeachwa mbali kwenye technolojia! Utamaduni wa Russia technolojia zao hawaziweki kwenye bao za matangazo kama Marekani. Kuna mifumo mingi tu ya warussia ambayo inatumika iliyouzwa kwa kwenye ulimwengu wa teknolojia ila vilaza ndiyo wanaona Marekani ndiyo kila kitu
Mwambie huyo Kuamini kama wazungu wamestaarabika niupuuzi wahali yajuu kuliko upuuzi wenyeweEngland mama wa Us na australia huko kote kulikua na wenyeji wao ni waporaji,
wanyonyaji,wauwaji tuu.
Civilization, knowledge, power were black peoples thinks.Na ilikua ivyo hata kabla ya dola la Ugiriki na rome.Ni wabaguzi wa rangi ndio wanaosambaza mabaya juu ya race yetu ili kuficha ukuu wetu tuliowai kuupitia kwenye hii ardhi ya dunia.
Tambua ya kwamba hao weupe ni weupe mbele yetu maili miamoja wala hiyo table manners unayosemea haina maana yoyote sanasana ni kwa watu wa class ya juu kijamii ndio wanapngapanga izo silva mezani wengi daraja la kati na mwisho hata haina umuhimu wwte.
Hawa wazungu nikiendaga ulaya huwa nawapakia Mkongo mademu wao,nawasugua kwa hasira kweli kweli mpaka akili zinawakaa sawaNdugu adui mkubwa wa mwafrika ni fikra zake mwenyewe...asilimia kubwa ya mtu mweusi anamtukuza sana ngozi nyeupe yupo radhi hata kimdhuru mweusi mwenzake kwa ajili ya kumtetea slave master wake....hii kitu ni madhara ya institutional slavery, now days mzungu hajitetei kwa uovu alioufanya duniani bali ana kundi kubwa la vijana wenye slave mentality wanaofanya hiyo kazi tena kwa bidii kubwa
Sent from my LG-M200 using JamiiForums mobile app
Malcom x aliwahisema “The media's the most powerful entity on earth. They have the power to make the innocent guilty and to make the guilty innocent, and that's power. Because they control the minds of the masses.”Binadamu amekuwa akimyonya binadamu mwenzie toka enzi na enzi, ndicho kitu pekee alichojua katika kukuza uchumi. Na hii namanisha ulimwengu wote kulikuwa na system za kinyonyaji, machifu kuchukua mali za watu ilikuwa kawaida. Ndipo great Britain ikaibuka,ikafunguliwa. ikafinya uwezo wa King kunyonya, wakatambua uwepo wa haki ya msingi ya kumiliki mali kwa kila mwanadamu, haki ambayo hata king hawezi chukua, HUU NDIO USTAARABU WENYEWE. Wakati watu wa mataifa mengine wakiwa manyumbu full kunyonywa na watawala wao.
Ni ushahidi tosha kwamba England ni baba yetu, nakushangaa unaposema ubaguzi, utumwa, kwa taifa yako England ndo nchi ya kwanza kuban utumwa, ikifwatiwa na na Amerika. Pia jua gharama walizoingia haya mataifa teule. Britain ilibidi atumie british navy kuzuia hii trade, Amerika aliingia vita vya wenyewe kwa wenyewe akipigania mtu mweusi aachiwe huru, jamani hivi mnataka Muujiza gani mwingine kutoka kwa my beloved the Great Britain, hivi ni kona gani ya dunia utamkuta mtu atakayepigania kweli hata kama haipo kimaslahi nae, afu leo unakuja kumtusi, SHAMELESS.
NA watu mnajichanganya pakubwa mzungu hakuleta UTUMWA bali alikuta biashara ya utumwa ikifanywa na waarabu wakishirikiana na machief wa kiafrika! Mbona hili lipo wazi. Mbona wanyamwezi wamekamata ndugu zetu wengi tu wakaauza kwa Tip tip na wao kukabithiwa bunduki ili wawakamate wengi zaidi. Mzungu alikuwa haiingii ndani huko kulikuwa na masoko ya utuma kama bagamoyo, hao watumwa walikuwa wanauzwa. Ni unyonyaji wa hao watawala ulipelekea sisi kubaguliwa wewe kiongozi wako anakuuza badala kusema ni kiongozi wako unaanza kurudha lawama kwa mzungu, they were doing business nothing personal wstu wamewekeza ukapige kaxi unaanza lia lia.
Uganda nao wamesema hawachaguliwi marafiki,Museveni akaongeza,"adui wa the West sio lazima awe adui wa Uganda!" Museveni aliongea haya mbele ya Lavrov,Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Urusi alipozuru Uganda majuzi.Mwamba kapigwa chini na amri zake za kijinga
💢 India won't be told what to do. India has taken exception to the “suggestion” by the US consulate in Mumbai that Russian ships should not be allowed at Mumbai port and has asserted to US that it is “India's sovereign right to deal with global partners on national interests”.
![]()
India objects to US consulate's direct letter to Mumbai Port Authority
US Consulate General in Mumbai asked Port Authority not to allow Russian vessels to dock. Indian authorities made it clear that its ‘Indias sovereign decision to engage with countries in national interests.economictimes.indiatimes.com
Wape elimu mkuu inaoneka bado kuna safari ndefu ya kuwa unslave huyu mtu mweusi hasa kwenye ufahamu wake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Utumwa kukomeshwa na waingereza ni baada ya kufanya MAPINDUZI ya viwanda na pia kiuchumi wafaransa walikua wanapiga bao kwenye soko kwa mfano bizaa ya sukari wafansa wakiendelea kutumia watumwa kwenye mashamba yao ambayo ilipelekea kuuzwa kwa bei ndogo while wao waliachana na mfumo wa watumwa na kutumia machine ambayo ikapelekea uuzwaji wa bizaa hiyo kwa garama kubwa.
Hapo umepata picha kwamba walisimamia hilo suala kwa namna nyingi moja kuondoa competition kwenye soko la bizaa, mbili mtumwa abaki africa ili awe soko lake na matumizi mengineyo.
Hiyo history yako ni ya wapi? Walimfanya nini Martin luther jr,unajua movement ya back to Africa ya kina Marcus Garvey?
Unajua mtu mweusi hakua anaruhusiwa kupata elimu,kumiliki ardhi,kuo weupe,kumiliki asset ya aina yoyote? Kwenye hiyo ardhi ya marekani.
Biashara ya watumwa ilikua kwa hao weupe ikiwemo wa arabu walioianzisha kwa mara ya kwanza africa.
😂😂😂😂Wanapenda show za kibabe hauwakomoi hata angalia usijiumize ww apo tuu mkuu🙌🙌🙌🙌.Hawa wazungu nikiendaga ulaya huwa nawapakia Mkongo mademu wao,nawasugua kwa hasira kweli kweli mpaka akili zinawakaa sawa
Nalog off Z
Ila Mkongo shikamoo mpaka mzungu anapiga kelele za pleeeease pleeeease tekere out,Im tired i can't take it any more!😂😂😂😂Wanapenda show za kibabe hauwakomoi hata angalia usijiumize ww apo tuu mkuu🙌🙌🙌🙌.
Wenye akili, post zako wanazipotezea wanajua wewe sawa na kofia la bati lisilogongewa misumari wanajua muda wowote linaweza kuchomoka juu ya bati ikawa majanga. Na kwa vile bichwa lako sawa na debe tupu, kelele kwako burudani ukishangilia ushindi kumbe wenye akili wamekupotezea.Mimi nimeshindikana kote, njoo Quora uone ninavyowaliza Warusi asili, wacha nyie hapo mnaoiga.
MKUU samahani maelezo zaidi maana nimeaoma tele nasoma na hapa ila sijajua jamaa kalenga niniView attachment 2305961
Dmitriy Medvedev in his telegram channel posted 2 maps of Ukraine:
1)In the brain of the President of Ukraine,affected by psychotropic substances,the following picture of the bright future of his country appeared
2)Western analysts believe that this will actually be the case
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Masikini, cheki masikini wakiwa mkutanoni, kuna inch zipo kupigwa na kitu kizito, oligach wanatatuta upenyoView attachment 2305971View attachment 2305972
Russian FM Lavrov slams the Western 'rules-based' order at the meeting with diplomats at the Russian Embassy in Addis Ababa, says US/EU sanctions against Moscow are illegal, adds that Russia should not be blamed for everything. He explains that the 'food crisis' is the result of the flawed economic policies of the West, worsened during events in Ukraine, but not directly caused by them.
Bonus kuna mwamba Mansa musa alienda kuhiji macca ila kutokana na utajiri wake
Utumwa haukuanza Afrika
Ngaboru hembu mwambie huyu kijisu ya pwani jinsi mansa musaa alivyopata hizo dhahabu nyingi hivyo. Aliokota kwa mikono yake au kuna watu walikuwa wanamwokotea buree tuu.Mwingereza alipinga Utumwa sio kwa sababu anakupenda ila kwa kuwa ilikuwa inampa faida zaidi mfaransa na Mhispania kuliko yeye, hasa kilimo Cha miwa.