Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Shauri yako taifa la England ndio lilibeba " white man burden" wazungu wa watu waliacha familia zao wakasambaa dunia nzima kufuta ujinga, wakasambaa wakapima ardhi wakachora mipaka, in short ideas nyingi chimbuko lake ni England tujue England ana watoto wawili USA na AUSTRALIA.

embu niambie taifa lingine lilolo zaa taifa lingine
Mbona umetaja nchi chache hivyo. Australia wale wazungu wote ni Waingereza, Aborigines wa Australia ni weusi. New Zealand ni Waingereza, Hong Kong wale Wachina wenye mchanganyiko wa kizungu ni Waingereza ndio kama kina Bruce Lee. Canada na USA zinachangiwa na Wafaransa na Waingereza mwanzoni kabla wazungu wengine hawajaamia. Kuna sababu kwanini Queen Elizabeth II ni monarchy of 14 independent countries na hapo nyingi zishaondoka. Kuna sababu kwa nini kwenye historia kuna Victorian era aliyekuwa malkia wa Uingereza
 
Uganda nao wamesema hawachaguliwi marafiki,Museveni akaongeza,adui wa the West sio lazima awe adui wa Uganda!Museveni aliongea haya mbele ya Lavrov,Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Urusi alipozuru Uganda majuzi.

Nafurahi sana kwa kweli,Dunia naona imeamka sasa,👍.Tunasubiri tamko la Tanzania kwa hamu.

Tanzania 🇹🇿 kupitia mulamula ikitoa tamko kwamba Tanzania 🇹🇿 haifungamani na upande wowote kwenye hii vita
 
View attachment 2305961

Dmitriy Medvedev in his telegram channel posted 2 maps of Ukraine:

1)In the brain of the President of Ukraine,affected by psychotropic substances,the following picture of the bright future of his country appeared

2)Western analysts believe that this will actually be the case
Huyu Medvedev Ni hatari na ana akili mbovu kuliko Putin .
Wamagharibi wasitumaini kabisa eti Kwamba akiondoka Putin atakuja pro West!
Atakaeingia baada ya Putin Ni w kutisha zaidi. Either aweza kuwa
Medvedev au Shoigu ama pia asiyejulikana lakini mwenye misimamo thabiti dhidi yao

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Ukraine itabaki na kiev tu hawa jamaa wako serious kabisa ni sual la muda tu
 
Wakati tunapigana na Uganda walikuwa wametuzidi vifaa na teknolojia vita ni zaidi ya hivyo vitu ulivyotaja kama ingekuwa hivyo marekani asingepigwa na Vietnam
Uganda waliwazidi wabongo LabdA idadi ya silaha lakini si teknolojia.
Uganda na Tz wote tulitumia na tunatumia Soviet/Russian made weapons.
Eg mig 21 ambayo Ni Chinese made J7 nk.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Mwamba kapigwa chini na amri zake za kijinga
[emoji96] India won't be told what to do. India has taken exception to the “suggestion” by the US consulate in Mumbai that Russian ships should not be allowed at Mumbai port and has asserted to US that it is “India's sovereign right to deal with global partners on national interests”.

Marekani sahivi kila mtu anamkataa ni AIBU
 
Ngaboru hembu mwambie huyu kijisu ya pwani jinsi mansa musaa alivyopata hizo dhahabu nyingi hivyo. Aliokota kwa mikono yake au kuna watu walikuwa wanamwokotea buree tuu.

Pia hembu mniambie au mnionyeshe sultan wa Zanzibar alipokuwa analima sukari mpaka aje kupigwa bsn na mzungu
Hakika wewe ni debe tupu haliachi kutika.

Ulisikia wapi? kwamba Zanzibar Ina mashamba makubwa ya miwa?

Ulisikia wapi?
Zanzibar lilikuwa ni soko kuu la watumwa, pembe za ndovu na kadhalika.

Nadhani Ngaboru alikuelezea pia swala la Masoko na machine kuliko human Labour.

Kwa hiyo hauamini wealth can be accumulated through business bila unyonyaji [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38].
 
Ngaboru hembu mwambie huyu kijisu ya pwani jinsi mansa musaa alivyopata hizo dhahabu nyingi hivyo. Aliokota kwa mikono yake au kuna watu walikuwa wanamwokotea buree tuu.

Pia hembu mniambie au mnionyeshe sultan wa Zanzibar alipokuwa analima sukari mpaka aje kupigwa bsn na mzungu

Elon mask au Dangote kwa huo utajiri walionao wanajikusanyia peke yao huo utajiri?

Naona umelewa na spana😂😂😂😂😂haijazungumziwa zanzibar wala sultani umejibiwa habari za wamarekani na waingereza wako.
 
The results of Lavrov's tour of Africa. The backdrop was Western statements about the "isolation" of Russia, but in the end Borrell complained that Lavrov was more popular in the Western press than he was.

🇪🇬 Egypt
✔️ conveyed Putin's message to the President
✔️discussed Cairo's interest in joining the work of the SCO and BRICS
✔️ promised that the Russian Federation would supply grain to Egypt, regardless of the "grocery deal"

🇨🇬Republic of the Congo
✔️First ever visit
✔️ brought Putin's message
✔️The Foreign Minister of the Congo assured that they are "true friends" of the Russian Federation
✔️countries will increase military-technical cooperation

🇺🇬 Uganda
✔️visited the country for the first time
✔️ The role of Africa in the foreign policy of the Russian Federation will grow, and the Western direction "is now canceling itself"
✔️President Museveni is perplexed by calls for Africa to take an anti-Russian stance
✔️countries will build cooperation in energy and agro-industrial complex independent of the West

🇪🇹 Ethiopia
✔️ discussed preparations for the Russia-Africa summit in 2023
✔️ will implement new plans in the field of military-technical cooperation
✔️ and work on the development of logistics and financial chains in trade
 
Hii mbona sijaelewa fafanuzi please [emoji120]
Netanyahu akiwa Prime minister negotiated with russia

Russia has deployed its most advanced S-400 air defense system to Syria, but the sophisticated weapon does not seem to work against Israeli jets.

It is an open secret that Moscow, an ally of Syrian President Bashar al-Assad, allows Israel to conduct air strikes against both the Syrian army and Iranian militias operating in the country. Russia’s supremacy over Syria’s airspace helped turn the conflict in Assad’s favor, so why does it allow Israel to carry out its operations unimpeded?

On December 28, Israeli warplanes attacked the container complex at the port of Latakia, in a part of Syria where Russia maintains its main naval base. The strikes hit a yard thought to house Iranian weapons shipments.
This was Israel’s second attempt to destroy the cargo. The first one took place on December 7, but was apparently less successful than the latest air strike, which caused significant damage.

That night, neither Russia’s S-400 nor Syria’s air defense systems attempted to hit the Israeli planes. The truth is, Russia never activates its air defense systems against Israeli jets. Such passivity is believed to be part of a wider deal between the two countries.

After the Kremlin started its military adventure in Syria in 2015, it reached an agreement with the Jewish state: Israel reportedly pledged to guarantee the safety of Russian citizens and military installations in Syria during its strikes on Iranian militias and Syrian military targets. In return, Moscow promised not to use its weapons to repel Israeli attacks.

Jamaa yangu umekuaje au huyo alosema kwamba daraja lisitumike nani!!?
Naomba nirejee nliposema awali napingana nawewe uliposema kwamba shambulizi limefanya daraja lisitumike
Nikakwambia wewe na DW nani tuwaamini maana wao wamesema magari na vifaa vitapita kama kawaida ila kwashida kidogo kutokana na mashimo shimo
Ila unakana maneno yako ww jamaa banaView attachment 2305722

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo kasharukwa na akili kawa mjinga mjinga.
 
Huyu Medvedev Ni hatari na ana akili mbovu kuliko Putin .
Wamagharibi wasitumaini kabisa eti Kwamba akiondoka Putin atakuja pro West!
Atakaeingia baada ya Putin Ni w kutisha zaidi. Either aweza kuwa
Medvedev au Shoigu ama pia asiyejulikana lakini mwenye misimamo thabiti dhidi yao

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
apo kremlin unaambiwa putin peke yake ndiye mwenye huruma yani waliobaki ndio wangekuwa wanatoa amri Ukraine muda huu kungekuwa makazi ya dubu na wanyama wengine
 
The results of Lavrov's tour of Africa. The backdrop was Western statements about the "isolation" of Russia, but in the end Borrell complained that Lavrov was more popular in the Western press than he was.

🇪🇬 Egypt
✔️ conveyed Putin's message to the President
✔️discussed Cairo's interest in joining the work of the SCO and BRICS
✔️ promised that the Russian Federation would supply grain to Egypt, regardless of the "grocery deal"

🇨🇬Republic of the Congo
✔️First ever visit
✔️ brought Putin's message
✔️The Foreign Minister of the Congo assured that they are "true friends" of the Russian Federation
✔️countries will increase military-technical cooperation

🇺🇬 Uganda
✔️visited the country for the first time
✔️ The role of Africa in the foreign policy of the Russian Federation will grow, and the Western direction "is now canceling itself"
✔️President Museveni is perplexed by calls for Africa to take an anti-Russian stance
✔️countries will build cooperation in energy and agro-industrial complex independent of the West

🇪🇹 Ethiopia
✔️ discussed preparations for the Russia-Africa summit in 2023
✔️ will implement new plans in the field of military-technical cooperation
✔️ and work on the development of logistics and financial chains in trade
Unajua watu wetu wa Bongo, especially viongozi economics ni tatizo kubwa. Badala ya kutumia mapesa kibao kwa ajili ya Royo Tuwa, tungemkaribisha Lavrov na ingekuwa zaidi ya promo ya mwaka kwa Tanzania.

Sasa hivi Uganda, Congo, Ethiopia na Misri ni maarufu na mashuhurI mara ^tar-two^ zaidi. Tunakwama wapi?
 
Shauri yako taifa la England ndio lilibeba " white man burden" wazungu wa watu waliacha familia zao wakasambaa dunia nzima kufuta ujinga, wakasambaa wakapima ardhi wakachora mipaka, in short ideas nyingi chimbuko lake ni England tujue England ana watoto wawili USA na AUSTRALIA.

embu niambie taifa lingine lilolo zaa taifa lingine
Bahati,
Natumia JF old version sipati notification. Sikuona hii reply yako.
Aisee ndugu unatakiwa utazame upya mtazamo wako kuhusu wazungu. Sijui una maslahi nao gani au unapata nini kwa wewe kuwa na mtazamo huo au ilikuwaje? Je ni dini? Maisha? Mazingira? Kazi? Au makazi yamekufanya uwe na huu mtazamo? Kiukweli nimeshindwa kupata jibu la haraka.
 
Back
Top Bottom