Russia![]()
Russia ni Overrated sanaUkraine is no more!!!!
Russia![]()
Russia ni Overrated sanaUkraine is no more!!!!
Napendekeza utunukiwe Nobel Prize because uko kwenye the very track ya kufanya phenomenal diagnosis na hivyo ku-solve long-standing problem ambayo imewatatiza sana Wazungu wa Ulaya.Zele fala sana,
Kulia anawaambia EU waisusie Gas ya Mrusi ili wasiendelee kuufadhili "ugaidi wa Putin" anao ufanya hapo kwao. Tena akiweka msisitizo ati Democracy is far better kuliko maisha magumu wanayopitia raia wa EU.
Hakuishia hapo akawaeleza Canada kurejesha huo mtambo kwa ajili ya matengenezo ni sawa na ku-side step (Ukiukwaji wa) their own sanctions hivyo wasipeleke.
Then kushoto Gas inakosekana hapo EU anageuka kua msemaji wao again ati Russia anatumia Gas yake kama weapon 😂😊.
Huyu mtu ana "jinsia" gani nje ya zile mbili tunazozijua 🤔? Dah maana hii brain sio ya binadam mwenye akili timamu anayezingatia kila linalotoka kwenye kichwa chake.
Very serious Ivi unadhani tungekua weak kama unavyofikiri hao wabaguzi wa rangi wangewafanya watumwa waslav instead of sisi ebu fikiria vyema unakumbuka egypt empaya? Unammbuka ceasa ?Serious! Where are these stories from? Lost martian, or antlantis, or nebura
Ndugu adui mkubwa wa mwafrika ni fikra zake mwenyewe...asilimia kubwa ya mtu mweusi anamtukuza sana ngozi nyeupe yupo radhi hata kimdhuru mweusi mwenzake kwa ajili ya kumtetea slave master wake....hii kitu ni madhara ya institutional slavery, now days mzungu hajitetei kwa uovu alioufanya duniani bali ana kundi kubwa la vijana wenye slave mentality wanaofanya hiyo kazi tena kwa bidii kubwaSo mdau haya yote huwa unawaambia wanao, watoto zako nao wanasimulia watoto wa jirani yako. Wa jirani nae kwa jirani yake so list inaendelea.
Of course namna hiyo ndio unavyo-sambaza "copy" yako kama walivyofanya waliotangulia kwako hatimae wakapatikana watu wa aina yako.
Kwa hali hii, for sure safari ya matumaini kwa watu weusi bado ina changamoto sana. Mdau? Kwamba hawakupora sio? Walistahili, Really? Kama unafikiri wa Afrika na wengineo walio tawaliwa hawakua na "mda" na hayo maeneo waliyo jitwalia unafikiri waliwapinga ili iweje?
Hope kabla hatujaanza vita na adui wa nje we should disown ma-adui wa ndani mithili yako na wenzio.
Na to keep it short we kama ni mweusi basi wewe ni adui wa asili yako.
Hata congo nao wanawasukuma Monusco waondoke Nchini mwao maana hmwananchi hawawaelewi na namna wanavyolinda amaniPro afrika akiwa katika ubora wake.
Mpige Nondo mpaka akili zikae sawa.
Nilichojifunza West Wana sifa zote za Shetani wanazozingumzia hutumia hila, fitna, uongo, vita kwenye kuiaminisha dunia kwamba wao ni bora.
Ila ukweli haupo hivyo na dunia itakapo kwenda watazidi kuumbuka.
Ila tujiandae na mapinduzi ya Kijeshi kwenye Mataifa yasiyoyaunga mkono.
Uganda wameanza Maandamano ya kudai maisha magumu ila hili linatokea baada tu ya ziara ya Sergei Lavrov
Kumbuka Uchumi wao, Umejengwa kwa mfumo wa kinyonyaji na mizizi yake imejikita hadi huku Afrika.
Hivyo kuuondoa ukoloni mamboleo ni kutikisa chumi zao,
kitu ambacho hawatokubali na kwa Sasa idara zao za kijasusi zipo kazini kuja na counter measure za kutosha,
je dunia ipo tayari?
Wakati tunapigana na Uganda walikuwa wametuzidi vifaa na teknolojia vita ni zaidi ya hivyo vitu ulivyotaja kama ingekuwa hivyo marekani asingepigwa na VietnamEbu fafanua ukilinganisha na nchi ulizozitaja.
Kwenye idadi ya Askari walio kwenye service na reserve.
Uwezo wa nchi kufanya mobilization kwa kipindi kifupi.
Teknolojia
Military spending hasa purchase of military hardware's.
Uchumi wa nchi na Military budget ukilinganisha na nchi tajwa.
Uzoefu wa kivita kwa askari wa kila Taifa hasa miaka ya karibuni.
Pro afrika akiwa katika ubora wake.
Mpige Nondo mpaka akili zikae sawa.
Nilichojifunza West Wana sifa zote za Shetani wanazozingumzia hutumia hila, fitna, uongo, vita kwenye kuiaminisha dunia kwamba wao ni bora.
Ila ukweli haupo hivyo na dunia itakapo kwenda watazidi kuumbuka.
Ila tujiandae na mapinduzi ya Kijeshi kwenye Mataifa yasiyoyaunga mkono.
Uganda wameanza Maandamano ya kudai maisha magumu ila hili linatokea baada tu ya ziara ya Sergei Lavrov
Kumbuka Uchumi wao, Umejengwa kwa mfumo wa kinyonyaji na mizizi yake imejikita hadi huku Afrika.
Hivyo kuuondoa ukoloni mamboleo ni kutikisa chumi zao,
kitu ambacho hawatokubali na kwa Sasa idara zao za kijasusi zipo kazini kuja na counter measure za kutosha,
je dunia ipo tayari?
Vita ya mwaka 70 huko unafananisha na Leo?Wakati tunapigana na Uganda walikuwa wametuzidi vifaa na teknolojia vita ni zaidi ya hivyo vitu ulivyotaja kama ingekuwa hivyo marekani asingepigwa na Vietnam
Very serious Ivi unadhani tungekua weak kama unavyofikiri hao wabaguzi wa rangi wangewafanya watumwa waslav instead of sisi ebu fikiria vyema unakumbuka egypt empaya? Unammbuka ceasa ?
Kuhusu black race kutawala italy,france na spain sio ramani ya sasa ni kwa kipindi hiko unajua europe na morocco zimepishana km ngap?
Unamkumbuka , sundiata?
Bonus kuna mwamba Mansa musa alienda kuhiji macca ila kutokana na utajiri wake aligawa dhahabu kila alipopita mpaka akasababisha mfumuko wa bei ikapelekea alivyorudi kuzinunua izo dhahabu tena ili kustabilize uchumi wa aliko pita alafu unasema nini hiyo ni legacy ambayo hamna mbuzi yyte kutoka race nyingine aliyeweza kuifikia.
Inaelekea moto wa jw kibiti ulikugusa sio bureVita ya mwaka 70 huko unafananisha na Leo?
We mzee unajielewa? Morali ni muhimu kwenye kumshinda adui, je pekee inatosha?
Unafahamu tulipandikiza waasi ndani ya Uganda?
Mass mobilization tuliofanya unajua walitoka askari wangapi mpaka wangapi?
Huyo Uganda alikuwa na Teknolojia gani special?
Afrika wote kwenye military doctrine tunafuata tulizoiga ambayo wakati wa Uganda ilitumika ya Mashariki.
Tulipata hasara kiasi gani?
Taja hivyo vifaa na Teknolojia aliyokuwa nayo mganda?[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Pamoja sana mkuu GweregwereTaarifa nyingi anazoleta Mr Tyang huwa ni zakweli namfwatiliaga sana huyu jamaa.
USA Anapewa lift anataka kupiga na honi....Marekani yalalamika juu ya Urusi kutangaza ghafla kujitoa kwenye project ya International Space Station baada ya mwaka 2024. Ikumbukwe kuwa kwa miaka kibao (decades) NASA (Marekani) imekuwa ikienda angani kwa mgongo na lift ya chombo cha Urusi.
Mwambieni Marekani aache kulialia, kapewa lifti na Urusi kwa miongo (decades) kibao. Ni muda sasa wa Super Power wa 'kimchongo' (Marekani) aende huko angani na chombo chake😆😆🤣🤣😇😇😇😇
View attachment 2305479View attachment 2305480View attachment 2305481
Inasikitisha sana....😁😁😁Hizo tactical mbona zimekuwa nyingi mnoo?