Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kuwaliza as in kuwapora, si ndiyo? Mm sitaki na nisingependa kabisa kuingia kwenye uchokozi dhidi ya Putin because Ukraine amekuwa mfano tosha. Asiyejifunza kwake ana uhalakini kumkichwa.

Huyo Putin na Urusi niliwaogopa sana miaka yote, ila kwa namna wameangukia pua pale Ukraine, ni useless sana, dunia hii mtu anayeitwa Marekani ameachiwa kila kitu, hata waarabu wamekubali sasa.
 
Non sense,huujui uwezo wa tech wa Russia!Waulize US wanaopewa lift kwenda space ndio wanajua uwezo wa Russia kitech!Au Waulize US ni majaribio mangapi wamefanya ya hypersonic missile na kufeli wakati Russia anazo kitambo tu na ametumia huko Ukraine!
Ndugu amini tu, ninatetea uhuru wa imani. Hata kama imani iko mbali na uhalisia (imani fulani imeshinda dunia...) Nikiwauliza US kuhusu lifti kwenda anga-nje, wanashukuru ingawa haikuwa lifti kweli, walilipa nauli, tena si kidogo.
Lakini hawalipi tena kwa sababu hawatumii lifti hiyo. Tekinolojia mpya inapatikana hawaendi tena na Urusi. Ile Soyuz ya Urusi ni bodaboda ya anga-nje. Soyuz ni tekinolojia bora ya miaka ya 1970s. Ilikuwa nafuu kuliko kila kitu kilichotengenezwa na NASA ya Marekani, ilifanya kazi yake bila hitilafu.
Lakini je, umeshamkuta mtu anayependelea gari kuliko bodaboda? Basi utaelewa jibu kwa nini Marekani wameacha Soyuz. Sawa, Warusi wamenyosha Soyuz kidogo, lakini hata bodaboda yenye redio, stereo na GPS bado ni nini? Bodaboda!
Vita wanapigania sasa kwa kutumia vifaa vya enzi ya Soyuz. Ukraine wamepata silaha chache tu ya karne hii. Ingawa ni chache, tayari zinaleta matatizo kwa jeshi la Putin. Mashindano ya bodaboda (nyingi sana!) na magari (bado machache - tuone!)
 
Wenye akili, post zako wanazipotezea wanajua wewe sawa na kofia la bati lisilogongewa misumari wanajua muda wowote linaweza kuchomoka juu ya bati ikawa majanga. Na kwa vile bichwa lako sawa na debe tupu, kelele kwako burudani ukishangilia ushindi kumbe wenye akili wamekupotezea.

So wewe hapo mbona unanijibu, sikwepeki maana nawaliza wote na kote.
 
The results of Lavrov's tour of Africa. The backdrop was Western statements about the "isolation" of Russia, but in the end Borrell complained that Lavrov was more popular in the Western press than he was.

🇪🇬 Egypt
✔️ conveyed Putin's message to the President
✔️discussed Cairo's interest in joining the work of the SCO and BRICS
✔️ promised that the Russian Federation would supply grain to Egypt, regardless of the "grocery deal"

🇨🇬Republic of the Congo
✔️First ever visit
✔️ brought Putin's message
✔️The Foreign Minister of the Congo assured that they are "true friends" of the Russian Federation
✔️countries will increase military-technical cooperation

🇺🇬 Uganda
✔️visited the country for the first time
✔️ The role of Africa in the foreign policy of the Russian Federation will grow, and the Western direction "is now canceling itself"
✔️President Museveni is perplexed by calls for Africa to take an anti-Russian stance
✔️countries will build cooperation in energy and agro-industrial complex independent of the West

🇪🇹 Ethiopia
✔️ discussed preparations for the Russia-Africa summit in 2023
✔️ will implement new plans in the field of military-technical cooperation
✔️ and work on the development of logistics and financial chains in trade
Haya amapokelewa, hakukataliwa kuonana na wenyeji. Mafanikio sasa ni nini?
 
Kumbe daraja la Kherson limekwisha kweli. Kuna matangazo rasmi ya utawala wa Kirusi katika eneo la Kherson lililovamiwa kuwa daraja la Antonivskiy limefungwa. Jeshi la Ukraini lilipiga daraja kwa roketi kadhaa za HIMARS. Darja bado linasimama lakini kuna mashimo ndani yake na magari mazito hayawezi kupita tena. Hali hiyo imethibitishwa na mkuu wa utawala wa Kirusi Dmytro Butrii ( acting head of the Kherson Oblast State Administration):
1658961495201.png

Warusi wasingeweza kupiga vile. Wana idadi kubwa ya mizinga inayosaga kila kitu ikiwa na nafasi kurusha grenedi kwa siku kadhaa, lakini haiwezi kulenga kwa umakini. Roketi zenye uwezo huu ni chache mno upande wa Urusi, maana wanategemea vipuli vya kimagharibi ambavyo wanavipata kwa matatizo kubwa (gharama, rushwa) tu.
 
❗️🇷🇺Foreign partners under the International Space Station (ISS) project may have to buy station maintenance services from Russia if Moscow leaves the project after 2024, Russian space corporation Roscosmos chief Dmitry Rogozin told Sputnik. When asked in what currency such payments could have been settled, he said in rubles.
Tatizo iko wapi? Wakienda kweli(nina wasiwasi bado kwa sababu hawana pesa wala tekinolojia kujenga kituo kipya, na Wachian hawakuwakubali bado kwa kituo chao) waende tu. Wameleta sehemu ya ISS inayofanya kazi ya kuinua juu ISS mara kwa mara. Hii ni lazima kwa sababu ISS iko kwenye obiti ya duni ambako inapiigwa breki na sehemu ya nje ya angahewa. Lakini ni rahisi kufunga roketi fulani nje ya ISS inayoweza kuwaka kila baada ya muda na kuinua ISS,
Kama kawaida Putin anajaribu kutishatisha kidogo akimtegemea mjinga anayeona hofu...
 
Haya amapokelewa, hakukataliwa kuonana na wenyeji. Mafanikio sasa ni nini?
Ni uthibitisho Russia haijatengwa kama mlivyotaka kuiaminisha dunia.

Ni uthibitisho nchi za kiafrika zinaiunga mkono Ile operation.

Ni uthibitisho ushirikiano wa Kijeshi na kiuchumi utaendelea.

Ni uthibitisho dunia au wanavyopenda kuita jumuiya ya Kimataifa sio tu USA, Canada, Ulaya Magharibi, Japan na Australia Bali Mataifa yote.

Ni kuonyesha kwamba Urusi itaendelea kuongeza strategic Cooperation na nchi zilizo kusini mwa Sahara.

Ni kuonyesha nguvu ya Kasi ya uungwaji mkono kutoka Afrika inaongezeka.

Ni kuonyesha nguvu ya propaganda inatakiwa ibebwe na mahusiano bora kwa hayo Mataifa huku, ukiheshimu tamaduni zao.

N.B ukitaka ujue thamani yake ya Ile ziara, kamuulize Emmanuel Macron kwa nini Leo kaenda ziara nchini Cameroon na kuhaidi kuongeza ushirikiano pamoja na kutumia siraha nzito.

Kumbuka dominance au tunaita ushawishi wa Ufaransa unazidi kupungua hasa kwa Mataifa ya West Africa
 
Huyo Putin na Urusi niliwaogopa sana miaka yote, ila kwa namna wameangukia pua pale Ukraine, ni useless sana, dunia hii mtu anayeitwa Marekani ameachiwa kila kitu, hata waarabu wamekubali sasa.
nadhani ni muda sahihi sasa, kwa Jinsi Putin alivyofeli kule Ukraine, Kenya inaweza kumtwanga na kuirudisha Ukraine mikononi mwa Zelensky

Mdharau mwiba😅😅
 
Kimeumana huko kwa Putin. Urusi yapoteza magari elfu tisa ya kijeshi,kwenye vita yake na Ukraine [emoji848]
Elfu Tisa ni mengi Kwa nchi isiyotengeneza hayo magari ila Kwa wanaotengeneza hiyo ni production ya miezi miwili
 
nadhani ni muda sahihi sasa, kwa Jinsi Putin alivyofeli kule Ukraine, Kenya inaweza kumtwanga na kuirudisha Ukraine mikononi mwa Zelensky

Mdharau mwiba😅😅

Kwa ambavyo ameyumba anapigika tu, sema alichosalia nacho ni manyuklia na yenyewe huwa imewekwa kwenye mizani, siku ikisomwa vizuri itaondoshwa kwa mapigo ya kiwaki waki.
Marekani ametumia Ukraine kudhoofisha Urusi, kwa sasa hivi Urusi hajui arudi nyuma au asonge mbele, na Ukraine wanaandaa jeshi la wapiganaji milioni moja ili kuondoa adui ndani ya nchi yao.
 
Bahati,
Natumia JF old version sipati notification. Sikuona hii reply yako.
Aisee ndugu unatakiwa utazame upya mtazamo wako kuhusu wazungu. Sijui una maslahi nao gani au unapata nini kwa wewe kuwa na mtazamo huo au ilikuwaje? Je ni dini? Maisha? Mazingira? Kazi? Au makazi yamekufanya uwe na huu mtazamo? Kiukweli nimeshindwa kupata jibu la haraka.
Mkuu tatizo so old version kutopata notifications Bali Ni version zote hata I'll iliyopo play store shida Ni hiyohiyo.
Ninakosa notifications tokA 17 June sijui shida Nini
..
Jf shughulikieni Hili.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Hakika wewe ni debe tupu haliachi kutika.

Ulisikia wapi? kwamba Zanzibar Ina mashamba makubwa ya miwa?

Ulisikia wapi?
Zanzibar lilikuwa ni soko kuu la watumwa, pembe za ndovu na kadhalika.

Nadhani Ngaboru alikuelezea pia swala la Masoko na machine kuliko human Labour.

Kwa hiyo hauamini wealth can be accumulated through business bila unyonyaji [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38].
Cheki sasa umeenda OP
 
Unajua watu wetu wa Bongo, especially viongozi economics ni tatizo kubwa. Badala ya kutumia mapesa kibao kwa ajili ya Royo Tuwa, tungemkaribisha Lavrov na ingekuwa zaidi ya promo ya mwaka kwa Tanzania.

Sasa hivi Uganda, Congo, Ethiopia na Misri ni maarufu na mashuhurI mara ^tar-two^ zaidi. Tunakwama wapi?
Tofautisha umaarufu wa UTALII na umaarufu wa kuwa Rogue state
Royo tua ilikuwa ni kutangaza UTALII sio kutangaza nchi

Yugoslavia()
Afghanistan
Iraq
Syria
Sudan
Ni maarufu je zina watalii kutuzidi ?
 
HIMARS zishafanya yake huko Ukraine; Russia yateka mtambo wa kuzalisha umeme wa pili kwa ukubwa nchini Ukraine uliopo Donetsk. UkrIne yakiri kupoteza mtambo huo ila yaiita hiyo kuwa ni 'a tiny tactical advantage'😁😁🤣🤣🤣😀😀

Wale 'bendera fuata upepo' waliokuwa wakibwabwaja kuwa HIMARS zitafua dafu na kubadili hali ya mambo Ukraine, waje waone kichapo kinavyoendelea hadi nchi yaachia mtambo wa umeme wa pili kwa ukubwa nchini. Mtambo mkubwa wa kwanza ulishatekwa, huu ni wa pili sasa kwa ukubwa nao upo kwenye mikono salama.

SmartSelect_20220728-070107_Chrome.jpg
SmartSelect_20220728-070203_Chrome.jpg
 
nyakati hizi za vita huyu bwege ndio kwanza anatafuta umaarufu kupitia majarida.

View attachment 2306462

Tena vogue 😂😂😂😂😂mwenzenu bado anahisi yupo kwenye carrier yake ya ukomedi.

Ivi stress zote izo na bado anapata muda wa kupozi ? Wayukraine waanze kumchunguza huyu sio mwenzao.
 
Back
Top Bottom