Jesus Mlokozi
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 2,690
- 21,122
Are you stupid or something!?Na wewe unajifanya mzunguuu sana muda wote kuleta vitu kwa kingereza
Are you stupid or something!?Na wewe unajifanya mzunguuu sana muda wote kuleta vitu kwa kingereza
Wamezaa USA na Australia kwa kuwaua wenyeji wa asili. Kwa USA waliwaua Watu wa Asili ya Marekani ambao ni Wahindi wekundu na kwa Australia waliwaua watu weusi wa asili ya Australia. Hivyo, huo uzaaji wao wa mataifa menmgine siyo wa kusifia wala kuigwa.Shauri yako taifa la England ndio lilibeba " white man burden" wazungu wa watu waliacha familia zao wakasambaa dunia nzima kufuta ujinga, wakasambaa wakapima ardhi wakachora mipaka, in short ideas nyingi chimbuko lake ni England tujue England ana watoto wawili USA na AUSTRALIA.
embu niambie taifa lingine lilolo zaa taifa lingine
Makerere inahusianaje na mambo ya medani za kivita?Hivi unafahamu wakati tunapata uhuru na kabla ya uhuru chuo kikuu Cha east Africa kulikuwa ni makerere peke yake?
Ikiuma chomoaNa wewe unajifanya mzunguuu sana muda wote kuleta vitu kwa kingereza
Kumbe wewe stupid unajua kiswahili nilikuwa nakujaribu nione kama utajibu ....kwa kujibu nimejua unajua kiswahili sasa kisa cha kujidai mzungu ni nini ? ,ukimwona mtz mwanaume ana jishaua kwa kingereza sana ujue kuna tatizo sana ...usishangae kukuta hana marindaAre you stupid or something!?
Hivi sasa ndiyo sawa bora kuchanganya inglishiii na kiswahili ....KUNA MTU ANAELEKEA KULIWA KICHWA HUKO UJERUMANI. Mambo yanaanza taratibu tu...
[emoji629] Mayors of seven German cities called for the launch of Nord Stream 2.
[emoji832] The heads of the city administrations of Sassnitz, Bergen, Sellin, Binzer and other settlements of the German island of Rügen sent a corresponding letter to the regional government and the Cabinet of Ministers of Germany, DPA reports.
[emoji832] They said that Germany needs energy security in the long run.
The authors of the letter also criticized the anti-Russian policy of the German authorities, and they called the path of refusing energy resources from the Russian Federation wrong, since a lot of time and money need to be spent on alternatives to Russian fuel.
Ukraine si wavamizi!Na Ukraine imepoteza mangapi???!!
Nyinyi mnaojidai kusoma shule za sant ..sijui nini....sasa hivi vichoko vingi vinatokea huko vinajidai vizungu vya natoIkiuma chomoa
Kunywa protein nyeupe nzito upunguze wenge asubuhi hii.Nyinyi mnaojidai kusoma shule za sant ..sijui nini....sasa hivi vichoko vingi vinatokea huko vinajidai vizungu vya nato
Jitulize mzeeNa wewe unajifanya mzunguuu sana muda wote kuleta vitu kwa kingereza
It was only a "tiny tactical advantage" for Russia.HIMARS zishafanya yake huko Ukraine; Russia yateka mtambo wa kuzalisha umeme wa pili kwa ukubwa nchini Ukraine uliopo Donetsk. UkrIne yakiri kupoteza mtambo huo ila yaiita hiyo kuwa ni 'a tiny tactical advantage'😁😁🤣🤣🤣😀😀
Wale 'bendera fuata upepo' waliokuwa wakibwabwaja kuwa HIMARS zitafua dafu na kubadili hali ya mambo Ukraine, waje waone kichapo kinavyoendelea hadi nchi yaachia mtambo wa umeme wa pili kwa ukubwa nchini. Mtambo mkubwa wa kwanza ulishatekwa, huu ni wa pili sasa kwa ukubwa nao upo kwenye mikono salama.
View attachment 2306465View attachment 2306466
He was just kidding, umewahi kumtemea mbovu mjomba 😂😂😂Are you stupid or something!?
Sipendi mazoea.He was just kidding, umewahi kumtemea mbovu mjomba 😂😂😂
Msitukanane wajomba, nyie watu wazima mjue 🤔.Kumbe wewe stupid unajua kiswahili nilikuwa nakujaribu nione kama utajibu ....kwa kujibu nimejua unajua kiswahili sasa kisa cha kujidai mzungu ni nini ? ,ukimwona mtz mwanaume ana jishaua kwa kingereza sana ujue kuna tatizo sana ...usishangae kukuta hana marinda