Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Alafu wew panafrica mwone kwanza , kazi kujifariji tu na imaginary stories bila shaka yesu wako alikuwa mweusi

Hivi how come unashabikia rogue Nation ambayo watu wake wananyonywa na ma Oligach huku ukipinga utumwa hivi wewe na kisiju pwani mumetumwa au ni watumwa mamboleo. Au ndo uafrica , hivi huyo mrusi kashawahi fanya jitihada yoyote akwamue nchi za kiafrika au yeye kila siku kutuuzia silaha ili tuzidi kuumizana na kunyonyana.

😂😂😂😂🙌🙌🙌 Cool down budda.

Kila taifa linajikwamua kwa mbinu zao kufikia matarajio yao.

Sisi africa ni kina nani kila taifa liwe responsible na maitaji yetu?

Wafadhili wa vikundi vya kigaidi ni kina nani?

Kwa jinsi mfumo wa dunia ulivyo kununua au kuuza silaha bora na nafuu ni muongoni wa maitaji muhimu kwa mataifa yote ivyo hiyo biashara haitakwisha kamwe.(survival of the fittest)

Kuhusu Yesu sijamzungumzia ila sio yy tuu aliwambwa huo ni utamaduni wa huku pia tunawamba ngozi ili kutengeneza bidhaa nyingine.
 
Alafu wew panafrica mwone kwanza , kazi kujifariji tu na imaginary stories bila shaka yesu wako alikuwa mweusi

Hivi how come unashabikia rogue Nation ambayo watu wake wananyonywa na ma Oligach huku ukipinga utumwa hivi wewe na kisiju pwani mumetumwa au ni watumwa mamboleo. Au ndo uafrica , hivi huyo mrusi kashawahi fanya jitihada yoyote akwamue nchi za kiafrika au yeye kila siku kutuuzia silaha ili tuzidi kuumizana na kunyonyana.
Tulijua tuuu kwamba nabii bahati utazunguka weeee
Hatimae utakuja hapo kwenye msaada sawa ngoja tukupige msasa akili ikae sawa zaidi
Kama mnashindwa kufanya mambo yenu mpaka mupewe misaada simukubali tu kuwa makoloni kuliko kujifanya mataifa huru kama mnavyojidanganya
silaha mnazopewa mlilazmishwa au mlinunua wenyewe kama hamtaki mnaacha mkinunua shauri lenu silaha biashara kama kuuza magari nk
RUSSIA kama wanaliwa nama OLIGA nikama US wanavyonyonywa na kina MARK BOZES nk
RUSSIA TAIFA TEULE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji682][emoji91][emoji91][emoji91]The first fruits of Lavrov's African tour
Egypt has terminated contracts for the supply of 240 thousand tons of wheat from Ukraine, purchased in December 2021, despite the absence of a force majeure clause in the contracts[emoji91][emoji91][emoji91]
Nishaona hii OP ya UKRAINE ipo kimkakati zaidi
Nahapa hawa UKRAINE ndio wamekua mbuzi wakafara ila acha wauliwe siwameyataka wenyewe
safi sana MISRI naona RUSSIA wanazidi kuupiga wakutosha
Kungojea RUSSIA kufilisika kwahiki anachokifanya UKRAINE nisawa nakungojea Meli uwanja wandege
Ila ngojea tuone mwisho nani atakya mshindi
RUSSIA TAIFA TEULE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KUNA MTU ANAELEKEA KULIWA KICHWA HUKO UJERUMANI. Mambo yanaanza taratibu tu...
[emoji629] Mayors of seven German cities called for the launch of Nord Stream 2.

[emoji832] The heads of the city administrations of Sassnitz, Bergen, Sellin, Binzer and other settlements of the German island of Rügen sent a corresponding letter to the regional government and the Cabinet of Ministers of Germany, DPA reports.

[emoji832] They said that Germany needs energy security in the long run.

The authors of the letter also criticized the anti-Russian policy of the German authorities, and they called the path of refusing energy resources from the Russian Federation wrong, since a lot of time and money need to be spent on alternatives to Russian fuel.
EU EU EU
RUSSIA kamatia hapo hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunarejea kwenye main topic sasa
IMG_20220728_105311_584.jpg

Belarus and Cuba will cooperate in the field of biotechnology

A memorandum of understanding was signed at the Great Stone between the biotechnology and pharmaceutical industry group of Cuba with the administration of the industrial park, the Belarusian Medical Academy of Postgraduate Education, the Belfarmprom holding and the LOTIOS Scientific and Practical Center.
 
🇷🇺🛬🇺🇿Sergey Lavrov arrived in Tashkent

The Russian Cabinet will take part in the SCO Council of Foreign Ministers

Lavrov will hold a number of meetings in the capital of Uzbekistan. He will talk with the Foreign Ministers of 🇵🇰and🇨🇳,as well as with the President of Uzbekistan
Mikutano ya Zelenskyy?
 
Ni uthibitisho Russia haijatengwa kama mlivyotaka kuiaminisha dunia.

Ni uthibitisho nchi za kiafrika zinaiunga mkono Ile operation.

Ni uthibitisho ushirikiano wa Kijeshi na kiuchumi utaendelea.

Ni uthibitisho dunia au wanavyopenda kuita jumuiya ya Kimataifa sio tu USA, Canada, Ulaya Magharibi, Japan na Australia Bali Mataifa yote.

Ni kuonyesha kwamba Urusi itaendelea kuongeza strategic Cooperation na nchi zilizo kusini mwa Sahara.

Ni kuonyesha nguvu ya Kasi ya uungwaji mkono kutoka Afrika inaongezeka.

Ni kuonyesha nguvu ya propaganda inatakiwa ibebwe na mahusiano bora kwa hayo Mataifa huku, ukiheshimu tamaduni zao.

N.B ukitaka ujue thamani yake ya Ile ziara, kamuulize Emmanuel Macron kwa nini Leo kaenda ziara nchini Cameroon na kuhaidi kuongeza ushirikiano pamoja na kutumia siraha nzito.

Kumbuka dominance au tunaita ushawishi wa Ufaransa unazidi kupungua hasa kwa Mataifa ya West Africa
Endelea kuota ndoto.
1. nchi gani ya Afrika inasema inakubali vita ya Urusi katia Ukraine?? Huwezi kutaja 1. Hata Eritrea (inayojaribu sana kutunza Urusi upande wake maana hakuna mwingine asiyepinga mfumo wa kidikteta katika Eritrea) haikusama inakubali.
2. Ushirikiano wa kijeshi?? Nchi zinanunua silaha za Urusi kwa sababu ni bei nafuu na tekinolojia sahili.
Halafu kutuma mamluki wa Wagner Mali (kilele cha "ushirikiano")
3. Strategic cooperation ya nini??? taja mfano halisi.

Ni sawa kwamba wanasiasa kama M7i wanajaribu kuchota pande zote . Anaweza kusema kwamba Urusi haikuwa mkoloni Afrika, maana ilikuwa busy mno kukamata koloni katika Asia nguvu hazikutosha hadi Afrika. Si lazima M7i kujali hisia na maumivu ya Watartari, Wauzbeki, Wakazakhi, Waazeri, Wasibiria, Wapoland, Wafini, Walithuania na wengine wengi waliopaswa kuvumilia ukoloni wa Urusi, na wengine ambao wanapaswa kuvumilia hadi leo.
Pia mshujaa kama M7i hahitaji kujali kwamba Urusi inajaribu kurudisha ukoloni wake juu ya Ukraine, maana iko mbali....
 
Kwa ufupi kipigo alichotoa Russia kuanzia usiku mpaka asubuhi ya leo

To recap last night and this morning

Nikolaev got hit by multiple strikes +10
Chernigov got hit with 9.
Odessa’s port was hit and a huge fire broke out.
Kiev got hit at least 6 times.
Kharkov was hit 5 times
Kharkov got shelled.
Avdeevka got hammered by artillery

It been a busy night and morning.
 
Watu wa pro-nato wanaodhani Russia itafilisika kwa sababu ya vikwazo, sikia hii.

Russia inaingiza $1 billion kwa siku kwa kuuza hydrocarbons (oil).

Katika siku 100 za mwanzo, kwanzia 24th Feb. Russia imeingiza billion $98.

Kati ya hizo, billion $60 ni kutoka EU. Nchi ambazo eti zime mwekea kikwazo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Taarifa hiyo imetolea na Center for the Study of Energy and Clean Air (CREA).
IMG_20220728_111205_989.jpg
 

Guess who bought-up most of Ukraine farmland since 2014 coup.​


For those of us who have been scratching our heads as to why the US and the EU are so hell bent in "helping" Ukraine to make sure it wins the war, I found something out today!
Since the 2014 coup which overthrew the democratically elected President Viktor Yanukovich, and put a puppet regime, favorable to the West, in his place ,
three giant corporations, Cargill, DuPont and Monsanto, bought seventeen million hectares of Ukraine agricultural land.That's sixty percent (60%) of the total agricultural land in Ukraine!!! Wow.
Thought you'd be interested in that.I hope you can now stitch the pieces together.
 
Back
Top Bottom