Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Watu wa pro-nato wanaodhani Russia itafilisika kwa sababu ya vikwazo, sikia hii.

Russia inaingiza $1 billion kwa siku kwa kuuza hydrocarbons (oil).

Katika siku 100 za mwanzo, kwanzia 24th Feb. Russia imeingiza billion $98.

Kati ya hizo, billion $60 ni kutoka EU. Nchi ambazo eti zime mwekea kikwazo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Taarifa hiyo imetolea na Center for the Study of Energy and Clean Air (CREA). View attachment 2306676

Hapa ni oil tu bado gas, mbolea, Dhahabu, ngano.
 
Ni miongoni wa watu tunaotia huruma machoni mwa wazungu Wastaarabu, wananchi wengi wapo hoehae, pia bila kusahau nchi zilizo east asia na south amerika. Tunahitaji kushikwa mkono na wanadamu wenye utu sio wale wanaotake advantage ys udhaifi wetu, udhaifu wa viongozi wetu.

Hao binadamu wenye utu ni kina nani?

Alafu waliosababisha uhohehae wetu si ndio haohao unaowatetea kutupa-

1- mitaala isiyo relevant na mazingira yetu,

2- kuintafia internal affairs zetu kwa misaada yao,

3-kutubebesha tamaduni zao zisizofit na asili yetu,

4-kuhodhi njia kuu za kiuchumi na kifedha pamoja na

5-maradhi ya kimaabara

hiyo ndio minyororo wanayotakiwa kutufungulia kama kweli Wana utu sio kukimbilia slesi ya mkate kwa jirani.
 
Pro afrika akiwa katika ubora wake.

Mpige Nondo mpaka akili zikae sawa.

Nilichojifunza West Wana sifa zote za Shetani wanazozingumzia hutumia hila, fitna, uongo, vita kwenye kuiaminisha dunia kwamba wao ni bora.

Ila ukweli haupo hivyo na dunia itakapo kwenda watazidi kuumbuka.

Ila tujiandae na mapinduzi ya Kijeshi kwenye Mataifa yasiyoyaunga mkono.

Uganda wameanza Maandamano ya kudai maisha magumu ila hili linatokea baada tu ya ziara ya Sergei Lavrov

Kumbuka Uchumi wao, Umejengwa kwa mfumo wa kinyonyaji na mizizi yake imejikita hadi huku Afrika.

Hivyo kuuondoa ukoloni mamboleo ni kutikisa chumi zao,
kitu ambacho hawatokubali na kwa Sasa idara zao za kijasusi zipo kazini kuja na counter measure za kutosha,
je dunia ipo tayari?
Duuh nipo kampala hapa ngoja nifatilie hili la maandamano, hapa nilipo zinapita gari za askari kila baada ya dakika 20_25
 
View attachment 2306648

Russian soldiers have begun replacing their patches with the Soviet Union flag, instead of the Russian flag.
Hii hatari sana, yaani inaongeza Morale Kwa wanajeshi wa Russia mara mbili zaidi wakikumbuka damu iliomwagika katika Vita ya pili ya Dunia .... Tuendelee kuwaombea wanajeshi wa Ukraine maana yajayo yanafurahisha.
 
kwa majirani kama kazkhstan wako busy kudiversify kuongeza mahusiano na washirikawengine km china na turkey, kinachoendelea ukraine imekua wake up call kwa central asia
kazakhstan imeanza kuchukua hatua ikiwemo kujenga bomba jipya la mafuta ilikuondo utegemezi kwa hili la sasa linapotia kwe ardhi ya urusi rais wa kazakhstan alizema
lakn pia kazakhstan imevutiwa na ufanisi drones za ututuki huko ukraine hivyo imeingia makubaliano na ukraine na yenyew ianze kuzitengeneza unde licence
kazakhstan pia imekua ikifanya juhudi kuzshawish kampun za wamagharibi zilizopo urusi kuhamishia makao yao kazakhstan
lakin pia rais wa kazakhstan alisema kuwa nchi yake haitoyatambua uhuru majimbo ya donetsk na luhansk
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Screenshot_20220728-185528.jpg
 

​



Na sasa Kherson hawataki upuuzi huo​

====​

Kherson Region to hold referendum, accede to Russia soon — official​

In mid-March, Russia’s Defense Ministry reported that the region was fully controlled by Russian troops

KHERSON, July 28. /TASS/. The Kherson Region is preparing to hold a referendum and the region will soon become a full-fledged constituent entity of the Russian Federation, a deputy head of the region’s military-civilian administration said on Thursday.
"The Kherson Region will forget about neo-Nazism already in the near future. We are getting ready for the referendum, we will hold it. I hope that in the near future already we will become a full-fledged territorial entity of the Russian Federation," Kirill Stremousov said in a video published on his Telegram channel.
Hii Region ni kubwa kuliko Rwanda
1659025157862.png


Area
• Total28,461 km2
 
Back
Top Bottom