Hakika Mkuu wakongo wameamuka kutoka usingizini washamjua mchawi wa matatizo yao ninani.Jana kuna mtu huko DRC alihojiwa akaongea madini matupu
Anauliza MINUSMA cjui ndio Minani wapo DRC muda gani sasa faida gani wao wameipata kama wakongo man
Akamalizia kwakusema nikheri tukajifia wenyewe kwakujua kua hatulindwi na hatuna mlinzi kuliko kudanganywa kua tunalindwa halaf twaendelea kufa
MINUSMA cjui ndio wajinga gani hao wamesema kama jukumu lakuwalinda wakongo man nila jeshi la RDFC kama sijakosea sasa wanakaa wanangojea nn kongo siwaondoke
Naungana na wakongoman kwa 100%
Kwanza UN inatakiwa ivunjwe haina faida yeyooote ile[emoji35][emoji34][emoji35]
Sent using Jamii Forums mobile app
Zele fala sana,Putin's new gas squeeze condemns Europe to recession and a hard winter of rationing
Ukraine's president, Volodymyr Zelenskyy, said the move was tantamount to a "gas war."www.cnbc.com
Akikujibu alipoitoa unitag MKUUHii habari ya daraja kufungwa ndo kwanza nasikia kwako.sasa sijui umeitoa wapi
Kabisa MKUU hao DRC na MALI soon wanaenda kua naamani kama watafanikisha hayoHakika Mkuu wakongo wameamuka kutoka usingizini washamjua mchawi wa matatizo yao ninani.
Pia hata hao UN hata Mali wameshakataliwa, dunia nzima sasa imechangamka, Ujinga na utumwa wa fikra unaenda unapotea siku hadi siku. (Pongezi ziende kwa Urusi [emoji635] kwa kuanzisha operation pale Ukraine [emoji1255])
MINUSMA wakataliwa Mali [emoji1159] (15/07/2022)
Mali will from Thursday suspend all new rotations of the United Nations’ MINUSMA peacekeeping mission, including those already scheduled, for “national security” reasons, the foreign ministry said.
Kama kweli UN wapo kwaajili ya kulinda amani si wapeleke vikosi vyao pale Ukraine kuzuia watu wasiendelee kufa. Kazi kujizungusha tu huku Africa kama Mbwa koko kisa sisi ni wanyonge. Wasogeze pua zao pale Ukraine kwenye operation ya Mrusi waone moto wa kisoviet[emoji23][emoji23][emoji23]
I STAND WITH A MAN WHO SAVING........... THE WORLD [emoji289] VVP[emoji635].
Jaribu kusoma ninachoandika (kama kawaida - alama hizo ndogo ni herfi zinazofanya maneno yanayoeleweka!!).Kwahiyo Ukraine Yuko anamchapa Russia?Kama uwezo wa Russia ni duni,NATO Iko Kwa ajili gani?
Shauri yako taifa la England ndio lilibeba " white man burden" wazungu wa watu waliacha familia zao wakasambaa dunia nzima kufuta ujinga, wakasambaa wakapima ardhi wakachora mipaka, in short ideas nyingi chimbuko lake ni England tujue England ana watoto wawili USA na AUSTRALIA.
embu niambie taifa lingine lilolo zaa taifa lingine
Non sense,huujui uwezo wa tech wa Russia!Waulize US wanaopewa lift kwenda space ndio wanajua uwezo wa Russia kitech!Au Waulize US ni majaribio mangapi wamefanya ya hypersonic missile na kufeli wakati Russia anazo kitambo tu na ametumia huko Ukraine!Jaribu kusoma ninachoandika (kama kawaida - alama hizo ndogo ni herfi zinazofanya maneno yanayoeleweka!!).
Pia fanya jaribio la mantiki. Ukianza na hitimisho, angalia kwanza kama mwenzako alisema kitu kinacholingana. Ambacho sikusema.
Uwezo wa tekinolojia wa Urusi ni duni, uwezo wake kupeleka silaha za zamani uwanjani ni kubwa sana. Tuko pamoja, je?
Sasa jaribu tena.
Please, hawakuwa waporaji, hizo ardhi walizikalia kwasababu they feel like they deserve it! Sasa ni kitu gani kuliwafanya wajimegee ardhi kubwa kiasi hicho? Yaan robo ya ardhi ya dunia hii, mbona wengine sisi Afrika wala tulikuwa hatuna time. Ukiangalia huo mlolongo utajua kuna kitu kilikuwa nyuma. God works in mysterious ways.England mama wa Us na australia huko kote kulikua na wenyeji wao ni waporaji,
wanyonyaji,wauwaji tuu.
Civilization, knowledge, power were black peoples thinks.Na ilikua ivyo hata kabla ya dola la Ugiriki na rome.Ni wabaguzi wa rangi ndio wanaosambaza mabaya juu ya race yetu ili kuficha ukuu wetu tuliowai kuupitia kwenye hii ardhi ya dunia.
Tambua ya kwamba hao weupe ni weupe mbele yetu maili miamoja wala hiyo table manners unayosemea haina maana yoyote sanasana ni kwa watu wa class ya juu kijamii ndio wanapngapanga izo silva mezani wengi daraja la kati na mwisho hata haina umuhimu wwte.
Please, hawakuwa waporaji, hizo ardhi walizikalia kwasababu they feel like they deserve it! Sasa ni kitu gani kuliwafanya wajimegee ardhi kubwa kiasi hicho? Yaan robo ya ardhi ya dunia hii, mbona wengine sisi Afrika wala tulikuwa hatuna time. Ukiangalia huo mlolongo utajua kuna kitu kilikuwa nyuma. God works in mysterious ways.
Na pia fuatilia why ancient Rome use to take slave from slavic nation ambayo ndio Russia
Pro afrika akiwa katika ubora wake.America(us) wenyeji wa pale wako wap red Indians? Australia aborigas wako wapi?
Kuhusu slavs walikua weak ndio maana walitwaliwa kama watumwa at that time sisi tulikua na status sawa na waromani.
Tulikua hatuna time kivip hivi unajua spain, italy na france ziliwahi kuwa chini ya imaya ya mweusi?
Africa tulirudi nyuma au kudhoofishwa na ujio wa waarabu na kuanzisha mambo ya utumwa ikasababisha baa la njaa falme kuanguka na manpower kuondoka.
Yote kwa yote hakuna jamii yoyote iliyofanya makubwa kutuzidi sisi na hilo linawatafuna kila siku kwa hofu tukiamka hatukamatiki.
waache watutajirishe tu sisi warusi weusi kabla invasion aijaanza ilikuwa €150Hii ni hatari kubwa
[emoji779]️Gas in Europe - $2,500 per thousand cubic meters
So mdau haya yote huwa unawaambia wanao, watoto zako nao wanasimulia watoto wa jirani yako. Wa jirani nae kwa jirani yake so list inaendelea.Please, hawakuwa waporaji, hizo ardhi walizikalia kwasababu they feel like they deserve it! Sasa ni kitu gani kuliwafanya wajimegee ardhi kubwa kiasi hicho? Yaan robo ya ardhi ya dunia hii, mbona wengine sisi Afrika wala tulikuwa hatuna time. Ukiangalia huo mlolongo utajua kuna kitu kilikuwa nyuma. God works in mysterious ways.
Na pia fuatilia why ancient Rome use to take slave from slavic nation ambayo ndio Russia
Sometime tunalike so Kwamba tumekubali na kupenda kilichoandikwa Bali tupo na mpango was kuomba dislike, na angry.Shauri yako taifa la England ndio lilibeba " white man burden" wazungu wa watu waliacha familia zao wakasambaa dunia nzima kufuta ujinga, wakasambaa wakapima ardhi wakachora mipaka, in short ideas nyingi chimbuko lake ni England tujue England ana watoto wawili USA na AUSTRALIA.
embu niambie taifa lingine lilolo zaa taifa lingine
at that time sisi tulikua na status sawa na waromani.
Serious! Where are these stories from? Lost martian, or antlantis, or neburaTulikua hatuna time kivip hivi unajua spain, italy na france ziliwahi kuwa chini ya imaya ya mweusi?
hold Hold, broo look at things Objectively not at subjective angle you will thank me laterSo mdau haya yote huwa unawaambia wanao, watoto zako nao wanasimulia watoto wa jirani yako. Wa jirani nae kwa jirani yake so list inaendelea.
Of course namna hiyo ndio unavyo-sambaza "copy" yako kama walivyofanya waliotangulia kwako hatimae wakapatikana watu wa aina yako.
Kwa hali hii, for sure safari ya matumaini kwa watu weusi bado ina changamoto sana. Mdau? Kwamba hawakupora sio? Walistahili, Really? Kama unafikiri wa Afrika na wengineo walio tawaliwa hawakua na "mda" na hayo maeneo waliyo jitwalia unafikiri waliwapinga ili iweje?
Hope kabla hatujaanza vita na adui wa nje we should disown ma-adui wa ndani mithili yako na wenzio.
Na to keep it short we kama ni mweusi basi wewe ni adui wa asili yako.
Umeongea as if Rubani anayeelekea kwenye irredeemable crash-landing.hold Hold, broo look at things Objectively not at subjective angle you will thank me later
Implication: Mtungi wa gesi ambao Tanzania tunanunua kwa ~50,000 TZS, Ulaya wananunua kwa ~ 120,000 TZS (almost 3 times as much!)Hii ni hatari kubwa
❗️Gas in Europe - $2,500 per thousand cubic meters