LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Tokea Nato wampe award ceo wa jf ameamua ku stand with Ukraine na anatudhibiti sana cc raia wa Urusi by registration. Hafurahishwi na kinachoendelea Ukraine ila akumbuke tu hata cc haturidhishwi na matendo ya Ukraine,Poland,USA na takataka zingine za Nato kwa yale wanayopitia raia wenye asili ya na waafrika. Nimesikitika zaidi hata media zao ukiitoa Aljazeela hawajaizungimzia suala hili la ubaguzi wa rangi,lakini hata viongozi wao wa nchi za Marekani,Ufaransa,Ujerumani,Itali,Papa na Wangese wengine hawajakemea suala hili na wameamua kupuuzia. Mm nipo pamoja na Urusi na tutawatoa watanzania kwa kupitia mipaka ya Urusi.
 
Putin anamfukuza mwizi kimya kimya[emoji2]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Oya acha upuuzi, ukishatuma kitu usirudie.
 
Resolution hiyo wala siyo ya kisheria, ni ya kupoga kelele tu. Hiyo resolution haina any action plan. Eti wanataka Russia ione namna gani ilivyotengwa.

Hahahahahaha!!? Yaani UN kama watoto vile.
 
HV mtanzani akiuwa huko urkrain maiti yake itakuja huku kweli utaratibu ukoje ikitokea Rai wetu wamefarika au ndio tutapoteza mwili kbsa
 
Resolution hiyo wala siyo ya kisheria, ni ya kupoga kelele tu. Hiyo resolution haina any action plan. Eti wanataka Russia ione namna gani ilivyotengwa.

Hahahahahaha!!? Yaani UN kama watoto vile.
Wanachangamsha Genge.
 
HV mtanzani akiuwa huko urkrain maiti yake itakuja huku kweli utaratibu ukoje ikitokea Rai wetu wamefarika au ndio tutapoteza mwili kbsa
Urusi tutaenda kuchukulia na huenda wakazikwa pamoja na vifaru vyao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…