Frustration
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,134
- 4,124
Tokea Nato wampe award ceo wa jf ameamua ku stand with Ukraine na anatudhibiti sana cc raia wa Urusi by registration. Hafurahishwi na kinachoendelea Ukraine ila akumbuke tu hata cc haturidhishwi na matendo ya Ukraine,Poland,USA na takataka zingine za Nato kwa yale wanayopitia raia wenye asili ya na waafrika. Nimesikitika zaidi hata media zao ukiitoa Aljazeela hawajaizungimzia suala hili la ubaguzi wa rangi,lakini hata viongozi wao wa nchi za Marekani,Ufaransa,Ujerumani,Itali,Papa na Wangese wengine hawajakemea suala hili na wameamua kupuuzia. Mm nipo pamoja na Urusi na tutawatoa watanzania kwa kupitia mipaka ya Urusi.