LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Tokea Nato wampe award ceo wa jf ameamua ku stand with Ukraine na anatudhibiti sana cc raia wa Urusi by registration. Hafurahishwi na kinachoendelea Ukraine ila akumbuke tu hata cc haturidhishwi na matendo ya Ukraine,Poland,USA na takataka zingine za Nato kwa yale wanayopitia raia wenye asili ya na waafrika. Nimesikitika zaidi hata media zao ukiitoa Aljazeela hawajaizungimzia suala hili la ubaguzi wa rangi,lakini hata viongozi wao wa nchi za Marekani,Ufaransa,Ujerumani,Itali,Papa na Wangese wengine hawajakemea suala hili na wameamua kupuuzia. Mm nipo pamoja na Urusi na tutawatoa watanzania kwa kupitia mipaka ya Urusi.
 
Baada ya kichapo kutoka urusi jamaa wakaona tabu wakajificha gym
img_1_1646234656901.jpg
 
Kama anawafyeka warusi, mbona hapa Rais huyo huyo analalamika kuwa Russia wanataka kuifutilia mbali Ukraine katika uso wa dunia.

Mwambieni aache kulilia kutafuta huruma, apambane, hiyo ndio maana ya vita. Yeye si anadai toka vita ianze Russia ndio yapoteza maelfu ya wanajeshi wake huku Ukraine idadi ya wanajeshi waliokufa haizidi 500.

Tunaendelea kumkimbiza mwizi kimyakimya pasi na kupiga mayowe
View attachment 2136440
Putin anamfukuza mwizi kimya kimya[emoji2]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Канал для российских матерей.

INGIA KWENYE GROUP iLI LA TELEGRAM UONE JINSI HALI HALISI INAYOENDELEA HUKOOO. DAH UTU TUUU WA UKRAINE WANA TUMIA. KWA RUSSIAN CAPTURED SOLDERS
Oya acha upuuzi, ukishatuma kitu usirudie.
 
The UN General Assembly adopted a resolution demanding that Russia stop the use of force in Ukraine and withdraw its troops.

- 141 states voted for

- Against five (Russia, Belarus, Syria, North Korea, Eritrea)

— Abstained 35 (China, India, South Africa, Kazakhstan, Pakistan, Iran, Iraq, Cuba, CAR and others)View attachment 2136512
Resolution hiyo wala siyo ya kisheria, ni ya kupoga kelele tu. Hiyo resolution haina any action plan. Eti wanataka Russia ione namna gani ilivyotengwa.

Hahahahahaha!!? Yaani UN kama watoto vile.
 
HV mtanzani akiuwa huko urkrain maiti yake itakuja huku kweli utaratibu ukoje ikitokea Rai wetu wamefarika au ndio tutapoteza mwili kbsa
 
Resolution hiyo wala siyo ya kisheria, ni ya kupoga kelele tu. Hiyo resolution haina any action plan. Eti wanataka Russia ione namna gani ilivyotengwa.

Hahahahahaha!!? Yaani UN kama watoto vile.
Wanachangamsha Genge.
 
HV mtanzani akiuwa huko urkrain maiti yake itakuja huku kweli utaratibu ukoje ikitokea Rai wetu wamefarika au ndio tutapoteza mwili kbsa
Urusi tutaenda kuchukulia na huenda wakazikwa pamoja na vifaru vyao
 
Back
Top Bottom