nakubaliana na wewe 100% its not that easy haiweziSasa hao Kenya wangekuwa warusi wangeweza kuchukua hata jimbo moja kweli maana Askari wanajichanya na RAIA kushambulia urusi na ndio hivyo kwa alshabab
Hivi hilo dude kweli lipo au mkwara tu kuogopesha watu wasilale?Marekani yalalamika kuwa kombora la Sarmat la Urusi limeundwa maalumu kuichakaza mifumo ya ulinzi ya anga ya Marekani na kuisambaratisha kila inch ya ardhi ya Marekani. Kwa mujibu wa Marekani, mzigo (vichwa vya nyuklia) ubebwao na kombora hilo ni tani 10 (kilogram 10,000).
View attachment 2308217View attachment 2308218
Huyo mcheza criket akae kwa kutulia na akubaliane na uhalisia akifanya mchezo atapotea mazima,Swahiba wa Putin anarudi-lmran khan. Hapa wafuasi wkisherekea nchi nzima
Hapa Chini,nimaeneo ambayo anaungwa mkono waziri mkuu wa
Pakistann wa sasa,Hilo eneo lenye wekundu(dot like) ni eneo analoungwa mkono waziri mkuu wa sasa. Ngoma ngumu kwa West.
View attachment 2305353
Hayo mapipa mbelebya HIMMARS ni kama karatasi tu.Marekani yalalamika kuwa kombora la Sarmat la Urusi limeundwa maalumu kuichakaza mifumo ya ulinzi ya anga ya Marekani na kuisambaratisha kila inch ya ardhi ya Marekani. Kwa mujibu wa Marekani, mzigo (vichwa vya nyuklia) ubebwao na kombora hilo ni tani 10 (kilogram 10,000).
View attachment 2308217View attachment 2308218
Hawataki kuwa na changamoto za wafungwa wa kivita....hii kimedani za kivita inaitwa TACTICAL.....we! Yule jamaa mtaalamu wa tactical atusaidie
^it can strike almost every point on earth^Marekani yalalamika kuwa kombora la Sarmat la Urusi limeundwa maalumu kuichakaza mifumo ya ulinzi ya anga ya Marekani na kuisambaratisha kila inch ya ardhi ya Marekani. Kwa mujibu wa Marekani, mzigo (vichwa vya nyuklia) ubebwao na kombora hilo ni tani 10 (kilogram 10,000).
View attachment 2308217View attachment 2308218
Ndugu yangu Miujiza huwa ipo. Kumbuka kuna Mwaka Lipuli ilichukuwa kombe la ligi kuu.Jana uliota NDOTO mbaya sana mkuu muone mtumishi wa MUNGU akusaidie
Ukraine πΊπ¦ kushinda vita ni sawa na KULWA kuwa DOTO.
Tatizo midude kama hii ukisema haipo then ikashuka effect yake ni noma sana. Experiment yake inafanyika in real time, kwenye real battlefield--sawa na zile bomu za Nagasaki & Heroshima.Hivi hilo dude kweli lipo au mkwara tu kuogopesha watu wasilale?
Ukikataa kuyaoga LAZIMA kuyaugali π π π
War ni tofauti na uvamiziHao wakenya wanapigwa na Al shabab ndio wake kupigana na Tanzania.
At least the two: Blinken and Lavrov, have opened channels of communication.This is a good development,although the Americans can never be trusted.Statement of Russian Foreign Minister Sergei Lavrov in a conversation with US Secretary of State Anthony Blinken on the topic of Ukraine:
- The supply of Western weapons only prolongs the agony of the regime in Kyiv;
- Pumping Ukraine with NATO weapons increases the number of victims and prolongs the conflict;
- In the issue of the exchange of prisoners, it is necessary to return to the mainstream of "quiet diplomacy" without speculation;
- In the liberated territories of Ukraine, systematic work is underway to establish a peaceful life;
- The solution of the food issue is complicated by the sanctions imposed by the United States;
- Lavrov stressed in a conversation with the US Secretary of State that the goals of the Russian special operation will be achieved.
Hiyo nukta ya mwisho, dah!Statement of Russian Foreign Minister Sergei Lavrov in a conversation with US Secretary of State Anthony Blinken on the topic of Ukraine: