Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,513
China's Army Posts "Get Ready For War!" Message On Social Media. State Mouthpiece Says PLA Has "Right" To Intercept Pelosi's Plane.
ZeroHedge
ZeroHedge - On a long enough timeline, the survival rate for everyone drops to zerowww.zerohedge.com
Historia otakuja kusema kuwa Urusi ilipigana na nchi nyingi zaidi hapa duniani na kizishinda.Ukraine anazidi kupata Washirika wapya..
Silaha za South Korea hizoo 👇
Kama hivyo kwanini marekani alipigwa na VietnamWar ni tofauti na uvamizi
Kenya wametupita uchumi, vita ni uchumi
Mkuu, Ukraine inasema hao wa Donetsk walilipusha jengo kwa baruti au mabomu. Walitaka kuficha kashwa ya ufusadi wakati wa ujenzi Manna wizard ya Urusi iliwahi kutangaza ukaguzi..[emoji573]Ukrainian army fired a HIMARS missile at a POW prison in Elenovka, DPR. 40+ prisoners were killed & 130+ wounded. They literally killed their own people... https://t.co/nRK5Ttn5vS
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mwaka huu tutaona mambo mpaka watu wanalazimishwa kuvua nguo[emoji848][emoji848][emoji848]
Spanish Prime Minister Sanchez suggested that everyone undress for the sake of saving energy: I want you to see that I don't wear a tie. This means that we can all save energy. Therefore, I have asked all ministers and decision makers to follow this example. And I would also like to ask the private sector, if they haven't done it yet, when it's not necessary, they also shouldn't wear a tie, because in this way we will all contribute to energy conservation, which our country needs so much.
Tatizo wamenogewaUkraine wanalipua hovyo hovyo uzuri wanaua raia wao wenyewe [emoji23][emoji23]
Kwani Kule kibiti walijichanganya na nini? Mbona Tanzania 🇹🇿 iliwadhibiti?what you guys don't understand about alshaabab is that they are guerillas ata russia au america mbele ya wanamgambo wanaojichanganya na raia ni vingumu sana kuwadhibiti
Kama ndivyo,basi US isingeshindwa Afghanistan na Vietnam ambao ni masikini mara elfu ya Marekani.War ni tofauti na uvamizi
Kenya wametupita uchumi, vita ni uchumi
Kwani si tuna HIMARS,wameingiaje?🤔🤔😆😆Urusi imeingia kwenye mji WA novologanksy mapigano ya mtaani yameanza mji huu una mtambo mkubwa WA kufua umeme ni miongoni mwa mitambo mikubwa hapo ulaya
Ukraine inafeli vibaya kwenye mashambulizi yake ya kuikomboa khersan
Himars haiwezi kuhit multiple ground target* kama rockets katyusha hivo haina madhara kwa vikosi vya ardhiniKwani si tuna HIMARS,wameingiaje?🤔🤔😆😆
Ningekuwa dar ningehudhuria hili tamasha.
Jamaa wanafanya mashambuliz ya kukomoanaAt midnight, Ukrainian troops attacked the Kakhovskaya hydroelectric power station with a HIMARS MLRS, all missiles were intercepted by air defense, the head of the city administration told RIA Novosti
At midnight, Ukrainian troops attacked the Kakhovskaya hydroelectric power station with a HIMARS MLRS, all missiles were intercepted by air defense, the head of the city administration told RIA Novosti
Afghansistan waliipiga na kuiendesha nchi kimabavu japo hakuna alietaka awepo pale, ndo maana alivyoondoka tu nao wakachukua nchi, Vietnam nao hvyohvyo na watu wengi walivipinga vile vita ndo maana ata Mohamed Ally alipatia jina sana kwa kuvipinga vile vita, wakaachaKama ndivyo,basi US isingeshindwa Afghanistan na Vietnam ambao ni masikini mara elfu ya Marekani.