Jesus Mlokozi
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 2,690
- 21,122
IRAN maskini sana[emoji23][emoji16][emoji23]View attachment 2308929
[emoji682][emoji91][emoji91][emoji91]Ultramodern Iranian turbines are replacing German Siemens turbines in Russia.
Germany cedes its place to Iran as a supplier of power plant parts[emoji91][emoji91][emoji91]
View attachment 2308929
🆕🔥🔥🔥Ultramodern Iranian turbines are replacing German Siemens turbines in Russia.
Germany cedes its place to Iran as a supplier of power plant parts🔥🔥🔥
Alikwambia nani?Jibu ni ukishashika mji mkuu ushachukua nchi
Kuwa na uelewa bas, acha pumba
Ndo maana Urusi ilivyoingia uelekeo ilikuwa ni Kiev, ila walivyoshindwa na msafara kufyekwa ndo akaona apo hawezi chochote na akabadirisha mipango na kurudi kuyapigania majimbo yaliojitenga tangu mwanzon mwa vita
Na ndo vita vilivyo
Sa kama unabisha kitu kilicho wazi ni kuwa unamapungufu kichwan
Kweli Ni chakula ya ubongo nimeshibaChakula ya ubongo hii
sijaacha hata herufi moja
#AmProudToBePro-Russia
Pimbi ana hekaheka nyingi harakati kibao na Kila siku anafeli.....Samahani...naomba kuuliza: Hivi pimbi ni mtu wa aina gani. Sifa za pimbi ni zipi hasa....nauliza tu.
Kwa hiyo wewe unaakili Sana kuliko China na urusi?wanajua wanachokifanya.wamarekani wenyewe wanalialia Maisha kuwa juu.China nae karibu anaingia Taiwan hapa mchezo mpaka mwenye uchumi imara abaki mmoja tu, na wale wote ambao Marekani alikuwa anatafuta kasababu Tayari wameingia sasa hapo ni wao tu wacheze ngoma pamoja, Marekani ni muda wake wa kukusanya base zake zote awakung'ute hao wakomunisti.
Kwa hiyo wewe unaakili Sana kuliko China na urusi?wanajua wanachokifanya.wamarekani wenyewe wanalialia Maisha kuwa juu.China nae karibu anaingia Taiwan hapa mchezo mpaka mwenye uchumi imara abaki mmoja tu, na wale wote ambao Marekani alikuwa anatafuta kasababu Tayari wameingia sasa hapo ni wao tu wacheze ngoma pamoja, Marekani ni muda wake wa kukusanya base zake zote awakung'ute hao wakomunisti.
tuone kama watawafungia nawao[emoji1250]Fenerbahce Istanbul will not apologize to Ukraine because of the fans who chanted “Vladimir Putin” during the match with Dynamo Kyiv, Turkish club president Ali Koch said.
Moreover, it is the Ukrainian ambassador who should apologize for his inappropriate statements, he added.[emoji16][emoji298]
DuhPimbi ana hekaheka nyingi harakati kibao na Kila siku anafeli.....
Heheheheeee[emoji14][emoji14][emoji14]China nae karibu anaingia Taiwan hapa mchezo mpaka mwenye uchumi imara abaki mmoja tu, na wale wote ambao Marekani alikuwa anatafuta kasababu Tayari wameingia sasa hapo ni wao tu wacheze ngoma pamoja, Marekani ni muda wake wa kukusanya base zake zote awakung'ute hao wakomunisti.
Kinawaka huko jamn
Nadhani ianzishwe sasa thread: ^Special thread yanayojiri mgogoro wa China na Marekani, nini chanzo na hatma ya mzozo.^Mambo yameanza taratibu
View attachment 2308914
‼️🇨🇳 🇹🇼 Taiwan today lifted fighter jets into the sky from the Chiayi Airbase against the backdrop of PLA exercises in the Taiwan Strait, which is blocked by the PRC. The Chinese armed forces are firing MLRS and artillery in the direction of Taiwan.‼️
Pro-nato hamjambo jamani 🤔🤔🤔
🇷🇺🇺🇦⚡The Ukrainian General Staff confirms the retreat of the Armed Forces of Ukraine from Semigorye.
As indicated in the evening report, part of the settlement completely came under the control of the Russian army and allies.