Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ikipigwa nuclear submarine moja ya China, nadhani kisiwa chote kinazama.
 
Mods please pin and star this comment!
 
Marekani huyuhuyu ambaye rais wake anabutuliwa na kila taifa?
 
This is not a retreat per se. Ni kawaida sana katika medani za vita, kutegemeana na misimu mbalimbali ilivyo. So, ndiyo maana hii inaitwa TACTICAL PRE-WINTER RETREAT.

Utaona tutakavyorejea soon kwa kasi ya radi, nguvu ya upepo, na momentum ya mafuriko.
 
Imekaa poa sana
 
Ukija kwenye media za jamii forrum unakuta watu wanavyopigana vita ya mdomoni,unaweza jua jeshi la UKRAINE linakaribia kufika Moscow kwa jinsi linavyosifiwa.
 
Sitaki kujibizana na ww maana uelewa wako ni finyu sana, hueleweki unaongea nn unarukaruka tu point, kujibizana na mtu mwenye akili hewa ni kujiweka level moja na yeye, kwaheri
 
Russian energy that normally flows uninhibited into Germany is now being redirected to an energy thirsty China.

Gazprom reports that for the first 6 months of the year, volumes of natural gas flowing into China has increased by a whopping 60 percent.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…