Jesus Mlokozi
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 2,690
- 21,122
Hii kisiasa, USA kapigwa tobo.It's official, Marekani imeiogopa China.
Nancy Pelosi haendi Taiwan. Cheki tweet yake. Atapenda Singapore, Malaysia, South Korea na Japan tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 2309661
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Labda mafuta ya ndege hayatoshi, because nasikia jana walitua Hawaii mara 4 ili ku-refill. Ujue Russia kawabania sana mafuta hawa jamaa mpaka nawaonea huruma?
Talk about TACTICAL BUDGETING. Just like huko Germany umeme umeanza kufanyiwa ^umakamba^ kama wa hapa Bongo!!!
Yaani vibaya mno. Kwenye ulimwengu wa kisiasa hili ni kupigwa tobo, alafu kanzu.Hii kisiasa, USA kapigwa tobo.
AsanteSema nini? Kauli yako hii imekaa kitaktiko zaidi. Hii inaitwa TACTICAL RESONANCE. Katika medani za kivita... (ntamalizia pale LIKES zikilingana na figure ya combined deni la Ukraine & US/Marekani). 🙂
Usa wanajiaibisha Bora tu wangetulia hamna mtu angejua udhaifu waoIt's official, Marekani imeiogopa China.
Nancy Pelosi haendi Taiwan. Cheki tweet yake. Atapenda Singapore, Malaysia, South Korea na Japan tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 2309661
Wali kurupuka. Na Russia anaitumia hii fursa vizuri mno.Usa wanajiaibisha Bora tu wangetulia hamna mtu angejua udhaifu wao
Mrusi anatoa msaada wa mbolea Tena free of charge yule mwingine anawapa msaada wa condom yupi ni rafiki mzuri[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]View attachment 2309645
Indeed Bugucha,the US and NATO are only saving faces,but isn't sustainable anymore.At a certain point they will have to let Ukraine go.
Russia wanamjua BoJo vizuri,ni mtu wao tangu akiwa na miaka 16,so they know his weaknesses. Wakitaka kumlipua,haitachukua dakika.Hii comment yenyewe is damaging kwa mtu muelewa,because it means he is a Casanova,Roue', Satyr,Romeo or what ever you may want to call him.Kama ange-kuwa mwanamke tungemuita Harlot,so he is not dependable.Shirika respectable surely lisingependa kuwa na mtu ambaye ni muongo,double dealer au Casanova kama BoJo.⭕️زاخارووا: جانسون میتواند بهعنوان زن برای تصدی دبیرکلی ناتو رقابت کند
🔰سخنگوی وزارت خارجه روسیه در اظهاراتی تمسخرآمیز گفت: هیچ چیز مانع جانسون نمیشود ناگهان یک زن درونی را کشف کند.
⭕️Zakharova: Johnson can compete as a woman for the post of NATO Secretary General
🔰The spokesman of the Russian Foreign Ministry said in a mocking statement: Nothing prevents Johnson from suddenly discovering an inner woman.
🆔بروکر جهانی ZTE-Forex
👍👍👍Another frontline conquered
Samahani mkuu,hiyo simu ulishika ni yako,au ni mama yako? Alafu uliishia darasa la ngapi? Ili nisije nikabishana na kilaza!?Siku zote za maisha yangu nitakuwa upande wa Marekani sababu,
Ni nchi pekee iliyobaki na waafrika ingawaji ubaguzi hauwezi isha lakini utu kwao ulikuwepo kiasi,
Watumwa wa Africa walisambaa karibu dunia nzima lakini hapo bara Asia kwa nini hakuna hata weusi waliobaki huko..!?
Hao tunaowatetea ni watu wa hovyo kabisa kuanzia China hao ni hatari mno,
Representatives of the parliaments of 16 countries, including the European Union and North America, have already expressed their intention to act as observers at the planned referendum in the Zaporozhye region on the issue of joining the Russian Federation, said Vladimir Rogov, a member of the main council of the Zaporozhye Regional State Administration.