Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Noma sana bro, jana nimekaa nafatilia kila nukta hapa ase kuna watu wana "umarekani" mwingi kuliko wamarekani wenyewe.

Former Generals wa US wanakwambia kuna shida mahala kwao, Kamanda kipensi wa Ewura kutoka machame anapindua meza hadi kauli 😂.

Kunyoosha maelezo ni kwamba anawapinga baada ya kusoma articles 2 tatu online akichanganya na arosto zake za "dettol".

Tuna ujuaji mwingi wa "kifyotorilo" halafu mahaba ya kindezi hadi kero.

Kama mtu hulipwi kusema uongo kuna hasara gani ukizungumza ukweli?

Bora utumwa wa mwili ubaki na akili zako timamu ipo siku unaweza kujikomboa. Ila kua mtumwa wa fikra ukombozi uliopo ni ile day ya kuzama ardhini tu.

Dunia hii kuna watu wataendelea kua mithili ya "toilet paper" hadi dk y mwisho. Wataendelea kuhifadhi thamani yao kabla ya matumizi. Ila wakishatumika ndio basi tena.

Lau mifugo yetu ingejua kua chakula tunachowapa, maji tunayowapa, mabanda wanayochafua tunawasafishia sio mapenzi kwao bali lengo haswa ni wakue tuwachinje ama tuwauze sidhani kama wangeendelea kukaa bandani... 😂😂😂
 
Huyo mk254 hawezi kuwa na busara na uelewa hata 5% ya @T14Amata.

Ujue kujua Id ya mtu yuleyule sema ni majina tofauti ni kazi ndogo sanaa kuna floo ya maandishi,kuna hisia zinakua sawa,kuna matumizi ya neno flani,kuna aina za rangi ata aweke profile picture gani ila ni lazima rangi flani itamalaki mfano blue(mr.blue😂😂😂)

Kupitia huu uzi nikajua matumizi ya ignore 😂😂😂😂nilikomaliaga id ziunganishwe kumbe hiyo fashen imepitwa na wakati coz watu wengi wana misafara ya ID.

We ukigundua piga nyundo tuu.

#usinyanyue kidole walii badoo hajastaafu😂😂😂(nyundo)
 
Source umetoa Sputnik na RT ambavyo ni vyombo vinamilikiwa na serikali ya Urusi. Unaniita nijadili nini hapo
 

Iran wanazo tayari usione ule ukaribu na Russia ni wa bure there’s something goin on
 
Huyo jamaa nadhani amebadili ID...nahisi ni MK254
Umejiunga muda wote huo na bado huwezi tofautisha ID kirahisi hivi. Mk254 ni Mkenya, nyuzi za Kenya humkosi na kusifia nchi yao. Kwa anayejifanya kunijua kama wewe anajua nimezaliwa wapi na kukulia wapi. Wala kilugha ninachoongea Mk hajawahi hata kukisia
 
RT,
Sputnik na RT ni vyombo vinamilikiwa na serikali ya Urusi. Haiwezi jipinga
 
Habari za chinichini zinasema T14 Armata alikuwa jasusi la Marekani North Korea. Sasa hivi Sea-I-A wamempa mkataba wa kazi maalum huko Moscow.
 
Thanks. Hizi wenye nazo huziita TACTICAL ID
 

Dunia imechngamka sana zamani Russia pekee ndo alikua anaweza kumdindia Marekani ila sahivi kuna North korea hawa ndo wamesema waziwazi Marekani akiwachokoza bhs New york itakua majivu na wapo tayari kupigana vita.

Iran pia wamesema wakitengeneza nuclear warhead Marekani atakipata cha Moto[emoji3]. Ukiona watu washaanza kukudindia hivi jua washajua huna kitu ni dhaifu.

China nao muda mrefu walikua wanyonge ila naona kipindi hiki hawataki unyonge.

Marekani kwa sasa limebaki jina tu, hotuba ya Putin Juzi alisema US kwa sasa hawana mbinu mpya za kukuza uchumi wao zaidi ya kuiba rasilimali za nchi nyingine( Libya, Syria wanaiba mafuta huku Africa wanazoa dhahabu kama mchanga).

Kuna mzee alinambia Marekani mwisho wake umefika ila haamini kama ni kweli hana utofauti na yule mtu anayeambiwa amka kumekucha ila anafunua shuka kuchungulia kama kweli kumekucha.

Mwisho wa Marekani umefika, multipolar world in making.[emoji736]
 
wanaona gharama zinepanda za usafiri ulaya walivyompiga vikwazo kutotumia anga la ulaya Russia alizichukua ndege zao zaid ya 400+ zipo mahali salama zimekaa walilalamika wehhh wakachoka na putin akasema izi ndege azitoki apa
Nadhani soon Russia apewe hadhi ya HYPERPOWER. Usupapawa ubaki kwa US labda na UK huko.
 
Lau mifugo yetu ingejua kua chakula tunachowapa, maji tunayowapa, mabanda wanayochafua tunawasafishia sio mapenzi kwao bali lengo haswa ni wakue tuwachinje ama tuwauze sidhani kama wangeendelea kukaa bandani... [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwenye uelewa na hili wakuu atusaidie kudadavua nini maana ya "stronger union than a federation"
Jesus Mlokozi ,Bwana Utam ,T14 Armata 🇷🇺🇷🇺🇷🇺👇👇
Nk



Russia and Belarus Could Become Closer – Lukashenko

The nations could form a union stronger than a federation or confederation without losing their sovereignty, Belarusian President Alexander Lukashenko said Monday.

As reported by local media outlets, the Belarusian leader noted that his country’s sovereignty and independence were “a constant.”

Lukashenko went on to say that “by preserving the independence of Russia and Belarus, we will build such a union that both federal and confederate states, and, perhaps, even unitary states will be envious of.” He added that, “We are quite smart people. The Russian president is an absolutely reasonable person and understands in which direction we should move.”

Subscribe to RT
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…