Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Siku hizi huwa nakwepa mjadala nao, no matter nini utawaeleza wana ya kwao daima.

Wako radhi kuita W ni doube V as long as inafit imagination yao.
 
Hadith yako inatufundisha nini?
 
Bro najiuliza hapa tushirikiane kumuelimisha huyu au naye atasema anachangiwa na mtu yule yule kwa Identity tofauti... 😂

98's hiyo juzi kabisa bro, tungeichimba kuanzia enzi na enzi.

Any way endeleeni na mjadala wenu wacha niwe msomaji tu.
Bora kua msomaji mdogo wangu hapo utaeleza leo atajitafutia excuse ya kutoelewa kwasababu maelezo yatakuwa nje ya anachopenda kusikia...

So Hizo nguvu na huo mda bora ukakae na mkeo umpe maneno matam udumishe upendo.
 
Umekwepa hoja kindezi sana 😁😁😁😁
 

Kunywa wanzuki hapo kwa udhamini murua kabisa toka kwangu! Kazi umeimaliza.
 
Bro najiuliza hapa tushirikiane kumuelimisha huyu au naye atasema anachangiwa na mtu yule yule kwa Identity tofauti... 😂

98's hiyo juzi kabisa bro, tungeichimba kuanzia enzi na enzi.

Any way endeleeni na mjadala wenu wacha niwe msomaji tu.
Nikupatie nafasi ya upendeleo.

Hili suala nalikabidhisha mikononi mwenu Bw. Qibsyl na Galip Vrl

Mna vitu vingi kuliko mimi. Hakuna shaka mtagusa kila kona ya maarifa.
 

Putin kawategea mtego na wameingia kichwa kichwa[emoji23][emoji23]. Marekani inflation kila siku inapaa
 
Nikupatie nafasi ya upendeleo.

Hili suala nalikabidhisha mikononi mwenu Bw. Qibsyl na Galip Vrl

Mna vitu vingi kuliko mimi. Hakuna shaka mtagusa kila kona ya maarifa.
Hapana bro, sio kwamba tunajua vitu vingi. Naamini kila mtu anajua vingi kulingana na idadi yake aliyo nayo.

Issue ya Russia na NATO wengi wanaangalia mwisho bila kuutizama mwanzo ilipoanzia.

Sawa na wewe hapo nikuchokoze gizani ukanipige hadharani. Kwa wasio na hekima wa kuuliza nini chanzo watakuona wewe ni mgonvi na mie unanionea.

Then, ikija issue ya kuzungumza ukweli mapokezi itakuwa inategemea ile trust waliyo nayo kila mmoja juu yetu. Wanao kuamini wataona una haki ya kunipiga. Na wasio kuamini wataona unanionea hata kama ukweli ni ule ule kua mie ndie mwanzilishi wa Ugonvi.

Msemo wa bro Galip Vrl hapo juu, haijalishi nini utawaambia wao tayari wana lao ambapo kila maelezo tofauti na kile walicho nacho watayatafutia excuse.
 
Siku hizi huwa nakwepa mjadala nao, no matter nini utawaeleza wana ya kwao daima.

Wako radhi kuita W ni doube V as long as inafit imagination yao.
Kuna kipindi nilikuwa nasikiliza lecture flani ajabu kadri somo linavyokwenda nikawa sielewi kabisa. Niliacha kuendelea na somo nikajipa muda wa kutafakari.

Nikagundua somo nililokuwa napokea ni kubwa kuliko uwezo wangu wa ufahamu. Ili nimwelewe anasema nini ilinibidi nianze kujifunza msingi wa chini kabisa na yale makando kando yangu yote niliyaacha na kuamua kuwa mwanafunzi.

Huwezijua, labda unashusha umeme wa 250,000 volts wakati mpokeaji ni 500volts.
 
Umesema kweli.

Kwa namna hiyo nafikiri niiache nature ichukue mkondo wake.
 
😂😂😂

Mjomba ujue yale Magazeti ilini bidi nistaafu tu. So now nimekua mtu wa kupita hapa nasoma replies za watu nacheka na ku-like kiroho safi maisha yanaendelea.

Nowadays brain zetu zina shida pahala. Till when tutakapojua ubongo unafanyaje kazi labda tunaweza grasp something kwenye kila tunachosikia na kuambiwa.
 
Hakika!

Nilisoma falsafa kiasi, Rumi anasema; " Why do you stay in prison when the door is wide open?

Sehemu nyengine akasema:
" Be like a tree and let the dead leaves drop"
 

NAKAZIA kidogo,

US mpaka mwaka Jana Dec 2021 alikua ameprint thamani ya dollar $ trillion 20 yaani ndani ya mwaka 1 Kutoka jan-Dec21 ambayo ni sawa na 40% sio mchezo.

Kama tunavyojua dollar ni sarafu inayotumika sana kwenye manunuzi ya bidhaa duniani. Data zinaonesha mpaka sasa kuna zaidi ya US$40 trillion zipo kwenye mzunguko duniani. Hapa inajumuisha physical money, cryptocurrencies, savings nknk.

Tukija ndani ya Taifa lao US data zinaonyesha kuna US$ trillion 5.8 tu, inamaana kiasi kilichobaki kinaingia hapo juu. Sasa acha niende direct kwenye point.

Ukitafuta tofauti hapo utapata kama US$ 34.2 trillion hiki ni kiasi ambacho kipo nje ya taifa la Marekani ina maana hawana access na hizo pesa zipo mikononi kwa mataifa mengine au raia wa nchi zingine.

Watu wengi wanabadili pesa za nchi zao kuwa dollar na wengi wanazihifadhi majumbani mfano mimi hapa toka mwakajana naenda mwaka nina dollar 3,500 zipo kwenye kabati sijawai hata zitumia, sasa jiulize watu kama mimi tuko wangapi hapa Tanzania?? Africa?? Asia??Europe?? nknk ambao tunafanya huu mchezo??

Just imagine Mataifa yote yatoe dollar unafikir nini kitatokea?? Dollar ikianza kuyumba kama ilivyotokea kwa Euro hapa ndo mtaielewa point ya MR MAJANGA kwa jinsi US anavyokwenda na Pesa anazozidi kuprint Uchumi wake upo shimoni bado kufukiwa tu.

Unafikir ni kwanini Federal reserve wame hike interest rate kwa 75 basis point??.. naombeni point hapa Qibsyl @Galip nknk

US yuko kwenye level mbaya sana ni suala la Muda tu na uzuri ameshajua tayari hali yake.
 
^Kwa mtu aliyesikiliza vizuri hotuba ya Zelenskiy, basi ataelewa kuwa HIMARS hazina msaada wowote na wala si kitu mbele ya nguvu ya Russia.^

Zelenskyy (meanwhile): We're really winning this war!
 
Fikir ni kwanini Federal reserve wame hike interest rate kwa 75 basis point??.. naombeni point hapa Qibsyl @Galip nknk
Anha kuhusu hilo ni kwamba Inflation (mfumuko wa bei kwa lugha yetu hapa waswahili) measures wastani wa ongezeko wa consumer prices katika bidhaa na huduma.

Na siku zote tunajua Prices typically rise when either supply is constrained, or demand outstrips supply. Hii principle ya hitaji na upatikanaji nadhani sio ngeni kuizidishia maelezo.

Sasa higher rates inafannya borrowing kua more expensive hivyo ku-encourage saving. Na pale debt inapokua costlier, hii in turn inaweza influence consumer demand for goods and services, vile vile business investment na hiring intensions.

Hivyo kusaidia kupunguza inflation when demand is outstripping supply.

Nyongeza zaidi na nadhani hapa ndipo ilipo point ya maelezo yako uliyo tupatia, ni kwamba huku katika rising interest rates huwa typically inapelekea kua na stronger currency on the foreign exchange markets.

Ambapo inasaidia pia ku-reduce the price of imported goods. For this reason wadau wengine hapa mtatoka na majibu kuhusu dollar kuendelea kutulia pale pale wakati Euro na Pound zikiongeza speed kwenye mteremko.

With aggressive rate rises na hao Federal reserve ndio wameifanya USD currency ku-strengthened to the highest level ndani ya milongo miwili huku pound iki-hit the lowest level against dollar tangu kuibuka kwa Uviko 19.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…