Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Dunia ilikubaliana na nani? Weka evidence kwanza watu mnachekesha sana[emoji23][emoji23]
 
US sasa hivi anazichapa Ukraine, na juzi alikuwa tayari azichape huko Taiwan. Na nnakuhakikishia ingetokea nafasi ya Vita huko North Korea na bado asingepoa angeendelea kuzichapa. Jamaa ana guts haswa, ana confidenc na kile anachosimamia.
 
anazichapa ukraine?kapeleka meli ngapi za kivita,na ndege ngapi,na mpaka sasa amesharusha makombora mangapi ndani ya russia,kumbuka russia sio libya wala iraq,russia ni dunia mkuu..
 
Kwa Muda wake akajisomeee EXPANSIONARY AND CONTRACTIONARY FISCAL AND MONETARY POLICIES atajua hajui ...halafu ndio arudi kubishabisha. ...
 
Kwa Muda wake akajisomeee EXPANSIONARY AND CONTRACTIONARY FISCAL AND MONETARY POLICIES atajua hajui ...halafu ndio arudi kubishabisha. ...
😂

Ule msimamo tu wa anacho kiamini hana, kaanza ooh uchumi hauko hivyo. Kapewa nukta moja tu kabadili kauli. Eti ooh hizo ni fundamental analysis tu.

Hapo Mtu kama huyo unamfanyeje?🤔

Ipo like mtu anayesema "nimezunguka kila kona ya dunia nimejionea mengi". Ukimuuliza umeenda wapi na wapi anakujibu "nimezunguka kutoka kimara hadi mburahati".

After all hizo ndio "kila kona ya dunia yake".

Kama anayejiita forex trader anashindwa kuelewa kua Currency A kua chini against currency B haina maana itakuwa chini against currency C.

Uhalisia ulivyo Currency A inaweza kua low against B na ikawa strong against C. Mfano kwa USD against Ruble iko low ila iko strong against Euro na Pound.

Why hivi why vile wamekaririshwa eti Investors wamefanya hivi au wamefanya vile.

Anyway tusizue mada juu ya mada, turudi kwenye mada halisi ya Ukraine vs Russia.
 
Sasa hivi si tunaambiwa UK joto limepanda hadi kuzidi 35° wanahitaji maji ya moto ya nini sasa?
 
Kumbe
 
Nchi gani walioafikiana watumie dolla???? Nchi zinatumia Siyo Kwa kuwa zimekubaliana Ila zinatumia kutokana na uimara wa dolla sokoni, na nakuhakikishia dolla ikianza kupoteza thamani automatically nchi, mabank, wafanyabiashara na raia wataacha kutumia dolla kuogopa isiwafie mkononi
 
US sasa hivi anazichapa Ukraine, na juzi alikuwa tayari azichape huko Taiwan. Na nnakuhakikishia ingetokea nafasi ya Vita huko North Korea na bado asingepoa angeendelea kuzichapa. Jamaa ana guts haswa, ana confidenc na kile anachosimamia.
Kwa hali aliyonayo marekani Kwa sasa Siyo confidence ni kwakuwa Hana jinsi au njia nyingine ya kujinasua asiporomoke zaidi ya Vita, na kitu pekee anachotaka marekani ni Vita ianze kabla ya msimu wa baridi kufika maana anajua kabisa kufika kipindi hicho kuna kila dalili NATO na EU kusambaratika, na wakisanbatatika hao maana yake ni anguko kuu la uchumi la marekani
 
Kwenye forex tunasema kuwa kuna aina mbili ya watu wanaocontrol soko
Aina ya kwanza ni watu wanaoamisha pesa kwa kujua na kusikia data(forex traders) ambao ni wengi sana pia
, Hawa wanainclude investers, na aina ya pili ni hyo ya daily life luteen, unaweza ukaona data haina maana kwenye macho yako ila kimahesabu ni data kubwa na ina maana sana, ndo maana kila taarifa mbaya waga kuna spikes kutoea mara tu baada ya habari nzuri sana au mbaya sana, then baada ya apo soko linarudi kidogo, afu then slow and gradual trend inafantika, hii ndo tunaita kundi la pili ambalo ni maisha ya watu wa kawaida
 
Ulishuka sana thamani mwaka wa Corona, tatizo sio kuiacha, tatizo binadam duniani washakubaliana kuwa ndo hella ya dunia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…