Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,513
anazichapa ukraine?kapeleka meli ngapi za kivita,na ndege ngapi,na mpaka sasa amesharusha makombora mangapi ndani ya russia,kumbuka russia sio libya wala iraq,russia ni dunia mkuu..
anazichapa ukraine?kapeleka meli ngapi za kivita,na ndege ngapi,na mpaka sasa amesharusha makombora mangapi ndani ya russia,kumbuka russia sio libya wala iraq,russia ni dunia mkuu..
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£ Hayo makubaliano yalifanyikia wapi?????Ulishuka sana thamani mwaka wa Corona, tatizo sio kuiacha, tatizo binadam duniani washakubaliana kuwa ndo hella ya dunia
Una akili za kitoto sanaMarekani hana ubavu wa kuzichapa na Russia siku zote anatumiaga mgongo wa mtu nyuma mfano Ukraine pale, na Russia ameingilia vita za Marekani Syria na Venezuela pale tena US alikua home kabisa ila zote akakimbia[emoji23][emoji23].
Marekani kapeleka meli ya kivita karibu na Taiwan ila ikitokea Russia kasogeza yake karibu na Taiwan au China Marekani ataondoka tu. Marekani anaogopa sana vita na Russia na anakwepa sana.
China ndo tegemeo pekee la Russia kwenye uchumi hivo hawezi kubali China aanguke kizembe, kuanguka kwa China itapelekea kuanguka kwa Russia.
US akiingilia mgogoro wa Taiwan bhas haitachukua round Russia ataingia tu na kuna uwezekano mkubwa Kiduku kuingia mpaka Iran hawa wote wanamtegemea China kwa kias kikubwa sana. Anguko la China litadhoofisha haya mataifa yote.
Anachofanya Marekani ni kumtishia China ila akiamua kukiwasha hakuna chochote atafanya. Marekani anakwenda Kupata aibu nyingine tena.
Ulishuka sana thamani mwaka wa Corona, tatizo sio kuiacha, tatizo binadam duniani washakubaliana kuwa ndo hella ya dunia
Una akili za kitoto sana
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hayo makubaliano yalifanyikia wapi?????
SCOREBOARD UKRAINE @Binadamu gani hao walikubaliana? Ilikua ni wapi walikubaliana na lini??
Jinsi ilivyokuwa mijizi USA wakishachapisha madola yao wanayapeleka WB na IMF alafu mnakopeshwa nyinyi then faida ya mkopo inaenda USA na mtaji wao unabaki IMF na WBUchumi wa marekani ni uchumi wa opportunity ya fedha yake tu ....kitendo cha dola kuwa ndiyo pesa kuu ya biashara duniani ndicho kinaifanya marekani kuwa tajiri ...hata ingekuwa leo pesa yetu ndiyo iwe pesa ya dunia kibiashara tz ingekuwa tajiri ndani ya mwaka mmoja tu maana tungechapa pesa nyingi kuliko matumizi yetu ya ndani pasipo kusababisha mfumuko wa bei kwa pesa yetu wala kuporomoka thamani ya pesa yetu

Mkuu nchi za Europe ikiwemo UK huwa wanakuwa na majira ya aina nne ktk mwaka. Kuna Spring (March hadi May), Summer (majira ya joto; June hadi August), Autumn (September hadi November) na Winter (baridi kaliiii haiwezielezeka kwa maneno yoyote yale + snow; December hadi February).Sasa hivi si tunaambiwa UK joto limepanda hadi kuzidi 35Β° wanahitaji maji ya moto ya nini sasa?
Sisi tutakula tulikopeleka mboga arifu.Opportunity izo aisee angekua ni west asingenyanyua pua,kila upande unajitengenezea fursa zake.
Sisi timu vuguvugu tunapumulia wap?
Mmmmhhhh noma sanaa kila upande unajitengenezea ugali.Sisi tutakula tulikopeleka mboga arifu.Mboga yetu iko kotekote πππ
Mkuu kasome Serpukhov-15, Kumbuka Russia ndio taifa la kwanza duniani kurusha ileSiku Russia akipiga Himars hata 1 atashangilia