Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?


Deficit Budget ya Marekani anategemea mkopo China, unajua Marekani anadaiwa kias gani na China?? Hivi nyie watoto US kawapa nini??
 
Putin sio mtu,
Pengine ni Alien.
Kaweza kumvuta Erdogan.
 

Russia anafanya mambo mengi ya AIBU kwa Marekani lakini huji kuta wakiongelea hata siku1. Vijana wa Biden msione US anaogopa kuingia vitani na Russia ni kwamba ukweli amezidiwa ki tech kwa kila kitu.
 
Ulionaje ni sehemu ya China Bara? Tukiacha historia ya zamani, kisiwa kimekuwa nchi ya pekee tangu miaka 73, halafu katika Kura huru watu wake wamethibitisha mara kadha wanataka kuendelea kama nchi. Nani aamue wanapaswa kuingia chini ya serikali ambayo si yao? Yani wamekuwa nchi ya pekee wakati TZ ilikuwa nchi za malkia. Vipi malkia kuamua sasa nchi hii irudi kuwa chini yake?
Mie nimekopi na kupest Mkuu
Historia ya TAIWAN kiukweli siijui nimeanza kujielewa nilijua TAIWAN nitaifa huru nilipokuja kujitambua nikaona nisehem ya UCHINA


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Marekani+NATO+EU zalalamika na kusikitika mno kuwa Uturuki imekuwa na uswahiba mkubwa mno na Urusi, na kwamba Erdoğan na Putin wamekutana hivi karibuni na wamekubaliana kushiriki ktk nyanja za usafirishaji, kilimo, uchumi na ujenzi.

ikumbukwe kuwa Uturuki imeshatangaza wiki chache nyuma kuwa itajiunga na BRICS 😄😄😃😃😇


 
Russia anafanya mambo mengi ya AIBU kwa Marekani lakini huji kuta wakiongelea hata siku1. Vijana wa Biden msione US anaogopa kuingia vitani na Russia ni kwamba ukweli amezidiwa ki tech kwa kila kitu.
PR ya west iko njema, wana control media hivo kwao ni rahisi pia ku'control kile wafuasi wao wanachowaza.

Kingine ni lugha, Lugha imefanya taarifa nyingi za East kuishia huko huko kwao isipokua kwa wachache wenye shauku ya kujua yanayoendelea kutoka huko.

America is really reaching by claiming to have air-struck a guy who already died in 2020 from a medical condition.

Did America blow up his coffin?

😂View attachment 2316482
He he he hii nayo kali... Hii taarifa ya 2020. Miaka miwili baadae wanasema wamemchapa drone 😂 US kama US huyo.
 

Marekani kawa kama mbwa koko [emoji81][emoji81]
 
...this time flying too closer to the rear of the ship that the crew could probably what spots the pilot missed shaving that morning...

Nyie nyie ha ha ha, waleteni wale wachambuzi watueleze kitaalam inaitwaje hii [emoji23][emoji23][emoji23]
@T14 Armata ngojea pengne atakuja [emoji23][emoji16][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uhuru wake uliondokaje ondokaje
Tuanzie hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…