Btw, hata Zambian Kwacha has performed the best against USD. Rubble is nothing special.Naamini Russia alijipanga zaidi na hii operation kuliko tunavyofikiria, alijipanga kijeshi na kiuchumi pia. Baada ya kuanza operation nchi za magharibi zilikimbilia vikwazo zikiamini kumuwekea Russia vikwazo kutamuadabisha na ataondoa jeshi ukraine. Nini kimetokea?
Vikwazo havikufanya kazi waliyoitarajia, nchi nyingi za ulaya kwa sasa hali za za uchumi ni tofauti na kabla hawajaweka vikwazo.
Angalia hata thamani ta hela ya Urusi mwezi march alafu angalia na august hii naamini Putin anacheza kete zake kwa akili sana.
Tuliaminishwa na western media kwamba uchumi wa Russia ni wa "kuunga unga" hivyo hawataweza kustahimili vita kwa mda mrefu ila kwa sasa tumeshuhudia tofauti.
Tukumbuke Russia ni mojawapo ya nchi zenye taasisi imara sana ya kijasusi haiwezi kufanya mambo kwa kukurupuka kama tunavyoaminishwa na media
View attachment 2316202View attachment 2316203
Muulize Mombasa Kuna watu wengi wa dini ganiAsilimia 99 ya watu wa Zanzibar ni Waislamu ulitaka iweje?
Wana Autonomous yao, hivyo hujipangia sheria kutokana na Tamaduni zao.
Mfano uje hapa Mbeya halafu utake kuleta Utamaduni nje ya Wanyakyusa, Wasafwa, Wamalila na Wandali utakuwa una akili kweli?
Huku duka Nyama ya ng'ombe, duka kitimoto na maisha yanaenda.
Tanzania ubaguzi wa kidini bado.
Tena bado sana kwa sababu ya mchaanganyiko unaoendelea kutengenezwa.
Acha ujuha au hujatembea Tanzania vizuri.
Anajiona kaandika kitu Cha maana
Hao waeka vikwazo wanaliaBtw, hata Zambian Kwacha has performed the best against USD. Rubble is nothing special.
Sanctions hurt more than you can imagine.
When imports are banned, some industries must cripple or die. Russian Oligarchs don't believe in their country, they hide their wealth in some European Countries.
Unakumbuka wakati Huawei wanawekewa vikwazo kutotumia Android? Mpaka sasa ameshindwa ku-recover kwenye mobile phones.
Sophisticated industries kama airlines zinatumia pattents toka makampuni ya US au EU either Boeings or Airbus. Airline industry ya Russia haiwezi survive kama haitapewa some equipments toka kwa hao eu na us.
Iran walipowekewa vikwazo, airline industry imekufa kibudu.
Kabla ya vita Russia alikuwa nje ya top 10 ya nchi zenye uchumi mkubwa. Sahivi anapumulia gas na mafuta peke ake na kwa mbali bidhaa za kilimo.
What else does Russia offer other than Gas and Oil?
HeheheeAnajiona kaandika kitu Cha maana
Unaandika kwa mihemko,unaweza kuleta data kudhibitisha kwamba uchumi wa Urusi upo taabani? Haijalishi Urusi kama ana cha maana,Ila gesi imeyumbisha serikali za ulaya kufikia kuanguka,hapo unasema Hana la maana? Vipuri vya ndege alikuwa akitegemea Marekani,Ila sasa anatoka vipuri vya ndege China.Btw, hata Zambian Kwacha has performed the best against USD. Rubble is nothing special.
Sanctions hurt more than you can imagine.
When imports are banned, some industries must cripple or die. Russian Oligarchs don't believe in their country, they hide their wealth in some European Countries.
Unakumbuka wakati Huawei wanawekewa vikwazo kutotumia Android? Mpaka sasa ameshindwa ku-recover kwenye mobile phones.
Sophisticated industries kama airlines zinatumia pattents toka makampuni ya US au EU either Boeings or Airbus. Airline industry ya Russia haiwezi survive kama haitapewa some equipments toka kwa hao eu na us.
Iran walipowekewa vikwazo, airline industry imekufa kibudu.
Kabla ya vita Russia alikuwa nje ya top 10 ya nchi zenye uchumi mkubwa. Sahivi anapumulia gas na mafuta peke ake na kwa mbali bidhaa za kilimo.
What else does Russia offer other than Gas and Oil?
Tafadhari naomba kuyajua baadhiKatika maisha,Urusi imeshaifanyia USA matumio ya kibabe sana,na USA ikaufyata TU.
Kawatilia ngumu kumtoa Assad
Miaka ya sitini USA ilikua inaisumbua Cuba kwa sababu ya ukomunist.Russia anafanya mambo mengi ya AIBU kwa Marekani lakini huji kuta wakiongelea hata siku1. Vijana wa Biden msione US anaogopa kuingia vitani na Russia ni kwamba ukweli amezidiwa ki tech kwa kila kitu.
Soma komenti namba 61335
Kuna watu wana macho lakini hawaoni wanamasikio lakini hawasikiii... #nashubili ushindi mkubwa wa russia ndani ya ukrein ila asishinde mpka kipindi cha barini abane koki kwanza...Miaka ya sitini USA ilikua inaisumbua Cuba kwa sababu ya ukomunist.
Ilikua inaitishia kuivamia.
Urusi ikapeleka kibabe silahaza nyukilia kuilinda Cuba.
Ndege ya upelelezi ya USA aina ya U2 ikaingia maeneo ya Cuba,USSR ikaona kua inaweza kutambua zilipo silaha za nyukilia.
Wala Warusi hawakujadili sana,wakaipiga na kuua rubani wake.
Miaka ya sabini ndege nyingine ya upelelezi ya USA aina ya U2 ikaingia anga la Urusi,Urusi haikujadili sana ikaipiga ndege na rubani akatekwa.
KILE ALICHOSHINDWA CHINA KWA PEROS,URUSI ASINGEONGEA MARA MBILI
Miaka ya themanini (1984) ndege ya Korea kusini ikiwa na raia wa USA ambao inaelezwa kulilikua na watu muhimu,wataalamu ama majasusi wa Marekani ndani yake,ilipita eneo Mkoa wa Urusi wenye silaha Kali na za Siri ambalo hakuna ndege ya kigeni ingeruhusiwa kupita eneo like.
Urusi iliionya ndege hiyo isipite eneo hili lkn ikakaidi.
Iliionya zaidi na zaidi ikaleta kiburi.
viongozi wa jeshi la anga la Urusi waliamuru kwa marubani wa jeshi la Urusi waipige ndege Ile
Ndege ya jeshi la Urusi ikaruka juu na kwenda kuitungua ndege Ile.
Mwaka 2007 Putin akiwa uwanja wa michezo ya Olympic mjini Beijing.
Alikatisha starehe ya kutazama michezo na kurudi Moscow haraka,baada ya majeshi ya Georgia kuwapiga kijeshi majimbo yake mawili yaliyokua yanadai haki sawa yenye wakazi wenye asili ya Urusi.Sothern Ossetia na Abkhazia.
Putin aliamiru jeshi lake kwenda kuwasaidia majimbo hayo.
Huku Georgia akitiwa kiburi na NATO,Urusi ilitembeza kichapo na kuyapa Uhuru majimbo hayo.
USA wakiwa wamekula njama na kusababisha maandamano nchini Ukraine yaliyopelekea Rais wa Ukraine kukimbia,makomando wa Urusi aina ya Spetsnaz wakiingia kimyakimya Crimea na kuitwaa na kuirejesha Urusi.
Ikumbukwe Crimea ilikua ni sehemu ya Ukraine.
Haya yote yamefanyika huku Marekani akibweka bila kuuma.
Kabla Urusi hajaivaimia Ukraine,USA alileta dharau sana pale Putin alipokua alifanya juhudi kuisihi USA isiruhusu Ukraine kujiunga na NATO.
Urusi uvumilivu uliishinda.
USA iliionya sana Urusi isivamie Ukraine kwamba itakutana na consequences ambazo itajuta.
Urusi haikujali ikavamia Ukraine.
Marekani na ubabe wake wote Huwa kwa Urusi haifanyi kitu.
Urusi baada ya kuona Assad huenda akaondolewa na USA na wapanmbe wake Urusi ikaingiza majeshi,Assad bado yupo,kwa kifupi Urusi ndio imemuweka Assad kibabe.huku ikizifukuza USA,France na UK.
Urusi imemuweka madarakani kibabe Niko Maduro.
Yote haya na mengineyo yanafanyika USA akiona.
Urusi ndio mbabe wa Dunia.
USA kazi kuonea vigagaa TU.
Ni Nani huyo asiyejua kitisho Cha Russia dhidi ya US? Russia kwa Sasa ime be termed Kama kitisho namba moja Cha US na NATO si ugaidi Tena Kama ilvyokuwa siku za nyumaAlafu utasikia kenge humu inaropoka eti Urusi sio tishio kwa marekani,mbona anahaha.
tunasema usa kakutana na show kaliMarekani akigeuka kulia anakutana na Russia kushoto china juu North korea chini Iran. Mwaka huu lazima ajiharishie manake anajaa vizuri dadeki
Ulivoandika tu "PEROS" niliacha kusoma pale pale.Miaka ya sitini USA ilikua inaisumbua Cuba kwa sababu ya ukomunist.
Ilikua inaitishia kuivamia.
Urusi ikapeleka kibabe silahaza nyukilia kuilinda Cuba.
Ndege ya upelelezi ya USA aina ya U2 ikaingia maeneo ya Cuba,USSR ikaona kua inaweza kutambua zilipo silaha za nyukilia.
Wala Warusi hawakujadili sana,wakaipiga na kuua rubani wake.
Miaka ya sabini ndege nyingine ya upelelezi ya USA aina ya U2 ikaingia anga la Urusi,Urusi haikujadili sana ikaipiga ndege na rubani akatekwa.
KILE ALICHOSHINDWA CHINA KWA PEROS,URUSI ASINGEONGEA MARA MBILI
Miaka ya themanini (1984) ndege ya Korea kusini ikiwa na raia wa USA ambao inaelezwa kulilikua na watu muhimu,wataalamu ama majasusi wa Marekani ndani yake,ilipita eneo Mkoa wa Urusi wenye silaha Kali na za Siri ambalo hakuna ndege ya kigeni ingeruhusiwa kupita eneo like.
Urusi iliionya ndege hiyo isipite eneo hili lkn ikakaidi.
Iliionya zaidi na zaidi ikaleta kiburi.
viongozi wa jeshi la anga la Urusi waliamuru kwa marubani wa jeshi la Urusi waipige ndege Ile
Ndege ya jeshi la Urusi ikaruka juu na kwenda kuitungua ndege Ile.
Mwaka 2007 Putin akiwa uwanja wa michezo ya Olympic mjini Beijing.
Alikatisha starehe ya kutazama michezo na kurudi Moscow haraka,baada ya majeshi ya Georgia kuwapiga kijeshi majimbo yake mawili yaliyokua yanadai haki sawa yenye wakazi wenye asili ya Urusi.Sothern Ossetia na Abkhazia.
Putin aliamiru jeshi lake kwenda kuwasaidia majimbo hayo.
Huku Georgia akitiwa kiburi na NATO,Urusi ilitembeza kichapo na kuyapa Uhuru majimbo hayo.
USA wakiwa wamekula njama na kusababisha maandamano nchini Ukraine yaliyopelekea Rais wa Ukraine kukimbia,makomando wa Urusi aina ya Spetsnaz wakiingia kimyakimya Crimea na kuitwaa na kuirejesha Urusi.
Ikumbukwe Crimea ilikua ni sehemu ya Ukraine.
Haya yote yamefanyika huku Marekani akibweka bila kuuma.
Kabla Urusi hajaivaimia Ukraine,USA alileta dharau sana pale Putin alipokua alifanya juhudi kuisihi USA isiruhusu Ukraine kujiunga na NATO.
Urusi uvumilivu uliishinda.
USA iliionya sana Urusi isivamie Ukraine kwamba itakutana na consequences ambazo itajuta.
Urusi haikujali ikavamia Ukraine.
Marekani na ubabe wake wote Huwa kwa Urusi haifanyi kitu.
Urusi baada ya kuona Assad huenda akaondolewa na USA na wapanmbe wake Urusi ikaingiza majeshi,Assad bado yupo,kwa kifupi Urusi ndio imemuweka Assad kibabe.huku ikizifukuza USA,France na UK.
Urusi imemuweka madarakani kibabe Niko Maduro.
Mwaka 2019 kama sikosei ndegevita moja ya Urusi ilipaa juu ya meli inayosemwa ni ya kisasa sana na iliyo ora zaidi ya Marekani na inayotegemewa zaidi na NATO.
Ndege hiyo ya Urusi iliizunguka melivita hiyo ya USA mara kadhaa na kuondoka.
Kilichotokea meli yote ilizimika Kila kitu,mfano wa mtu azimavyo TV Kwa remoti control.
Meli hiyo ilikuja kukokotwa Hadi kwenye kambi ya meli za USA iliyoko ujerumani.
Mabaharia wa meli hiyo walipofika waliandika barua za kuacha kazi kwa hofu waliokua nayo
Yote haya na mengineyo yanafanyika USA akiona.
Urusi ndio mbabe wa Dunia.
USA kazi kuonea vigagaa TU.
Hapo ulipofika pametoshaUlivoandika tu "PEROS" niliacha kusoma pale pale.
Unadhani una akili sana kumbe mtupu TU.Ulivoandika tu "PEROS" niliacha kusoma pale pale.
Hawa ndio wasomi wa kizazi hiki,kashindwa kusoma ujumbe,anataka kuangalia herufi kama ziko sawa.😄
Nenda iraq libya afghanstan na nchi alizo zivuruga uone wananchi watakavyo kukuona tom or jerrySiku zote za maisha yangu nitakuwa upande wa Marekani sababu,
Ni nchi pekee iliyobaki na waafrika ingawaji ubaguzi hauwezi isha lakini utu kwao ulikuwepo kiasi,
Watumwa wa Africa walisambaa karibu dunia nzima lakini hapo bara Asia kwa nini hakuna hata weusi waliobaki huko..!?
Hao tunaowatetea ni watu wa hovyo kabisa kuanzia China hao ni hatari mno,
hii kitu tunasema unakabw koo vs mbupy🆕🔥🔥🔥The Iranian warships arrived in Kaspiysk to participate in the Russian parade🔥🔥🔥