Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Naona mpo mnatafakari ""jugement Day "" itakuwaje baada ya Crimea kushambuliwa .

Kwa ufupi ni kwamba dikiteta Putin na wadhulumaji wenzake hapo urusi hawaondoki na chochote huko Ukraine, [emoji12][emoji12]
 
This is nature.., hakuna taifa lolote litaloshinda vita ya uonevu dhidi ya taifa lingine


Dikiteta Putin na wadhulumaji wenzake wajiadae kufungasha virago na kuliacha taifa la Ukraine salama salimimi[emoji120][emoji120]
 
Duh....comment zako duh....maandunje.???!!!? By saying or rather shouting Andunje ..Maandunje will that change the fate of Ukraine?!?! I don't think so...Ukraine as a country, nation and state is doomed....
Furaha ya Pro NATO kwa Sasa ni hivi,viji counter attack ambavyo kwa kweli havibadilishi chochote.
Ukiangalia mwenendo wa vita kwa Sasa Ukraine kwa kusaidiwa na USA wanachofanya Sasa hivi ni kirusha vikombora hovyohovyo bila malengo ili kuitia vijihasara TU Urusi,lakini lengo la kukomboa maeneo limekwisha yeyuka.
 
Umeongea kinyonge sana[emoji1787]

Kiufupi ni kwamba; dikiteta Putin na wadhulumaji wenzake hawaondoki na chochote hapo Ukraine [emoji12]
 
Nyinyi mlimfadhili Rogo huko Mombasa akaleta majambazi kule kibiti,mmeisha Acha,au mnaendelea?
 
Ukraine bhana. Mmelipua Crimea ka eneo ka 1 tu na kafa 1 tu. Russia imetungua ndege 3 leo tu na zaidi ya Wanajeshi wa Ukraine 300 wamekufa.

Ila Pro-West mnasherekea Propaganda za West eti Air base[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Alafu seversk na soledar imekombolewa, pro Russia 🇷🇺 tuko kimya hatupigi kelele.
 
DPR forces surround the city. The Ukrainian Armed Forces must have a choice: lay down their arms or die
  • The Peski village area is not yet fully controlled
  • Maryinka is under control on 2/3 of the territory
  • Some advance in the north of Gorlovka in the Zaitsevo region[emoji91][emoji91][emoji91]2/2
 
""" jugement Day""[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mpaka sasa nimegundua kitu kwenye huu uzi..aisee pro nato wengi ni vilaza mbaga..sasa tunahangaika ku urge na watu kama hawa ambao hata kuandika kingereza vizuri hawajui jamani! Sasa kusoma articles mbali mbali za uwanja wa vita zilizoandikwa kibeberu wataweza kweli! Si ndo wanaishia kushabikia mlipuko wa crimea na huku ukraine inakana kwamba sio wao...aisee we are wasting our time urguing with these kind of people! I think this thread should be only for Jesus mulokozi and others to give us war updates.
 
Wana jifanya hamnazo, hivyo basi tuwa puuze tu watu kama hawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…