Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 13,481
- 26,392
UN yenyewe imeshaikubalia Russia, wewe Yoda ni nani hata upinge? Mwambie NATO this time tunakuja hadi vyumbani mwao. 🙂Hakuna watu wanaonishangaza kama Pro-Russia wanaoshangilia na kushadadia uvamizi wa Putin huko Ukraine ulioanzishwa kwa "false flag operation" na kila mara wakitumia US kama reference na uhalali wa imperial wars za Russia
Inadhihirisha ukosefu wa uelewa mpana wa historia na "contexts" pamoja kuendeshwa na mahaba zaidi kwa Putin(sio hata Russia yenyewe kama nchi na mambo yake mengine)
When UN imeukabilia urusi? Official news ziko wapi?UN yenyewe imeshaikubalia Russia, wewe Yoda ni nani upinge? Mwambie NATO this time tunakuja hadi vyumbani mwao. 🙂
Finlandi siyo potential threat dhidi ya Russia kwa sasa, ila akishupaza shingo kama Zelenskyy, naye anabutuliwa.Vipi kuhusu Finland kujiunga NATO?
Bro Himars haziongozwi na Radar zenyewe ni GPS guided rocket sytem ambapo njia pekee ya kuziharibu na zisiwe accurate ni kuharibu mifumo ya setilait angan.kasome tena jinsi Hamars zinavyo fanya kazi mkuu.Marekani na Uingereza zasikitika kuripoti kuwa mfumo wa radar wa kuongozea HIMARS za Marekani nchini Ukraine umeangamizwa na Urusi, sambamba na mizinga ya HIMARS kudunguliwa huko Donetsk
View attachment 2321898
View attachment 2321897
Hivi kwani hujui operatives za UN? Ukimwona UN kakaa kimya, basi jua hiyo ni positive nodding signal ya kukubali.When UN imeukabilia urusi? Official news ziko wapi?
Sasa why Ukraine Ina adhibiwa Kwa mkosa ya Putin mwenyewe au Kwa kuwa hayo majimbo ya reserve kubwa ya mafuta na gesi?Tatizo siyo hasa Ukraine kujiunga na NATO (ingawa ni mojawapo). Unataka kujua sababu? Ukraine amethibitisha kwa Russia time and again kwamba yeye ni donda lisiloponyeka. Dawa yake ni kuli-sever.
Sio mazombi tulisha zifata siasa zao kipindi Cha uhuru umeona zilipo tufikisha kwenye umaskini na ujinga na kuwafanya viongozi miungu watu.Ila we dogo ni mweupe sana kichwani humo, una hoja nzuri shida yako moja tu, PROPAGANDA zimekuharibu sana ni hilo tu unahalalisha ushetani wa US ni sawa ila wengine si sawa.
Unasema Assad ni dikteta unashindwa tambua kwamba hiyo ndo imekua sababu ya West pindi wanapotaka kuvamia taifa lolote kwa kigezo cha udikteta?? Pale maslahi yao yanaposhindikana??
Unatambua kwamba Walitaka kupitisha bomba la gas pale Syria lakin Assad akawakatalia ndo wakamuita dikteta na kutaka kumtoa?? Unatambua hivo vikundi vya waasi mfadhili wao ni Marekani??
Unakumbuka sakata la kule Libya mauaji ya Gadaffi? walisema ni dikteta na wewe kweli unaamini Gadaffi alikua ni dikteta?? wake up kijana.
Tuje na sakata la kule Venezuela??? Kijana uwe una fanya some research kama unataka kuwa keyboard warrior sawa.
[emoji1371]The Western propaganda is successful in turning people into zombies. You've been zombified.
Feel sorry for the trapped Russian soldiers, putin has set them to die for nothingSupplies ya vikosi vya Urusi imetatizwa baada ya daraja muhimu kuharibiwa.Makamanda muhimu wa Urusi wameondolewa eneo hilo wanaolikalia kwa mabavu🤔
Ukraine Situation Report: Kherson Bridges Out, Russians Face Supply Nightmare
Reports are circulating that Kherson's occupation leadership fled south over the Dnieper River as Ukrainians strangle fragile supply lines.www.thedrive.com
Hata hizo WMD zingekuwepo, hao wapenda-damu hawangekuwa na haki ya kuivamia nchi huru. Waambieni wakamvamie Kiduku kama wana huo ubavu! Unafiki!!!Yaani hata Sisi tunashangaa unavyoitetea marekani iliyoivamia Iraq kwa kisingizio cha uwepo wa silaha za nyuklia wakati akina Scott Ritter walikagua wakadhibitisha kuwa Iraq haina silaha,baada ya uvamizi wa marekani silaha za nyuklia haxijapaitkana,Ila wizi wa mafuta Iraq ndio unafanyika.
Umesahau kuitaja Kiev, mkuu. Nayo soon patakuwa makazi ya Iskanda dee big machineNATO wakawatetee UKRAINE wanaonewa na PUT IN
Kama hawawezi basi hata wewe unaechukia matendo ya RUSSIA pale UKRAINE haitasaidia
SMO inaendelea na haitasimama mpaka malengo yafikiwe na yanafikiwa taratiiibu taratibu
ZPP ipo chini ya RUSSIA
Kherson Inaenda kua RUSSIA
DON bas zinaenda kua RUSSIA
Bila ya NATO msitegemee UKRAINE kupona lawama zenu hazitasaidia
Sent using Jamii Forums mobile app
Us Hali mbaya Kila mtu anajua hata yeye mwenyewe anajua
Express: The US is rapidly losing control of the world
The United States is losing control of the rapidly changing world order, the British Express believes (Global world order is changing - Has the US finally lost its grip? JAMES LEE)
The United States still has the world's largest economy and army, but experts are confident that the wind of change is blowing in global politics, as other countries gain power and subjectivity
"There is no doubt that China will become the next superpower and will probably shake up the planet, establishing a new bipolar world order, unseen since the Cold War," Express believes
At the same time, the States lose influence. This is also evidenced by the fact that Washington has not been able to resolve the Ukrainian issue with Moscow diplomatically. In the Middle East, the US is also losing control, leaving a vacuum filled by rivals
In difficult times, leadership is the key to maintaining power, but the head of the White House, Joe Biden, does not have the authority and reputation of his predecessors to be able to cope with challenges, the Express concludes
Yaani hata Sisi tunashangaa unavyoitetea marekani iliyoivamia Iraq kwa kisingizio cha uwepo wa silaha za nyuklia wakati akina Scott Ritter walikagua wakadhibitisha kuwa Iraq haina silaha,baada ya uvamizi wa marekani silaha za nyuklia haxijapaitkana,Ila wizi wa mafuta Iraq ndio unafanyika.
Afu Kuna kenge Inasema Ukraine anashinda Hii Vita[emoji28]Pesk city imeshachukuliwa na urusi
Hakuna watu wanaonishangaza kama Pro-Russia wanaoshangilia na kushadadia uvamizi wa Putin huko Ukraine ulioanzishwa kwa "false flag operation" na kila mara wakitumia US kama reference na uhalali wa imperial wars za Russia
Inadhihirisha ukosefu wa uelewa mpana wa historia na "contexts" pamoja kuendeshwa na mahaba zaidi kwa Putin(sio hata Russia yenyewe kama nchi na mambo yake mengine)
Acha kukwepa swali,kama huwezi usitusumbue humu.Zungumzia ishu inayohusu huu uzi ambayo ni uvamizi wa Russia huko Ukraine, kama unataka tuzungumzie vizuri uvamizi wa USA kwa mataifa mengine fungulia nyuzi zinazohusu hayo mambo. Usipendelee kuchanganya pilau na makande.