Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Unfortunately, hujataja ni source gani wewe unaiamini. Sie hapa hata habari fulani iwe na tashwishi kiasi gani, ilmradi tu imeletwa na certified member wetu, basi hiyo taarifa otomati-carly inageuka kuwa credible palepale.
 
Ni mlevi kama wewe tu ndiye anaweza kulikubali hilo ^pambo^ la mlevi mwenzio la kufurahia sifa ya kuanguka kwenye ndege.

NB: Mimi kama kawaida nimekuwa nikituma video clips na pictures kama corroborating evidence hadi juzi hapa TCRA & TRA wameungana na wahusika kunipandishia bei ya vifurushi kwa makusudi maana wao ni Pro-West.
 
Uko zako hapo uyole huku masagamba yamekujaa miguuni unajifanya unaijua Urusi kumbe hata jirani yako hapa Kenya humjui vizuri.
Kwa taarifa yako katika wananchi wanaofurahia matunda ya nchi yao na viongozi wao moja wapo ni Urusi... Wanakula hadi faida inayoletwa na naLGBTQ wanaonunua bidhaa za Urusi japo kwenye media wanatutangazia wamesusa😁
 
Dizain km wazir mwenye dhamana nae ni pro west[emoji41][emoji41][emoji41]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
⭕️نامه پوتین به کیم؛ روابط روسیه و کره شمالی توسعه می‌یابد

🔰 «ولادیمیر پوتین» رئیس جمهور روسیه در نامه‌ای به «کیم جونگ اون» رهبر کره شمالی، گفت مسکو و پیونگ‌یانگ روابط دوجانبه جامع و سازنده را با تلاش مشترک گسترش خواهند داد.

⭕️Putin's letter to Kim; Relations between Russia and North Korea are developing

🔰In a letter to North Korean leader Kim Jong Un, Russian President Vladimir Putin said that Moscow and Pyongyang will expand comprehensive and constructive bilateral relations through joint efforts.

🆔بروکر جهانی ZTE-Forex
 
Maskini
 
Safi saana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…