Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,513
Sasa plate number zina uhusiano gani na vita wakati miji haina watu au hao wanajesho wa urusi watanunua magari na kusajili mshachanganyikiwa na kipigo cha mbwa koko article yoyote mnayookota kwenu habari.Kweli View attachment 2325623
Sent using Jamii Forums mobile app
Kherson region received license plates with the code 184.
Meet the old new region of Russia
Sasa tukomboe vijiji havina watu kwa sasa tuna deal na maghala ya silaha kwanza hizo ndio zinawatia jeuri kukomboa kijiji na kupiga ghala lenye silaha nyingi kipi bora ndio ujue Ukraine wanatumia akili.SASA KWA HILI VIBE MLILOKUJA NALO LEO UKRAINE AMESHAREJESHA MAENEO MANGAP
Ghala likipigwa leo silaha zikateketea tunajua kesho supply ya silaha frontline inapungua so itafika muda askari wate walio frontline watakosa silaha hapo ndio utaona mziki wa Ukraine ukojeSASA KWA HILI VIBE MLILOKUJA NALO LEO UKRAINE AMESHAREJESHA MAENEO MANGAP
Sasa akipiga nuke hapo ukraine karibu tu na si ataua watu wake hapo crimea na nchini kwake ni karibu pia. Pro russia huwa mna akili za kuvukia barabara tu.We kunguru Unafkiri si watoto wenzio mnao tafuta habari you tube kwenye viblog vya watoto [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2325539
[emoji2923][emoji2923][emoji373][emoji373][emoji2923][emoji373][emoji373][emoji2923][emoji68][emoji373][emoji67][emoji373][emoji67][emoji373][emoji2923][emoji2923][emoji373]Huu mzigo mpya umeingia leo Ukraine cheki video happ chini
[emoji2923][emoji373][emoji2923][emoji373][emoji2923][emoji373]Ghala likipigwa leo silaha zikateketea tunajua kesho supply ya silaha frontline inapungua so itafika muda askari wate walio frontline watakosa silaha hapo ndio utaona mziki wa Ukraine ukoje
[emoji2923][emoji373][emoji2923][emoji373][emoji2923]Huwa najiuliza huwa super power anakuwa wapi silaha zinasafirishwa kutoka poland mpaka frontline anashindwa kuzipiga makombora [emoji38][emoji38][emoji38]
Mpuuzi huyo anaokota vi articles vya mtandaoni anakuja kuleta screenshot humu havina hata tarehe wala vimetoka katika chombo gani cha habari mtu anaingia humu anakulupuka eti ndege za mrusi zimeingia matekani lete ushahidi tuona hana anakenua meno tuSasa akipiga nuke hapo ukraine karibu tu na si ataua watu wake hapo crimea na nchini kwake ni karibu pia. Pro russia huwa mna akili za kuvukia barabara tu.
[emoji373][emoji2923][emoji373][emoji2923][emoji67][emoji373][emoji2923][emoji67][emoji373]Sasa tukomboe vijiji havina watu kwa sasa tuna deal na maghala ya silaha kwanza hizo ndio zinawatia jeuri kukomboa kijiji na kupiga ghala lenye silaha nyingi kipi bora ndio ujue Ukraine wanatumia akili.
[emoji373][emoji2923][emoji373][emoji2923][emoji373][emoji2923]Sasa plate number zina uhusiano gani na vita wakati miji haina watu au hao wanajesho wa urusi watanunua magari na kusajili mshachanganyikiwa na kipigo cha mbwa koko article yoyote mnayookota kwenu habari.
Sasa tukomboe vijiji havina watu kwa sasa tuna deal na maghala ya silaha kwanza hizo ndio zinawatia jeuri kukomboa kijiji na kupiga ghala lenye silaha nyingi kipi bora ndio ujue Ukraine wanatumia akili.
Vijana wa super power washapoteana siwaoni tena wastue warudi leo ilikuwa siku poa sana maana kishapo cha mbwa koko kimekolea[emoji28][emoji28][emoji373][emoji2923][emoji373][emoji2923][emoji373][emoji2923]
reporting from jimbo la zamani la mdeeWatu hawakurupuki kwa mihemko mkuu we Unafkiri Russia anashindwa kumaliza ops hata kesho dunia ikatangaziwa hakuna tena taifa la Ukraine bali ni eneo hatari lenye mionzi ya nuke
Wewe port nini tupe basi strategy anayotumia super power ambayo alifulumushwa kyiv na snake island na sasa washaanza kukimbia Crimea.Hakuna vita ya ivyo hata siku moja.mtajikuta mshafikiwa na maadui kwa stahili iyo.
Akupe wewe kama nani?Wewe port nini tupe basi strategy anayotumia super power ambayo alifulumushwa kyiv na snake island na sasa washaanza kukimbia Crimea.