Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

WAZO2010 Bukyanagandi mwayena 1954 Msulibasi mohamedidrisa789 Bugucha you are so smart my brothers i appreciate your contribution But Tunawaomba mcomply na haya maelezo, hawa jamaa hawastahili mjadala kama inawezekana muwaache wajadili wenyew.
Tumewavumilia uharo wenu kwa muda gani??
Kwa hiyo mlitaka muendelee tu kutamba wenyewe kwenye hii thread?

Kila siku kutuletea magazeti mareefu yaliyojaa uongo, hambayo hayatoi hata uhalisia wa kile kinachoendelea field

Vumilieni kupokea kile msichopenda kusikia,au mkiona mnakerwa sana,basi hamieni kwingineko,Kuna majukwaa mengi humu jamiiforum..,si lazima sote turundikane hapa international forum

Pia Kuna option ya ignore/block..,kama mna presha ya kupanda na kushuka
 
Harafu eti hii ndo nchi inayoaminiwa kuwa na mfumo imara wa ulinzi wa anga

Huyu andunje Putin kavuliwa nguo kwa kweli
Hivi ukiandika comments zako katika post moja utapungukiwa nini?? Unavyotuma post nyiiiingi zimefuatana ZINABOA SANA. Kibaya nyingi ni kama zinajirudiarudia. Au una ugonjwa wa kusahau? Ni vema JF kuwe na tozo kwa kila post. Andika lakini ACHA KURUDIARUDIA.

BORED
Achana naye huyo. Ni Askari mmoja hivi cheo chake ni Meja. IQ yake ndogo sana
 
Kabla ya kushabikia NATO soma hapa au kama unataka kujua ukweli soma hapa warusi wanaiokoa dunia kutoka kwenye Janga hili kuu na hawajaanza Leo kuiokoa dunia.
 
I'm speechless 🤔


“Ukraine will become Greater Israel,” said Zelensky.

“It is a fact that over the past 30 years we have been patiently trying to come to an agreement with the leading NATO countries regarding the principles of equal and indivisible security in Europe,” said Putin in February 2022



Kabla ya kushabikia NATO soma hapa au kama unataka kujua ukweli soma hapa warusi wanaiokoa dunia kutoka kwenye Janga hili kuu na hawajaanza Leo kuiokoa dunia.
Sure!
 
Tenaa???? hii sasa chiboko !!

US preparing additional $800m in military aid for Ukraine: Report (Tshs 1,864,000,000,000)​

The United States has already sent billions of dollars of military aid to Ukraine, including weapons systems such as HIMARS.
 
Muache kuandika mambo ya uongo na kushabikia kama hamna akili vile...humu watu hawashindani...watu wanaeleweshwa, kueleweshana na kujifunza.....na kufundishana, design ya watu kama yako inaharibu kabisa huu uzi..ni bora mngeanzishwa wa kwenu..ili huku mtuachie PRO UKRAINE na PRO RUSSIA wenye kutumia akili na wenye lengo la kuongea facts kwa lengo la kueleweshana...sio kelele na kuandika sms zisizokuwa na kichwa wala miguu...Anzisheni UZI wenu bana wafuasi wenu watawafuata huko
 
Imagine kamanda wa Russian Black Sea Fleet na inavyosifiwa vile anavyopitia magumu. Walianza kwa kupoteza flagship yao Moskva, wakapoteza Snake island, wakapoteza nusu ya naval aviation kwenye shambulizi la Saky airbase, ile siku ya Russian Navy wakashambuliwa headquarters mpaka wakaghairi maadhimisho.

Hiyo ni fleet yenye heshima na ndio inahusika kwenye vita hii. Imagine fleet iliyopo upande wa Japan ndio iingie nao vitani si itachakazwa kama hali ya jeshi la maji la Russia ndio hii. We uliona wapi navy ya superpower inapigwa na nchi isiyo hata na active navy. Ukraine hawajawahi tumia meli wala submarine vitani, tukiwaambia Ukraine ni mtoto mdogo kwenye majeshi tunamaanisha. Sasa ushindwe kina Ukraine ndio uwatishie Finland na Sweden.
Nasindikiza comment na aircraft carrier ya superpower ambayo imejaa kutu. Mwaka wa tano sijui huu bado inarekebishwa
 
Vumilieni tuwapige sindano za moto
Kichapo kinaendelea mpaka dikiteta Putin na wadhulumaji wenzake wafurushwe [emoji91][emoji91]
 
Leo ndo unauona umuhimu wa ustaarabu,sio?

Ulishawahi kulalamika kuhusu Tabia ya pro-Russia kuleta picha za miili ya asikari waliokufa vitani??

Mnaleta picha za ku- edit za Azov battalion eti wakirukishwa kichurachura[emoji848]

Alafu Leo baada ya kuona mambo yanakuwa magumu Kwa huyo dikiteta wenu ndo mnaona umuhimu wa kujadili hoja kwa kuelimishana, kuvumiliana,??[emoji848][emoji848]
Tulieni dawa iwaingie vyema hakuna namna..,tutajadiliana kihunihuni tu,

Kama unakerwa sana Kuna option ya ignore/block [emoji106][emoji106]
 
Tenaa???? hii sasa chiboko !!

US preparing additional $800m in military aid for Ukraine: Report (Tshs 1,864,000,000,000)​

The United States has already sent billions of dollars of military aid to Ukraine, including weapons systems such as HIMARS.
Abarikiwe sana us,bila huyu huenda Ukraine ingekuwa mikononi mwa fashisti

Ukweli ni kwamba Putin anaendeleaa kufeel joto ya jiwe kwa kuanzisha vita vya kipuuzi [emoji52][emoji52]
 
Mkuu kp kipanya44 unawapeleka sana safi sana.
Wasikutishe hamna mtu wa kumuheshimu humu as long as hutukani mtu.

Wao ndio wamejaa uhuni na matusi kila saa humu
 
Himars 16 tu zimemchakaza Urusi, je Ukraine akipewa zifike 20 si ndo Crimea itaharibiwa isahaurike?
 
Himars 16 tu zimemchakaza Urusi, je Ukraine akipewa zifike 20 si ndo Crimea itaharibiwa isahaurike?
Hii siraha ni moto wa kuotea mbali aisee
Mpaka pro-Russia humu jukwaani wameamua kwenda likizo,..wakiwa na matumaini kwamba Putin atapata mwarobaini wake,
 
Hebu tuwekee hapa ushahidi wa Putin akitoa machozi.

Ukishindwa then toka hapo nje ya nyumba angalia juu na kisha jipige pige kifua Mara 3 huku ukisema hakika Mimi nilipewa kichwa kwa ajili ya kufugia nywele tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…