Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kama kawaida source yako ni group la telegram [emoji38][emoji38][emoji38]
 
Na sisi Ukraine tuna Operesheni ya Hujuma lazima mtaelewa tu.Kichapo cha mbwa koko
 
Bahati nzuri umekubali
 
Na ile Kambi Kule Crimea iliyoshambuliwa na kupelekea kuharibu vifaa vya kijeshi zikiwemo fighter jets 9 ,kwa uzoefu wako unahisi ilishambuliwa kwa kutumia siraha gani

Kwa uzoefu wangu, na nilivyo ona milipuko kwenye airbase ni wazi wahusika walitumia mbinu nilizo sema,yaani:wana-park kwa mbali van kama daladala ya kubebea mizigo ya supermarket au kubebea vegetables au mikate, ukikutana nalo wala uwezi kulitilia shaka - roketi launchers wanazipanga kiufundi kwenye van at a shallow angle ili zisiruke sana juu na kushtukiwa, zinawekewa vile vile steerable vanes ambazo ziko programmed kuwa guided na pre-programmed coordinates zinazo ongozwa na GPS, sasa payload utegemea mission yao wanalenga ku-achieve nini - kama target ni highly valued targets kama airbases na ammunition depot mara nyingi roketi payload inawekewa the most powerful high explosives type HMX kwa ajili ya kulenga hasa hasa ammunition depot kwa imani kwamba itasababisha a massive secondary explosion na kuharibu infrastructures na ndege zilizo egeshwa uwanjani, na hicho ndicho kilitokea kwenye airbase ya Crimea.

Narudia kuwakumbusheni kwa mara nyingine tena kwamba. milipuko ya maeneo ya Crimea yanasababishwa na hujuma za makomandoo na sio HIMARS, nikaongezea kwa kusema kwamba hizo ni mbinu za special force ya Uingereza (SAS), kwa sisi tunao wajua - dalili/mbinu za tukio zinaonekana dhaili kwamba operation ni type ya hujuma zenye lengo la kiharibu/hujumu airbase na ammunitions depots za Urusi.
 
Tazamani video masaa machache yaliyopita super power kapigwa kitu kizito yani huyu ana nguvu kabisa yani wiki nzima unatembezewa kichapo ametulia tu kama mbwa koko.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ukranian drone strikes Headquarters of Russian black sea.


 
Russia anarusha makombora zaidi ya 6500 kwa siku.
 
Wewe ni mwendawazimu mwenye matatizo makubwa ya akili kutokana na kuzama kwenye conspiracy theories, ulipaswa kuwa Mirembe kama taifa hili na watu wake wangekuwa wanazingatia na wanatilia umuhimu afya akili.
Nawahurumia watoto wako kuwa na mzazi asiye na akili kama wewe.
 
Well analyzed...
 
SABOTAGE OPERATIONS [emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2328983
Hivi unajua maana ya air defense - na je zinatoa sauti/mlio gani zinalpo intercept kombora/roketi etc - kwa layman unafikiri anaweza kutofautisha mlipuko wa interceptor payload na mlipuko wa missiles zinapo hit designated target??
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2][emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…