Makomandoo wa Russia wameziteka Helicopter tatu za Ukraine walizopewa msaada nakuondoka nazo ziende maabara zikafanyiwe utafiti...
Hii Oparation Russia anaitumia vizuri kusoma Screpa za US na NATO....Jeshi la Russia linataka US ampe Ukraine F 35 waiteke nzima nzima iende maabara Kubinka Air Base.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]View attachment 2329594View attachment 2329595View attachment 2329596
Mimi ni Maimuna....[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]View attachment 2329783
Humu pametulia sanaTazameni tena milipuko leo jumamosi kwenye Airfield huko Chornobayivka milipuko mitatu ya nguvu vyuma vimetua nimeweka source 3 chini hapo. Operations Sabotage inaendelea kipigo cha mbwa koko[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
View attachment 2329940
Hata zile articles za uongo zimepungua walikuwa wanaleta habari za kubumba sana hakuna kuwapumzisha ni kuwaletea matukio na source zaidi ya moja wasipige kelele video game[emoji38][emoji38]Humu pametulia sana
Naona watu wanaanza kupunguza umuhimu na huu uzi...sababu ya jinsi uchangiaji wake ulivyo...tumehama kutoka professionalism tumeenda kwenye matusi, hisia binafsi, hasira, uongo, ma-video yasiyokuwa verified...yaan watu wanafanya kila hujuma kuonekana upande wao unashinda...kitu ambacho sio lengo halisiHumu pametulia sana
Habari za mrusi kwa sasa ni kufunga gesi na kutumia yuan ila vitani nguvu ishaisha hakuna kitu anafanya tena so pro-rusia hakuna habari wanaweza kuleta ya frontline yenye source za kueleweka.Naona watu wanaanza kupunguza umuhimu na huu uzi...sababu ya jinsi uchangiaji wake ulivyo...tumehama kutoka professionalism tumeenda kwenye matusi, hisia binafsi, hasira, uongo, ma-video yasiyokuwa verified...yaan watu wanafanya kila hujuma kuonekana upande wao unashinda...kitu ambacho sio lengo halisi
Love is timeless and everlasting. However, no matter how immortal the feeling may be, there are just some things that aren’t meant to be. And sometimes, you have no choice but to move on and let goMiezi kadhaa tunavumilia uharo wenu, tulieni sindano iwaingie vyema
Ni ukweli usiopingika urusi ana Hali ngumu uwanja wa vita,Tazameni tena milipuko leo jumamosi kwenye Airfield huko Chornobayivka milipuko mitatu ya nguvu vyuma vimetua nimeweka source 3 chini hapo. Operations Sabotage inaendelea kipigo cha mbwa koko[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
View attachment 2329940
Dikiteta kaaibishwa kweli [emoji848]WaUkraine wamepanga msafara wa vifaru vya Urusi
Sema Superpower wa mchongo alikurupuka
Makomandoo wa Russia wameziteka Helicopter tatu za Ukraine walizopewa msaada nakuondoka nazo ziende maabara zikafanyiwe utafiti...
Hii Oparation Russia anaitumia vizuri kusoma Screpa za US na NATO....Jeshi la Russia linataka US ampe Ukraine F 35 waiteke nzima nzima iende maabara Kubinka Air Base.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]View attachment 2329594View attachment 2329595View attachment 2329596
WaUkraine wamepanga msafara wa vifaru vya Urusi
Sema Superpower wa mchongo alikurupuka
Wewe jamaa Huwa unaonekana kuwa msitaharabu sana hapa jukwaaniHivi unajua gazeti la Telegram nila Nchi gani - siwasemi vibaya jeshi la Ukraine na Zelensky lakini kwa taarifa yako hata wafadhili wao wamekwisha washutukia kwamba taarifa zao zimesheeni usanii mtupu, mfano:imegudurika kwamba picha na video clip ni za conflicts za 2014/15 kumbukeni zana nyingi za kivita zinozo tumiwa na jeshi la Ukraine niza enzi ya utawala wa Kisoviet ie zimeundwa Urusi - kuanzia: ndege,helicopter,vifaru,magari ya deraya,air defense system nk - kinacho endelea hapa pindi jeshi la Urusi likishambulia na kuharibu baadhi ya zana za jeshi la Ukraine zinazo fanana kwa kila hali MA zana za Urusi, Waukraine wanakimbilia kuweka alama za Urusi kwenye vifaru na zana nyingine wanapiga picha na video ili kuionyesha Dunia jinsi jeshi la Urusi linavyo pigika - kumbe usanii mtupu!! Sisemi jeshi la Urusi halipati hasara lakini incidents nyingi zinatiwa chumvi mno, Zelensky kwa ujeuri wake ameamua kuwatoa kafara Waukraine wenzake kwa maelfu ili kumfurahisha Biden, ukweli wa mambo jeshi la Ukraine linapoteza wanajeshi wengi na zana lukuki.
Sasa tukija kwa Zelensky mwenyewe ni kwamb deep down hana uchungu wa kweli kuhusu Ukraine na raia wake na Biden/Merikani vivyo hivyo - after all Zelensky na familia yake kesha nunua Mansion huko Miami Florida na kukwapua fedha za kutosha kwa maisha yake yaliyo bakia, why bother?
Kwahyo hyo parade ni uongo na haipoHivi unajua gazeti la Telegram nila Nchi gani - siwasemi vibaya jeshi la Ukraine na Zelensky lakini kwa taarifa yako hata wafadhili wao wamekwisha washutukia kwamba taarifa zao zimesheeni usanii mtupu, mfano:imegudurika kwamba picha na video clip ni za conflicts za 2014/15 kumbukeni zana nyingi za kivita zinozo tumiwa na jeshi la Ukraine niza enzi ya utawala wa Kisoviet ie zimeundwa Urusi - kuanzia: ndege,helicopter,vifaru,magari ya deraya,air defense system nk - kinacho endelea hapa pindi jeshi la Urusi likishambulia na kuharibu baadhi ya zana za jeshi la Ukraine zinazo fanana kwa kila hali MA zana za Urusi, Waukraine wanakimbilia kuweka alama za Urusi kwenye vifaru na zana nyingine wanapiga picha na video ili kuionyesha Dunia jinsi jeshi la Urusi linavyo pigika - kumbe usanii mtupu!! Sisemi jeshi la Urusi halipati hasara lakini incidents nyingi zinatiwa chumvi mno, Zelensky kwa ujeuri wake ameamua kuwatoa kafara Waukraine wenzake kwa maelfu ili kumfurahisha Biden, ukweli wa mambo jeshi la Ukraine linapoteza wanajeshi wengi na zana lukuki.
Sasa tukija kwa Zelensky mwenyewe ni kwamb deep down hana uchungu wa kweli kuhusu Ukraine na raia wake na Biden/Merikani vivyo hivyo - after all Zelensky na familia yake kesha nunua Mansion huko Miami Florida na kukwapua fedha za kutosha kwa maisha yake yaliyo bakia, why bother?
Mashoga hata wanatoa kipigo cha mbwa koko sabotage operation mpaka super power kaishiwa nguvu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Jeshi la Marekani zaidi ya 40% ni mashoga, homosexual nknk Marekani alipitisha hii sheria. Unabaki unajiuliza shoga ataweza mikiki ya vita? Acha ninyamaze tu[emoji23]