Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Slava Ukraine [emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]
 
Niliandika wiki iliyopita 30,% Nimeandika juzi Oddessa Moldova man who sees tomorrow

Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
Kwa vijana wa miaka ya 90 Russia anafanya Op Ukraine, anatoa msaada wa kijeshi Mali Syria , anafanya mazoezi ya kijeshi na washirika wake , Ligi za mpira kama kawaida , Anawaza kujenga miundombinu na huduma za kijamii maeneo anayoteka , Anaruhusu muuze grain zenu . Anazindua vifaa vya kijeshi na anasema ataanza kuvitumia miaka kadhaa ijayo . SASA kama upo matured utajua huyu Russia ndio anaamua mwendo wa vita. Fikiria ndani ya siku chache alishaizingira Kiev. Summy , Chemihiv Kherson alishateka . Maana yake ni kwamba Russia anataka tu kuangamiza wanajeshi na vifaa vya Ukraine kwa kuwasubiri yeye akiwa kapaki basi na kupunguza madhara mpaka Ukraine alegee . Russia sio wa kushindwa kuichukua Kherson au Summy. Russia hawezi sumbuliwa na maeneo aliyopakana nayo never . Gharama za hii vita zinajilipa huko kusini mashariki .

Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
 
Milipuko mingine imetokea leo kwenye Daraja la Antonovsky limepigwa na Himars na kukatika vipande viwili.Wanaita Key Supply bridge ya kherson.Tazama Source 3 tofauti nimewawekea mbili ni youtube video game[emoji38][emoji38][emoji38]


 
Hivi Ukraine haijapewa air defense system kutoka NATO ?
Si kila air defence system ni anti missile. Nimesema Ukraine hana anti missile system kama unavyoona South Korea na Japan wana THAAD ya Marekani. Hizo Buk na S-300 alizonazo Ukraine sio specifically anti missile ni air defence tu. Ukraine amepewa Gepard na Ujerumani nayo ni anti aircraft gun. Marekani alipanga kutuma medium range system aliyoshirikiana na Sweden kuitengeneza
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] duh! Kumbe urusi ndo alikuwa analifanyia matengenezo, alafu jamaa wakapita nalo Tena [emoji41]

Comedian sio mtu mzuri [emoji41]
 
Huwezi toa kill to ratio hizo maana unaogopa. Huwezi ziweka hapa zitaprove point yangu ya superiority ya ndege za Mmarekani dhidi ya Mrusi. Vita zote ambazo Israel imepigana na Waarabu walikuwa na peer to peer competition ila Waarabu walipigwa. Battle ya Soviet pilots na ndege zao wenyewe kwenye anga la Egypt dhidi ya ndege za Israel napo Soviets walipigwa. Soviet ilikuwa inadunguliwa helikopta zake na Mujahideen pale Afghanistan mpaka ikatimua mbio ikawaacha. Russia haijawahi kutana na jeshi la maana pia, sio Georgia, Syria wala wapi.

Ukraine hii hapa ina Su-27 Mig-29 ila Russia haipeleki ndege zao kwenye anga lake. Sembuse Marekani alete F-22, F-35 na hizo 4.5th zilizobaki.
 
Gepard inatumika kulinda mji mkuu Kyiv tu, Sweden walitumia zile missiles za kutungulia meli harpoon nadhani.....

Ina maana Russia hana anti missiles defence systems za kwenye meli ?
 
Gepard inatumika kulinda mji mkuu Kyiv tu, Sweden walitumia zile missiles za kutungulia meli harpoon nadhani.....

Ina maana Russia hana anti missiles defence systems za kwenye meli ?
Anadai anazo ila hazikuweza hata kuizuia Bayraktar TB2 drone. Baadae wakafunga Tor land based air defence system kwenye corvette yao moja, lile lori lake wakaweka kwenye deck ya meli! Maajabu

Baadae wakaamua wakimbize meli zao wazifiche kutoka eneo la tukio. Wanatumia meli kutoka range ya mbali na Ukrainian made Neptune anti ship missiles, kutokea mbali uko wanarusha cruise missiles ambazo nowadays zinakuwa intercepted kwa kiasi fulani.

Sasa jeshi lisilo na uwezo wa kulinda flagship ya fleet dhidi ya Neptune AShM inawezaje kuwa superpower. Sasa hilo jeshi likikutana na missiles za Taiwan au Sweden si litapoteza meli nyingi
 
Gepard inatumika kulinda mji mkuu Kyiv tu, Sweden walitumia zile missiles za kutungulia meli harpoon nadhani.....

Ina maana Russia hana anti missiles defence systems za kwenye meli ?
Ukraine haijasemwa kama ina Harpoon. Na bado Harpoon ni za zamani ila kwa Urusi hii itazichakaza hata Ufaransa ikileta zile Exocet za tangu Falklands war bado Urusi itaficha meli zake out of range
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…