LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Mataifa mengi yamejua tatizo lipo wapi na chanzo ni nani wa mgogoro. Even European wamesema they need russia kwenye uchumi. Katika nchi zote za NATO nimekubali rais wa france hyu jamaa hajaongea shit yyte
Vikwazo vimeanza kuwaumiza wao wenyewe walivitangaza kwa mbwembwe saivi wameanza kulia
 
mkuu hio link yako haisemi kuwa urusi imekamata kharkiv au we mwenyew hujaisoma? kharkiv itaanguka tu ila bado kazi inapigwa, ukraine wanabuy time hp ceasfire ipatikane ndani ya wiki mbili hizi lasivyo hali itakua si hali
 
Hapa mnachanganya kuna muda Kharkiv ulikamatwa kisha ukakombolewa kwa hiyo inategemea mnasema wakati gani
 
Mjinga nini. Africa ipo na 50+ coutries Asia 45+ countries. Mzee nianze kurodhesha unanilipa kiasi gani!?
hizo nchi zitakuwa na unafiki walitakiwa waonyeshe hio support kwe kula ya jana UN maana ni nchi km 5 tu zilizopinga azimio la kuilaan urusi, au wanaona aibu kumsapoti mshirika wao hadharani?
 
hizo nchi zitakuwa na unafiki walitakiwa waonyeshe hio support kwe kula ya jana UN maana ni nchi km 5 tu zilizopinga azimio la kuilaan urusi, au wanaona aibu kumsapoti mshirika wao hadharani?
Sijakuelewa.
 
Hapa mnachanganya kuna muda Kharkiv ulikamatwa kisha ukakombolewa kwa hiyo inategemea mnasema wakati gani
haikukamatwa, walianza kuingia ila badae wakarud nyuma, sasa huyu jamaa anasema kuhusu mji kuanguka kabisa kharkiv haijawahi kuanguka ni kherson tayari ushaenda na maji
 
Zilidunguliwa au zilikua znaanguka zenyewe
Kesi ya ndege za Romania mpaka sasa sijaona maelezo ya kueleweka. Russia ana electronic warfare nzuri tu nakumbuka ilikuwa kitu kama 2017 ndege yao moja ilipita angani karibu na meli ya Marekani na inasemekana ile meli ikazima umeme unaondeshwa na mifumo ya kompyuta. Ila hawakutoa maelezo, nasema inasemekana kwa kuwa sio Marekani wala Russia waliokubali.

System kama Khibiny wanayofunga kwenye pod ya fighters zao inaweza vuruga systems za ndege ya adui
 
halafu ndege yenyew ni ya enzi za soviet so warusi wanaijua nje ndani
 
Ushirikina[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
 
haikukamatwa, walianza kuingia ila badae wakarud nyuma, sasa huyu jamaa anasema kuhusu mji kuanguka kabisa kharkiv haijawahi kuanguka ni kherson tayari ushaenda na maji
Mkoa wa khakiv bado haujanguka ila mapigano yanaendelea kwa iyo uwezi sema mkoa umeanguka.

Khakiv ni mji wa 2 kwa ukubwa na ni mji wa kiviwanda kama ulivyokuwa mji wa stalingrad(mji wa warusi), mji huu ukiangua utakuwa ni pigo kubwa san kwa Ukraine na ndo maana unaona kuna upinzani mkubwa sana, wa ukraine wanapigana kwa jihadi ili khakiv isiangukie kwenye mikono ya warusi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…