LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Naikumbuka hiyo story ni kweli
 
Warusi sijui wana lengo gani na majeshi ya Ukraine.wanaizunguka miji, hakuna kinachotoka wala kinachoingia.sijui wanataka kuwauwa kwa njaa wanajeshi wa ukraine
 
Ndugu zangu warusi wa Katerero vip mmeshaa fanikiwa kuingi kiev ama bado tuendelee kusikilizia maan siku zimekwenda kweli kweli ndugu zangu team Putin mbona kama mmelala mbele sion tena zile hoja zenu zenye tambo za ajabu vip mpaka sasa katika hii vita mliyoianzisha mmefanikiwa kuteka nini caha maana kwa Ukrain?

Ivi bado kuna mRusi wa Namtumbi aanayemuamini yule jamaa muongo muongo bwana Putin na Russia yake ivi kuna mtu kweli anaamini kuwa Urusi ina nguvu za kijeshi kama alivyokuwa akijatapa apo awali

Aisee nawahitaji sawa warusi wa kongwa mje apa ntupe update ya miji mlioyteka mpaka sasa toka Ukrain
 
TV za Russia hazionekani hewani pamoja na mbwembwe zote hizo za warusi
Lakin Putin si atumie ubabe wake RT iruke hewani [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Watu mnaopenda ngono mnajilikana tu. Sasa maneno ya katerero wapi na wapi kwenye thread hii??
 
roman ilipigwa na jamming haiwekeni ndege tatu kwa wakati mmoja
 
huu mgogoro utaleta sintofaham kubwa sn dunian, km vita ya tatu ya dunia itatokea miaka ya mbelen huko basi kwakiasi kikubwa itakuwa ni moja ya athari za mgogoro huu wa leo ambao masikilizano na maelewano ni sifuri
 
aleti......

warusi wanateketea na ukraine wanazidi kuwakimbiza,pia tunaalifiwa kuwa mji wa moscow umeshavamiwa na ukraine,vita hii ni ya kijana daudi ambaye ukraine na goliyati urusi,ukraine anazidi kuiteketeza moscow muda huu
 
aleti......

warusi wanateketea na ukraine wanazidi kuwakimbiza,pia tunaalifiwa kuwa mji wa moscow umeshavamiwa na ukraine,vita hii ni ya kijana daudi ambaye ukraine na goliyati urusi,ukraine anazidi kuiteketeza moscow muda huu
kuna ndoto za mchana pia kumbe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…