Inakadiriwa Urusi imebaki na 20% tu ya "Ballistic Missiles"[emoji848]
Ukraine Situation Report: Kyiv Claims Russia Is Running Low On Missiles
Kyiv estimates Russia has just 20 percent of its Iskander ballistic missiles left as other stocks have dwindled from constant strikes.www.thedrive.com
[emoji91][emoji91][emoji91]Kipigo bado kinaendelea tunazidi kuwakata pumzi hwaamini[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ukiangalia kwenye ramani inakuonyesha mikoa yote iliyoanzisha maandamano ya kutaka kujitenga na UKRAINE.hii mikoa itakuwa ngumu kwa UKRAINE kuitawala kwa sababu ina watu wengi wenye jamii ya WARUSI.Njia peker ni UKRAINE kukubali matakwa ya WARUSI ili wasije kuchukua mikoa zaidi,pili hii mikoa waipe eshima furani au mamlaka ya uhuru zaidi wa kujitawala.1.Hakuna silaha za NATO, kila nchi mwanachama wa NATO inatengeneza, kuuza au kununua silaha kibinafsi kama vile tu ambavyo Uturuki inanunua na kuuzia silaha Urusi. Finland ananunua na kuuza silaha kwa nchi nyingi tu ambazo ni wanachama wa NATO, hakuna hoja ya maana katika hili kwamba tatizo sio kupakana bali ni silaha.
2.Hakuna mgogoro wa mpaka kati ya Ukraine na Russia. Mipaka ya Ukraine iko wazi, hata Russia yenyewe haijwahi kudai Crimea au Donbas ni sehemu ya mipaka yake, walichokifanya ni uhuni wa kuchochea vurugu hayo maeneo yajitangaze huru yajiunge na Russia halafu wakatangaza wanafanya Peacekeeping mission
3.Hakuna raia wa Urusi Donbas, unaposema kuna raia wa Urusi Donbas ni sawa na Kenya kusema kuna raia wake Wamasai Arusha au Msumbiji kusema kuna raia wake Wamakonde Mtwara au Uganda kusema kuna raia wake Kagera au Burundi kusema kuna raia wake Kagera. Ni upuuzi mtupu.
4.NATO haijwahi kutaka au kulazimisha Ukraine ijiunge nayo, kusema hivyo ni kutokujua mchakato wa nchi kujiunga na NATO.Haikuwa na vigezo vingi sana, nchi ZOTE wanachama hazikuwahi kujadili wala kuridhia hilo suala, Olaf, Kansela wa Ujerumani alimuambia Putin hata kabla hii vita haijaanza Ukraine haiwezi kuwa mwanachama wa NATO hata kwa miaka 30 ijayo.
5.Kusema tu Putin na NATO ndio wanajua tatizo la Ukraine kujiunga na NATO ni utopolo.
Mifano yako yote ni pumba tupu wala hakuna wa kufananisha.UKRAINE ilikuwa ni kama mkoa wa URUSI kabda haijapata uhuru wake,KENYA au MSUMBIJI zishawai kuwa mikoa ya TANZANIA ?.
Mikoa ya UKRAINE ya kusini ina watu wengi wa jamii ya WARUSI.Awa watu wamekuwa wakinyanyasika na kutopewa eshima kama watu wengine kwenye nchi yao,walikuwa wanaonekana kama wakimbizi tu.
Ukiangalia kwenye ramani inakuonyesha mikoa yote iliyoanzisha maandamano ya kutaka kujitenga na UKRAINE.hii mikoa itakuwa ngumu kwa UKRAINE kuitawala kwa sababu ina watu wengi wenye jamii ya WARUSI.Njia peker ni UKRAINE kukubali matakwa ya WARUSI ili wasije kuchukua mikoa zaidi,pili hii mikoa waipe eshima furani au mamlaka ya uhuru zaidi wa kujitawala.
URUSI ni ngumu kumiliki mikoa ya juu kama KIEV kwa sababu hakubaliki kwenye hii mikoa kwa iyo inampa wakati mgumu wa usalama kwake.lazima mwisho wa siku ataondoka tu hata kama akichukua,ila huku kusini UKRAINE inabidi kusahau tu wala hakuna jinsi,japo viongozi wa UKRAINE awataki kabisa kusikia hii kitu.
Ukiangalia hapo ni mikoa miwili tu ambayo Majeshi ya URUSI hayapo.ni ODESSA NA DNIPROPETROVSK ila iliyobaki kote yupo
.View attachment 2337044
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji1255]Tazamq video hili daraja la Kakhovskaya lilishambuluwa na Himars jana palikuwa pia na vifaa vya kijeshi na wanajeshi kibao wa Russia cheki mizoga ni vipandepande Himars moto wa kuitea mbali[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji91][emoji91][emoji91]Maji wataita mma mwaka huuView attachment 2336348
Alafu kuna mimi pia kwa ile ID yangu nyingineKuna mwingine anaitwa Dotworld , achana na huyu mwamba
Kuna watu huwa wanaelezwa MTU kuwa Rais wa Nchi sio ndio kila kitu,huwa hawaelewi-bora Putin kawaelewesha.
Hatar japo sijaelewaNinyi pro- ukrein hebu sikilizeni mpango ya mwenzenu
#Раскладка #Слухи
Наш источник из Офиса Президента сообщает, что на Банковой все функционеры уверены, что сейчас не пришло время для переговоров с РФ, что ещё есть время попробовать улучшить переговорные позиции, а возможно даже одержать победу, спровоцировав некие действия, которые запустят или кейс майдана в РФ, или прямого присоединения к украинскому кризису третьих стран (намек на Польшу и тд).
Также источник указывает, что в реальности, договор с РФ, просто никто не даст подписать, так как ситуацию настолько затянули и «захайпили» со стороны ОП, что любой договор - это поражение, а следовательно это крест на политическом будущем Зеленского. Также в историю Зе боится войти, как проигравший.
Поэтому будут тянуть, тянуть и тянуть, а там как пойдёт, может запад, что-то придумает - дополняет источник.
Война будет долгой.
😄😄😄Jifunze mkuu upate habari za uhakika
Kujifunza ni lazima mnama ingawaje lugha ni changamoto[emoji41][emoji41][emoji41][emoji1][emoji1][emoji1]Jifunze mkuu upate habari za uhakika
[emoji91][emoji91][emoji91]Tazamq video hili daraja la Kakhovskaya lilishambuluwa na Himars jana palikuwa pia na vifaa vya kijeshi na wanajeshi kibao wa Russia cheki mizoga ni vipandepande Himars moto wa kuitea mbali[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
We Pro Ukraine unarudia mapicha ya you tube kila siku unapost hizo hizo jaribu kupunguza utoto utakua kijana mrembo[emoji635][emoji635][emoji635] na unaweza pata mchumba maana Pro Russia wengi hawajaoaKipigo bado kinaendelea tunazidi kuwakata pumzi hwaamini[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkuu, Urusi ilishaishiwa silaha, chakula cha wajeda na mafuta toka March (miezi miezi mitano iliyopita sawa na siku 150 zilizopita). Au ulikuwa hujui?! Kama ulikuwa hujui muulize NyamiziInakadiriwa Urusi imebaki na 20% tu ya "Ballistic Missiles"🤔
Ukraine Situation Report: Kyiv Claims Russia Is Running Low On Missiles
Kyiv estimates Russia has just 20 percent of its Iskander ballistic missiles left as other stocks have dwindled from constant strikes.www.thedrive.com
We mwana mama uko Mars kwani..!?Hivi hii vita inaendelea bado?