Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kuna Raibow huwa wanabisha sana tukiwaambia ndugu yao kule afghanistan alikula kichapo. Msikieni ndugu yenu.

[emoji1023][emoji631]The former head of the US Army Central Command, General Mackenzie, admitted that the war in Afghanistan was unsuccessful for four American administrations over the past two decades

They haven't won a war for 20 years...
 
1661687629532.png
 
Bei ya gas Europe imefika $3,500 kwa kila cubic meter 1,000. Kabla ya vita, bei ya gas hiyo ilikuwa kati ya $200 mpaka $280.

Ongezeko la gas na oil limesababisha mlipuko wa bei kwenye nchi zote za Europe. Na ongezeko lina tarajia kukua maradufu msimu wa baridi ambao huwa kwanzia December mpaka March.

Hii ni kutokana na baridi kubwa na nchi hizo kutumia nishati kwa wingi sana kupata joto.

Mwezi wa 4, Uingereza walipandisha bei ya nishati kwa asilimia 32. Sasa wametangaza bei itaongezeka tena kwa 80% mwezi wa 10.

Ina maana, bei itakuwa hivi
1. Mtu mwenye chumba kimoja na kuishi mtu 1 mpaka 2. Bei ya gesi na umeme itakuwa £2,400 - TSh 5,600,000 kwa mwaka.

2. Vyumba vi 3 watu wawili mpaka 3 £3,500 - TSh 8,170,000

3. Vyumba vi 5 watu 4 mpaka 5 £5,100 - TSh 11,900,00

Kwahiyo, kwa wastani, bei ya gesi na umeme itakuwa £3,500. Wana tarajia wastani huu utaongezeka Januari mpaka kufikia £5,386.


Wakati hapa Tanzania mlipuko wa bei (inflation) mwaka huu ni 4.5%. Hii ndiyo hali kwa wenzetu

[emoji116][emoji116][emoji116]

sources: BBC.com/news/business-58090533
Statista.com/statistics/225698/monthly-inflation-rate-in-eu-countries/

Kipute mwaka huu. View attachment 2337252
Viongozi wao Forevermore ni waabudu Shetani na nia yao ni kuwapunguza Wazungu drastically na watakaobaki wawafanye ma-zombie.Hata hivyo to a great extent ni ma-zombie anyway,jambo ambalo lili-dhihirishwa na their total complacency to Covid-19 mandates.
 
Vita imeshaisha hiyoo, wazungu walizoea nishati ya BEI ya kuokota kutoka Urusi wakamletea ubabe matokeo yake wanaenda mmoja mmoja bila aibu tena Kwa kubembeleza warudishiwe hata Kwa BEI ya Sasa iliopo sokoni lakini ndio hivoo mabomba yashaelekea Kwa wachina na mabaniani..
Yashaelekea wapi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Sawa kachapika jebmmekomboa mikoa mingapi unapigana kwenye aridhi Yako harafu eti leo hii kachapika pro NATO punguzeni propaganda[emoji3][emoji3]
Tukiyakomboa maeneo yaliotekwa vita inaisha kitu hambacho hatutaki..,sisi tunataka kumpigisha mtu danadana Mpaka aishiwe pumzi [emoji12][emoji12]
 
Putin has raised your energy bills
Putin has raised your cost of living
Putin has raised your gasoline bills
Putin has raised your price of your diapers
Putin is responsible for your poverty -

Putin isi responsibuli for your tozonofic

View attachment 2337376
Tozonofic [emoji23][emoji23][emoji23]

Umetisha mjomba!
 
Habari za hivi punde: Russia anaendelea kutembeza kichapo kwa adui (Ukraine) vunjavunja fuel storages za adui (Ukraine) kúmá la mamaké 💥💥💥

Russian forces hit factory in Ukraine’s Zaporizhia region: RIA​

The Russian air force has struck workshops at a Motor Sich factory in the Zaporizhia region of Ukraine where helicopters were being repaired, Russian state news agency RIA has quoted the defence ministry as saying.
The defence ministry also said Russian forces destroyed fuel storage facilities in Ukraine’s Dnipro region which supplied the Ukrainian army in the Donbas region, Interfax news agency reported.
 
Sasa hivi ni zamu ya mji wa Zaporizhia wenye kinu cha nyuklia tembeza sana kichapo hapo 💥💥💥🤣

Fighting continued overnight near Zaporizhzhia plant: Ukrainian officials​

Fighting has continued overnight near the Zaporizhzhia nuclear plant, according to local Ukrainian officials.
In Nikopol, heavy firing during the night left parts of the city without electricity, said Valentyn Reznichenko, governor of the Dnipropetrovsk region.
Rocket strikes damaged about a dozen residences in Marhanets, according to Yevhen Yevtushenko, the administrative head for the district that includes the city of about 45,000.
The city of Zaporizhzhia, about 40km (25 miles) upriver from the nuclear plant, also came under fire during the night, wounding two people, city council member Anatoliy Kurtev said.
 
Tumezichakaza hizo wanazoziita HIMARS kwenye depot wanapozitunzia. Leteni hiyo miHIMARS yenu sisi tuendelee kuiteketeza

Russia says it has destroyed US-made HIMARS depot​

The Russian defence ministry says it has destroyed a large ammunition depot in Ukraine’s Dnipropetrovsk region that contained US-made HIMARS rocket systems and shells for M777 Howitzers.
The announcement in June that Washington would provide the rocket systems, which are lightweight and easily manoeuvrable while generally considered more accurate than other systems, was considered a crucial battlefield gain for Ukraine.
The Russian Air Force on Saturday also said it shot down a MiG-29 aircraft in Donetsk in the Donbas region, destroying six missile and artillery weapons depots in Donetsk, Mykolaiv and Kherson.
 
Nachoelewa Ni kwamba hii Vita ina "Red-line".

Kama ambavyo ilivyokuwa kwa Ukraine kuanzisha zile Bioweapons Labs na kutaka kujiunga NATO na pia kuimarisha kwa wale Azovsteal NAZI... ile ilikuwa Ni Red line na Russia akavamia akaipiga Ukraine.

Kwa hiyo, hata huu mchezo wanaofanya NATO wa ku supply weapons na contractors... Hii nayo ina Red-line. Ilifika hiyo Red-line, Russia atatandika "Tactical Nukes" za kutosha.

Baada ya hapo Vita itaisha rasmi na hakuna cha kumfanya.
 
Sawa kachapika jebmmekomboa mikoa mingapi unapigana kwenye aridhi Yako harafu eti leo hii kachapika pro NATO punguzeni propaganda[emoji3][emoji3]
Ukraine anachofanya ni kukata supply ya silaha kuingia nchini kwake huwezi komboa mji wakati adaui anavifaa vya kutosha atazifi kushambulia umeona jana mrusi anampokonya Syria s300 zile za kule ukrain zimepigwa zimeisha.
 
Back
Top Bottom