kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Tumejipa kazi ya kuwaletea ushaidi jinsi super pawer wa mchongo anahenyeshwa..,na nyie kwa kutafuta faraja mnaishia kusema video game...,mwenzangu vunjo naona kabadili mbinu..,anawaletea habari za kichapo anachopokea Russia kwa kutumia vyanzo vya habari vya uhakika lakini bado mmajikaza kujipa farajaKipigo cha kwenda mbele mitandaoni..yaani anapost kp kipanya 44 halafu mwenzie vunjo anampa like na comment ya kumsifu...akipost vunjo naye kipanya anafanya hivyo hivyo...such a situation needs a paper...how come watu wawili for 24 hours wako mitandaoni wakipost content za aina moja na hawachoki...what is behind this 'bravado' ?!?!
Urusi ana Hali mbaya mpaka Leo hii kaagiza wafungwa waingie front line [emoji2][emoji2]