Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ananyooshwa mtu huku.
Screenshot_20220828-161455_Chrome.jpg
 
Tazama jinsi hayana akili[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Screenshot_20220828-161648_Chrome.jpg
 
Bado Putin anaendelea kuwapelekea moto maadui (Ukraine) mwaka huu wataita maji mma. Habari ziwafikie pro-NATO wote humu

  • The Russian Air Force shot down a MiG-29 aircraft in the eastern Donetsk region, the ministry said, and destroyed six missile and artillery weapons depots in the Donetsk, Mykolaiv and Kherson regions.
  • Russia’s defence ministry said it destroyed a large ammunition depot in Ukraine’s Dnipropetrovsk region that had contained US-made HIMARS rocket systems and shells for M777 Howitzers.
  • Ukraine’s state nuclear company Energoatom said Russian troops shelled the grounds of the Zaporizhzhia plant again in the last 24 hours and damage was being assessed.
 
Jiji la The Hague nchini Netherlands limesema linajitoa kwenye vikwazo vilivyowekwa na EU juu ya gesi ya Urusi...Jiji linasema limekosa mbadala wa gesi ya Urusi, hivyo linarejea kwa Urusi kuomba kuendeleza mkataba wa kugaiwa gesi

KREMLIN kila GOTI litapigwa
Haya waje na RUBO

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MWENYE KUSOMA NA ASOME HII NDO UJUE MATAIFA YA WEST WAMESHAICHOKA HII SPECIAL OPERTATION NA KUMSAIDIA UKRAINE

Although Western weapons and ammunition keep arriving, Western arms manufacturers are struggling to fulfil the sudden high demand. Western militaries are now keeping one eye on their own stocks of these weapons, worried that donations now would leave their own militaries denuded of the very weapons they would need if there was a wide-scale conflict in the near future.

There is growing aid fatigue in the United States, and with petrol prices the highest for years and economists predicting the economy is headed for a recession, there have been some calls within Republican ranks for aid to be curtailed and for president Joe Biden to focus on Americans rather than foreign wars.
 
MWENYE KUSOMA NA ASOME WESTERN COUNTRIES WAMESHACHOKA KUTOA MISAADA YA SILAHA WANAHOFIA KUISHIWA KWENYE MAGHALA YAO. MAREKANI NAYE TIA MAJI

Although Western weapons and ammunition keep arriving, Western arms manufacturers are struggling to fulfil the sudden high demand. Western militaries are now keeping one eye on their own stocks of these weapons, worried that donations now would leave their own militaries denuded of the very weapons they would need if there was a wide-scale conflict in the near future.

There is growing aid fatigue in the United States, and with petrol prices the highest for years and economists predicting the economy is headed for a recession, there have been some calls within Republican ranks for aid to be curtailed and for president Joe Biden to focus on Americans rather than foreign wars.
 
Afrika Sasa tumejitambua wote. Hata wakenya waliojifanya kichwa Maji mwezi March naona nao akili zimewakaa kuhusu Russia.
===
Ukraine’s latest proposal to condemn Russia has attracted the backing of just 58 out of 193 UN member states, a far cry from the number that symbolically supported Kiev in the General Assembly in March.

Kiev’s envoy to the UN Sergey Kislitsa heralded the proposed resolution on Wednesday, following the Security Council meeting convened on Ukraine’s independence day. The session featured a video address by President Vladimir Zelensky, for which the council had to override protocol requiring in-person appearances, and a series of statements by Western governments denouncing Russia.

Moscow’s envoy Vassily Nebenzia provided the counterpoint by introducing evidence of Ukrainian atrocities into the record and even naming Kiev’s western backers as accomplices in specific instances.

Kiev was gearing up for military conflict since 2019 – security chiefREAD MORE: Kiev was gearing up for military conflict since 2019 – security chief
Kislitsa’s resolution also fell short of the support Kiev had back in March, right after the start of the Russian military operation. At the March 2 General Assembly session,141 member countries – or 73% of the UN – voted for a nonbinding resolution to condemn Moscow.

This week, however, that support stood at 30%, with no African, Persian Gulf or BRICS countries on board – and only two Latin American governments, Colombia and Guatemala, standing with Ukraine.
Sijui ni PUT IN au ni LAVROV ama ni MEDVED alisema kwamba
Hali yakisiasa duniani haitakua sawa kama ilivyokua kabla wakati na baada ya hii OP na yote haya tayati yameonekana kwazaidi ya 80%

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Auae kwa upanga naye hufa kwa upanga. Muuaji wa Darya Dugina akutwa amekufa huku mwili wake ukiwa na matobo Kibaao yapatayo 17. Mrusi so mtu wa mchezomchezo

IMG_20220828_165049_548.jpg

⚡⚡Ukrainian terrorist Natalya Vovk found dead in Austria with 17 stab wounds, - Austrian publication Express.
They are removing witnesses. No loose ends.

@NeoficialniyBeZsonoV

t.me/Slavyangrad
Join SLG 🔺 Intelligence Briefings, Strategy, and Analysis, Expert Community
 
Auae kwa upanga naye hufa kwa upanga. Muuaji wa Darya Dugina akutwa amekufa huku mwili wake ukiwa na matobo Kibaao yapatayo 17. Mrusi so mtu wa mchezomchezo

View attachment 2337553

⚡⚡Ukrainian terrorist Natalya Vovk found dead in Austria with 17 stab wounds, - Austrian publication Express.
They are removing witnesses. No loose ends.

@NeoficialniyBeZsonoV

t.me/Slavyangrad
Join SLG 🔺 Intelligence Briefings, Strategy, and Analysis, Expert Community
Kwa ujasusi mahili wa Russia nilijua ni suala la muda muuaji Darya Dugina hatachukua round kabla hajatolewa pumzi na FBS, na kweli amekuwa hunted down mpaka akauwawa.
 
1.Hakuna silaha za NATO, kila nchi mwanachama wa NATO inatengeneza, kuuza au kununua silaha kibinafsi kama vile tu ambavyo Uturuki inanunua na kuuzia silaha Urusi. Finland ananunua na kuuza silaha kwa nchi nyingi tu ambazo ni wanachama wa NATO, hakuna hoja ya maana katika hili kwamba tatizo sio kupakana bali ni silaha.

2.Hakuna mgogoro wa mpaka kati ya Ukraine na Russia. Mipaka ya Ukraine iko wazi, hata Russia yenyewe haijwahi kudai Crimea au Donbas ni sehemu ya mipaka yake, walichokifanya ni uhuni wa kuchochea vurugu hayo maeneo yajitangaze huru yajiunge na Russia halafu wakatangaza wanafanya Peacekeeping mission

3.Hakuna raia wa Urusi Donbas, unaposema kuna raia wa Urusi Donbas ni sawa na Kenya kusema kuna raia wake Wamasai Arusha au Msumbiji kusema kuna raia wake Wamakonde Mtwara au Uganda kusema kuna raia wake Kagera au Burundi kusema kuna raia wake Kagera. Ni upuuzi mtupu.

4.NATO haijwahi kutaka au kulazimisha Ukraine ijiunge nayo, kusema hivyo ni kutokujua mchakato wa nchi kujiunga na NATO.Haikuwa na vigezo vingi sana, nchi ZOTE wanachama hazikuwahi kujadili wala kuridhia hilo suala, Olaf, Kansela wa Ujerumani alimuambia Putin hata kabla hii vita haijaanza Ukraine haiwezi kuwa mwanachama wa NATO hata kwa miaka 30 ijayo.

5.Kusema tu Putin na NATO ndio wanajua tatizo la Ukraine kujiunga na NATO ni utopolo.
1. Ungetoa tafsiri/tarjama gani ya kiswahili pale Putin aliposema '...military contingents and infrastructures'.
Tatizo umekuja mbio kunijibu mimi kimihemko ukasahau its not abt what i have said, its abt what Putin said! Au hata putin mwenyewe hajui kwamba NATO hawana silaha!?

Hebu katafute huko mitandaoni usome kuhusu 'Coordinated Weapons Production in NATO'

Mwaka 2021 Urusi aliwapa matakwa yake ya kiusalama 'security demands' kwa NATO na mojawapo ya hizo demands ni "No intermediate or shorter-range missiles deployed close enough to hit the territory of the other side (Russia)" Bwana Lavrov anawezaje kutoa demand ya namna hii kwa umoja ambao hauna silaha kama unavyodai wewe!?

Kwa kifupi ni kwamba kila silaha inayotengenezwa na member wa NATO inakuwa considered kama silaha ya NATO na pia kuna silaha nyingi tu zinatengenezwa kwa pamoja (coordination) na baadhi ya member wa NATO.

Bottom line is; Kuna tofauti kati ya nchi moja (mwanachama wa NATO let say Germany) kupeleka silaha zake let say lithuania kibinafsi kama Germany na kupeleka silaha hizo chini ya muamvuli wa NATO. Ya kwanza tutasema ni Ujerumani imepeleka silaha zake fulani Lithuania na ya pili tutasema NATO imepeleka silaha zake Lithuania.

2. Raisi wa urusi anasema nchi yake ina/ilikuwa na migogoro ya kimipaka na nchi jirani ya Ukraine wewe hapa jf unasema Urusi haijawahi kuwa na migogoro ya aina hiyo na Ukraine. Ajabu sana! Wanajf sio wajinga, watachagua wenyewe wamsikilize nani Raisi wa urusi au bwana Yoda wa jf [emoji23]

"We do not have such problems with Sweden and Finland, which, unfortunately, we have with Ukraine. We have no territorial issues… no disputes…we have nothing that could bother us from the point of view of Finland's or Sweden's membership in NATO"

Unatafsiri vipi 'territorial issues and disputes' kwenye hii statment ya Putin!?

3. Again haraka haraka kujibu inakufanya unakosa umakini kwenye msingi wa hoja za mtu. Slow down! Sijasema kuna raia wa urusi ambao ni raia wa Ukraine, what a silly thing to say! Nimesema 'Russian speaking Ukrainians' kama hii statement kwako inatafsiri kama raia wa urusi ambao ni raia wa ukraine then you are more naive than i thought, no offense!

Una matatizo ya kutafsiri/tarjamu mambo. Na ndio maana ninakuuliza unatafsiri vipi so and so!
Mimi nilimaanisha 'Wakreni wanaoongea lugha ya urusi (kirusi)' au kwa maana nyingine ni raia wa Ukraine wenye asili ya urusi.

4. [emoji706][emoji706][emoji706]
5. [emoji706][emoji706][emoji706]
 
Ni kipigo kwa kwenda mbele [emoji91][emoji91][emoji1255][emoji123]
Kipigo cha kwenda mbele mitandaoni..yaani anapost kp kipanya 44 halafu mwenzie vunjo anampa like na comment ya kumsifu...akipost vunjo naye kipanya anafanya hivyo hivyo...such a situation needs a paper...how come watu wawili for 24 hours wako mitandaoni wakipost content za aina moja na hawachoki...what is behind this 'bravado' ?!?!
 
Back
Top Bottom