LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
📈The price of aluminum on the London Metal Exchange has updated its historical high, having risen above $3,700 per ton, follows from the data of the exchange

 
aleti......

warusi wanateketea na ukraine wanazidi kuwakimbiza,pia tunaalifiwa kuwa mji wa moscow umeshavamiwa na ukraine,vita hii ni ya kijana daudi ambaye ukraine na goliyati urusi,ukraine anazidi kuiteketeza moscow muda huu
Unaongea ushuzi
 
vita ni vita tu kaka, yanayotokea kwe vita ni yaleyale usiyumbishwe na propaganda, wawe NATO urusi saudi au nani hakunaga anayepigana huku akiweka usalama wa raia kwanza never labda hilo eneo liwe hamna mapiganon mda huo otherwise ni kazi tu
 
Nafuatilia comments zake , nilichogundua either elimu or umri so anakosa exposure nakutoijua vzuri Urusi na historia ya Dunia...
Exposure yako wala hainisaidii kitu kama ndiyo unategemea google kujipatia maarifa yako.Nawaheshimu sana wanaoshusha nondo hapa za uhakika na siyo kuja na vi link vyenu vya kutoka google huko,mnatekenywa kidogo tu mnatokwa na povu Warusi wa Kinondoni Moscow 🙂
 
In Odessa, sellers from the market went to volunteer, left goods and a note.

"If you don't have money, take it for free as needed"
 
Vladimir Putin, in a conversation with Emmanuel Macron, said that the tasks of the military operation will be completed in any case, attempts to buy time by dragging out negotiations will lead to additional demands on Kiev in the Russian negotiating position.

Putin also stated that:

"Russian conditions in the context of negotiations with representatives of Kyiv: demilitarization and the neutral status of Ukraine - so that a threat to Russia never comes from its territory."

"Allegations of alleged ongoing rocket attacks and bombing of Kyiv and other Ukrainian cities are not true, these are elements of an anti-Russian disinformation campaign."

During the conversation, Macron called it “a lie” that Russia is fighting Nazism in Ukraine. Putin did not agree with this and gave "reasoned explanations about the significant role of neo-Nazis in the state policy of Kyiv," according to the Kremlin.
 
hio iko wazi km urusi itaendeleza mashambulizi yake basi ukraine itaanguka tu pengien ht wiki 3 zisifike, anayepinga hilo yuko nje ya uhalisia, kwanza mpk sasa wamejitahidi wengi walijua watakimbia km wale wa afghanstan ila kwa wao kusimama na kupigana ndio kumewshangaza wengi, nadhan ht russia wenyew walijua jamaa watasalenda then mengine yafuate ila imekua tofauti pengine ndio maana wapo slow labda wanachanga karata na upya maana vita watashinda ila wanahitaji political cover kitu ambacho hakijawaendea vzuri mpk sasa
 
vita ni vita tu kaka, yanayotokea kwe vita ni yaleyale usiyumbishwe na propaganda, wawe NATO urusi saudi au nani hakunaga anayepigana huku akiweka usalama wa raia kwanza never labda hilo eneo liwe hamna mapiganon mda huo otherwise ni kazi tu

Ndio But umeona huo msaada wajeda wa kirusi wanaotoa kwa raia wa Ukraine nioneshe kama nato washawahi hiyo Iraq,Yemen,Syria sana sana siwanaume,wanawake,watoto watachukuliwa na kubakwa [emoji174]
 
Ufaransa wanaenda kwa upole sana.
 
Ngoja waje hapa wakutolee povu la "huna exposure" ukiuliza yeye exposure yake iko wapi anakwambia kwakuwa anatumia google.Warusi hawa wa sherui na mwendakulima wamevurugwa 🤣
 
hii kitu haijakaa poa sana lazima wampe exit strategy, ni win win kwa pande zote husika, crimea, na wale wajamaa wa east waachane nao tu for the good, by the way sio mbaya sana ukizingatia maeneo hayo hayakuwahi kuwa ya ukraine, ni gharama kubwa lakin reasonable, putin get what he wanted
 
TV za Russia hazionekani hewani pamoja na mbwembwe zote hizo za warusi
Lakin Putin si atumie ubabe wake RT iruke hewani [emoji23][emoji23][emoji23]
Siyo kila sehemu mabavu yanafanya kazi,yeye anatunisha misuli,huku anapigwa na kitu kizito huku watu wanapop champagne na glass ya wine.
 
Mzo

Mzozo ukiisha wanakuwa na ukwasi wa kutisha iyo club itauzwa pesa zinaenda Ukraine kusaidia
Ndiyo maana nakubaliana na wanaosema,kila vita kuna matajiri huwa wanafaidika nayo kwa gharama za maisha ya watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…