Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,513
Viongozi wao Forevermore ni waabudu Shetani na nia yao ni kuwapunguza Wazungu drastically na watakaobaki wawafanye ma-zombie.Hata hivyo to a great extent ni ma-zombie anyway,jambo ambalo lili-dhihirishwa na their total complacency to Covid-19 mandates.Bei ya gas Europe imefika $3,500 kwa kila cubic meter 1,000. Kabla ya vita, bei ya gas hiyo ilikuwa kati ya $200 mpaka $280.
Ongezeko la gas na oil limesababisha mlipuko wa bei kwenye nchi zote za Europe. Na ongezeko lina tarajia kukua maradufu msimu wa baridi ambao huwa kwanzia December mpaka March.
Hii ni kutokana na baridi kubwa na nchi hizo kutumia nishati kwa wingi sana kupata joto.
Mwezi wa 4, Uingereza walipandisha bei ya nishati kwa asilimia 32. Sasa wametangaza bei itaongezeka tena kwa 80% mwezi wa 10.
Ina maana, bei itakuwa hivi
1. Mtu mwenye chumba kimoja na kuishi mtu 1 mpaka 2. Bei ya gesi na umeme itakuwa £2,400 - TSh 5,600,000 kwa mwaka.
2. Vyumba vi 3 watu wawili mpaka 3 £3,500 - TSh 8,170,000
3. Vyumba vi 5 watu 4 mpaka 5 £5,100 - TSh 11,900,00
Kwahiyo, kwa wastani, bei ya gesi na umeme itakuwa £3,500. Wana tarajia wastani huu utaongezeka Januari mpaka kufikia £5,386.
Wakati hapa Tanzania mlipuko wa bei (inflation) mwaka huu ni 4.5%. Hii ndiyo hali kwa wenzetu
[emoji116][emoji116][emoji116]
sources: BBC.com/news/business-58090533
Statista.com/statistics/225698/monthly-inflation-rate-in-eu-countries/
Kipute mwaka huu. View attachment 2337252
Yashaelekea wapi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Vita imeshaisha hiyoo, wazungu walizoea nishati ya BEI ya kuokota kutoka Urusi wakamletea ubabe matokeo yake wanaenda mmoja mmoja bila aibu tena Kwa kubembeleza warudishiwe hata Kwa BEI ya Sasa iliopo sokoni lakini ndio hivoo mabomba yashaelekea Kwa wachina na mabaniani..
Sawa kachapika jebmmekomboa mikoa mingapi unapigana kwenye aridhi Yako harafu eti leo hii kachapika pro NATO punguzeni propaganda[emoji3][emoji3]Leo hii tazama video mrusi amechapika vibaya sana
Do you know the difference between PERSONAL assurance and GOVERNMENT assurance?Umewasilisha mawazo ya kikoloni ya Putin kabisa[emoji122]. Putin kuiona Ukraine sio nchi kamili ndio mojawapo ya sababu kuu za uvamizi wake.View attachment 2337108
Tukiyakomboa maeneo yaliotekwa vita inaisha kitu hambacho hatutaki..,sisi tunataka kumpigisha mtu danadana Mpaka aishiwe pumzi [emoji12][emoji12]Sawa kachapika jebmmekomboa mikoa mingapi unapigana kwenye aridhi Yako harafu eti leo hii kachapika pro NATO punguzeni propaganda[emoji3][emoji3]
[emoji91][emoji91][emoji91]Leo hii tazama video mrusi amechapika vibaya sana
Mabaniani yamechangamkia Fursa.Yashaelekea wapi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tozonofic [emoji23][emoji23][emoji23]Putin has raised your energy bills
Putin has raised your cost of living
Putin has raised your gasoline bills
Putin has raised your price of your diapers
Putin is responsible for your poverty -
Putin isi responsibuli for your tozonofic
View attachment 2337376
Bloomberg wanasema: russia wanaweza kukatisha biashara ya kuuza nishati bara ulaya kwa mwaka mzima bila ya kuathirika[emoji636]''YOU people will suffer whiile WE politicians will not'' according to BOJO
View attachment 2337381
Ukraine anachofanya ni kukata supply ya silaha kuingia nchini kwake huwezi komboa mji wakati adaui anavifaa vya kutosha atazifi kushambulia umeona jana mrusi anampokonya Syria s300 zile za kule ukrain zimepigwa zimeisha.Sawa kachapika jebmmekomboa mikoa mingapi unapigana kwenye aridhi Yako harafu eti leo hii kachapika pro NATO punguzeni propaganda[emoji3][emoji3]