Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Shoigu kaondolewa kuongoza vikosi vya special operation
 
Ukraine has passed the first line of defence of the Russian Army in the Kherson counter offensive
 
Sahih huo ni mtazamo wetu tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahaha😂😂😂😂🤣🤣🤣😁😁 simple analysis but to the point and logical
 
Muda huu timu NAFO tunaendelea kupokea habari njema kutoka Kherson. Wazee wa denazification mkae kwa kutulia na Waziri wa Ulinzi wenu yule civil engineer wa kiraia
Inafurahisha sana kusikia habari kama hizi, udhalim ulikuwa unakuja kwa Kasi sana kwa lengo la kulimeza taifa letu pendwa la Ukraine,
 
Hadi jana madaraja yote yanayoelekea Crimea yalikuwa yamevunjwa...
Muda huu Warusi wenyewe wamekiri kuwa Ukraine inawapelekea moto Kherson kwa pande zote...
Russians watasalimu amri
 
Hadi jana madaraja yote yanayoelekea Crimea yalikuwa yamevunjwa...
Muda huu Warusi wenyewe wamekiri kuwa Ukraine inawapelekea moto Kherson kwa pande zote...
Russians watasalimu amri
Hata Ile KERCH BRIDGE?
 
Kerch iko Crimea..

Wamevunja daraja zote zinazoelekea uelekeo wa Crimea, hivyo kwa sasa warusi inabidi waogelee mto dnipro au waweke silaha wawe mateka
Shukrani sana kwa maelezo..,wale walioshangilia ya Azov battalion wakae kwa kutulia,malipo ni hapahapa

Muda ni mwamuzi
 
Hata Ile KERCH BRIDGE?
Kerch iko nyuma kabisa uko Crimea. Inabidi iachwe kwanza ikiwa Kherson itarudishwa then counteroffensive inahamia maeneo ya kati kama pale Zaporizhzhia. Inapendekezwa kwamba Crimea sio lazima kwa sasa na hata Donetsk na Luhansk ziko very fortified. Ukraine haina wapiganaji wengi hawatakiwi kuwa stretched sana. Ukifanya counter offensive unahitaji wapiganaji wa kwenda mbele kufanya hatua nyingine na hapo nyuma kuacha ulinzi in case walioenda mbele wameshindwa basi wakirudi mstari wa umiliki unakuwepo
 
Wale waliopiga kelele Himars imeshindwa kubomoa madaraja mje muine hii[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tuliwaambia sasa kazi ndio inaanza hakuna kuvuka inzi walio ndani ni mali yetu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji1666][emoji1666][emoji2935][emoji2935]
 
Wale waliopiga kelele Himars imeshindwa kubomoa madaraja mje muine hii[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tuliwaambia sasa kazi ndio inaanza hakuna kuvuka inzi walio ndani ni mali yetu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2338889
Warusi wa buza huwezi kuwaona hapa, mpaka waende kupoza maumivu kwanza,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…