[emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji91][emoji91][emoji91]Mnaanza kutimuana na bado kipigo kinaendelea mnatafuta mchawi nani mwaka huu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2338890
Lini adui aka kusifu??Mnaanza kutimuana na bado kipigo kinaendelea mnatafuta mchawi nani mwaka huu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2338890
Maamuzi ya kipuuzi ya dikiteta mmoja yanawatesa watoto wa watu kiasi hiki[emoji848]Tazameni wadau hawa jamaa wanavyo uliwa kwenye mahandaki kama kititmoto aisee wanatia huruma hawa jamaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hahaa huyu ni nani mkuu?. Afadhali unatunza kumbukumbu wanageuka sana hawa jamaa.😀
Mkianza kuzungukwa msikimbie humu....naona mariupol ya pili inanyemelea....Aisee kila nikiangalia hii video nacheka yani wanauliwa kizembe sana kwanini wanatembea group hivi wamepata wapi mafunzo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuzungukwa kivipi tumevunja madaraja yote tunawaua kama kumbikumbi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mkianza kuzungukwa msikimbie humu....naona mariupol ya pili inanyemelea....
Utakapozungukwa ndipo utajua umezungukwaje....kwa Sasa songeni mbele...Kuzungukwa kivipi tumevunja madaraja yote tunawaua kama kumbikumbi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kufikia tu kesho usije kimbia Tena humuHadi jana madaraja yote yanayoelekea Crimea yalikuwa yamevunjwa...
Muda huu Warusi wenyewe wamekiri kuwa Ukraine inawapelekea moto Kherson kwa pande zote...
Russians watasalimu amri